Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Wanazima simu, kufunga simu au wanafunga laini?
Kiswahili kigumu sana.
Kiswahili kigumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wanaona suluhisho. Wangefanya hivi vigezo usajili, kila mtanzania alieyefikisha 18yrs, aende na cheti Cha kuzaliwa, barua ya mtendaji, ikiwezekana vyeti vya shule, kwa ambao hawana vyeti vya kuzaliwa walazimike kubeba vyeti vya wazazi wao kuthibitisha ni watz, hii ni kwa sababu watz waliowengi wanavyeti vya kuzaliwa tungeanzia hapo, ili ambao hawana vyeti vya kuzaliwa warudi RITA kuvipata coz ni rahisi. Kuliko hii ya NIDA Mara tuambiwe malighafi hakuna, ndio mana wanaishia kutupa namba huku tukisubiria ganda la kadi OG. Simple tu usajili kigezo cheti Cha kuzaliwa..ushaur tuYaani utaratibu wa Nida ni usaha kabisaaa alafu wanatishia kuzima ? Wazime tu
Serikali ya Mwendokasi, nikama zoezi la kuzima cm feki!Siku 49 ni chache sana,NIDA waongeze speed...
Ni hawa wazee wasiojua dunia imebadilikaKulikua hakuna ulazima wa NIDA sijui nani alishauri wafanye hivo
Wanaongea tu wana jeuri hiyo? mwaka mpya fufua huu uzi!Waafrika tuna matatizo. Inapaswa kuwa wabunifu zaidi, haiwezekani line milioni 30 zipoteze mapato serikalini na kampuni za simu. Hata wenye dhamana na sekta hii wangekaa na wadau wa mawasiliano na kuhusishwa serikali za mtaa je tutumie mbinu ipi tusajili line bila usumbufu. Wenzetu nchi zilizoendelea uongozi maana yake unoe bongo ili kurahisisha maisha, Sasa NIDA imefanya maisha ya wengi kuwa magumu , process ndeefu , Mimi nilishudia mtu akiambiwa shortcut ili apate ID ya NIDA atoe 15,000 Sasa kwa asiekuwa nayo si Haki hata kidogo
Taratibu inayolazimisha kwamba ili usajiliwe uwe na NIDA haina maana, fingerprint ilikuwa usajili tosha kwa mmlik wa siku kwani duniani Kuna zaidi ya watu billion Saba, lakini kila mmoja ana utambulisho wake wa alama ya dole gumba 'fingerprint'. Suala mtanzania kuwa na ID ya NIDA lingejitegemea na si kuhusishwa na usajili
Soma comment yangu #24 , mkuu.Hivi kuwa na fingerprints za mtu bila kuwa na uhakika wa jina lake kutasaidia nini? Kwa mfano, mimi nikijisajili kwa kutumia fingerprints zangu, lakini kwa jina lisilokuwa la kwangu (jina bandia) na baadaye nikaitumia hiyo simu kufanya uhalifu, fingerprints zangu walizonazo zitawasaidiaje kunipata mimi kwa haraka?
Hapana, huu usajili wewe nadhani haujaelewa vizuri. Unapojisajili kwa kutumia fingerprints, huhitaji kuwatajia majina yako. Wanazo details zako zote kwenye system yao, hadi line ya simu unayokwenda kusajili. Unachohitaji kuwa nacho ni line yako ya simu, namba yako ya kitambulisho cha taifa, pamoja na vidole vyako tu basi. Jina lako watalipata kwenye system zao, wanalo tayari. Zoezi la kusajili kwa mtindo huu halichukui hata dakika 5 linakuwa limemalizikaHivi kuwa na fingerprints za mtu bila kuwa na uhakika wa jina lake kutasaidia nini? Kwa mfano, mimi nikijisajili kwa kutumia fingerprints zangu, lakini kwa jina lisilokuwa la kwangu (jina bandia) na baadaye nikaitumia hiyo simu kufanya uhalifu, fingerprints zangu walizonazo zitawasaidiaje kunipata mimi kwa haraka?
TCRA na NIDA zote ni taasisi za serikali kwanini wasikae watafute suluhisho la pamoja. Badala yake wanataka watuzimie simu zetu sisi wananchi wanyonge wa awamu ya 5.
Hivi kuwa na fingerprints za mtu bila kuwa na uhakika wa jina lake kutasaidia nini? Kwa mfano, mimi nikijisajili kwa kutumia fingerprints zangu, lakini kwa jina lisilokuwa la kwangu (jina bandia) na baadaye nikaitumia hiyo simu kufanya uhalifu, fingerprints zangu walizonazo zitawasaidiaje kunipata mimi kwa haraka?
leseni za udereva, vitambulisho vya kupigia kura , vitambulisho vya kazini , vyeti vya shule, vyeti vya kuzaliwa vyote hivyo vina jina halisi la mhusika..
why wasiruhusu vitambulisho vingine vitumike pia pamoja na hizo alama za vidole