February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hii itakuwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ishu ya simu, ni ishu ya line maana Kuna Line 2 ila inatuma yas tu?wakati default sms nimeweka VodaAcha kutumia Infinix..
Wanaopokea huo ujumbe wanasemajeyangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu
Mbona imekaa kaa kama vile inajaribu kufanya malipo ya google pay kwa kutumia muda wa maongezi wa YAs. Ila ngoja wataalam zaidi watakuja wasemeView attachment 3221663Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu.
Hii itakuwa nini?View attachment 3221662
Hizo namba zinaweza kuwa za Tanzania au nchi nyingine vilevile, namba za nchi hutofautishwa na country codesHalafu hizo namba ni za Tanzania simu inaziotea wapi?
Inahitaji maombi. Muone nabii gwajimaView attachment 3221663Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu.
Hii itakuwa nini?View attachment 3221662
Kwa hiyo Una nini cha kumshauri mwenzetu?Na hata ukirestore itapumzika siku mbili itaanza tena kujituma ujumbe
Sio ishu ya simu, ni ishu ya line maana Kuna Line 2 ila inatuma yas tu?wakati default sms nimeweka Voda
Halafu hizo namba ni za Tanzania simu inaziotea wapi?
Mimi nilibadili simu maana sikupata utatuzi mwingineKwa hiyo Una nini cha kumshauri mwenzetu?