Simu inapokuwa sisimua!!!

Kama mke wako anaona sawa hakuna neno. Ila ukikwazika akaleta mada tutamshauri na kumpatia uzoefu wa upande mwingine. Yaani sisi wengine tusiojua kitu kinachitwa codes na unnecessary privacy kwenye ndoa!
Yule mama wala hata hajui kama simu yangu nimeilock au laa. Sikumbuki kama alishawahi kuishika simu yangu.
 
sijawahi kufikiria kuweka codes kwa sasa lakini pia sioni ubaya kwa anayeweka codes KWA SABABU ZA KIUSALAMA.....!

sijawahi kufikiria ''kuperuzi na kudadisi'' kwenye simu ya waifu...!na hakuna kitu nisichokipenda kama yeye ataintatein kuperuuuzi na kudadisi aste aste kwenye simu yangu!....BY THE TIME AKIDANGANYWA KUFANYA HUO UPUUZI she will be on her way to her home the next day...

nimemaliza hapo
 
Hayo huwa yanaitwa maamuzi mazito ya kushtukiza...........:sick:
 
Hayo huwa yanaitwa maamuzi mazito ya kushtukiza...........:sick:
mara nyingi hufanyika baada ya valuu ya tatu....
unakuwa flexible kuamua chochote hapo
 
Vipi kuhusu wallet? Wengine tuko free, wife akihitaji pesa unamwambia kaangalie kwenye wallet kama hauko nayo kwa wakati ule. Kuna stori za watu waliowabamba wake zao wakipekua wallet zao bila idhini yao. Kuna similar stories za wanaume wanaokagua mikoba ya akina mama. Je tunatakiwa kuwa free kiasi gani na wallet/handbags za wenzetu?
 
Kwangu mimi wallet ni mali halali ya mama watoto. Aichukue ajisevie anavyotaka. Ila simu? HAPANA. HAPANA KWAKWELI.
 

mmh hivyo tu unamtimua,
 

nakubaliana na wewe kuwa sio kila chako mkeo anapaswa kukijua.........

mfano mume ametunza siri ya rafiki yake (labda ugomvi na familia yake, nk).......hili halitakiwi kujuulikana na mke wa mume lakini mke akitaka kujua kila cha mume atamfujia mume na atakosa kuaminiwa na rafiki zake.
na same inatokea kwa mke.

nakubali kuwa japo kuwa hakuna siri baina ya mke na mume .....kuna siri baina ya siri za mume na rafiki zake.

akina mama tunakosea kulazimisha kujua simu za mwanamme zoteee na email zake ...........let the guy have some breathing space. let him keep his friends as his....hatutakiwi kujua kila kitu
 



The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 

Jamaa yangu mmoja hakuwa na tabia ya kukagua handbag ya mama hata siku moja; lakini weekend mkewe aliaga kwenda saloon na katika maandalizi ya kwenda saloon alinote kuwa kuwa kuliwekwa kanga kwenye mkoba wa mama. Hakumwuliza kitu na akamwacha bibie aende na mra aliporudi tu akampokea mkewe mkoba na kuamua kuangalia ; ndipo akakutana na kanga na zaidi akakutana ka KUFULI! Kilichoendelea ni songombingo na ndoa iko hatihati mpaka sasa! Sasa hapa utalaumu udadisi wa huyo Jamaa yangu?
 
Asprin tena?..sasa cjui ni nani tena huyu!
 

hao wapo china.........eeh???
 

kumbe kuna watu wanakagua handbag ya mama? jamani matatizo mengine yakujitakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…