Addiction ipo kwenye internet sio simu
Smartphone bila internet unaweza usiitumie sana
Ndio maana wayahudi ndo hao wanatengeneza facebook, whatsapp, Insta, Youtube, n.k. mpaka Chatgpt lakini wao wameanza kugeukia upande mwengine wa kutumia simu zisizo na internet, zinaitwa kosher phones zina soko kubwa sana Israel, wanaamini kwamba smartphone yenye inernet bila nidhamu ni kama bomu ndani ya mfuko
View attachment 3676556