Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

Kuna mbabe huko amejitabaisha kama hivi;-
---------

wildfish said:
Sasa endelea na ubishi wako kuanzia tarehe 01january2020 saa 00:01hrs,kwa saa za East Africa time.kama hujasajiri line yako kwa alama za vidole,kaa ukijua kuwa simu yako utaitumia Kama deck ya kupigia music nyumbani kwako hata WhatsApp hutaitumia tena kwenye simu yako,ninaye kwambia hivi ndiye KILABA mwenyewe Kama hunijui waulize wanao nifahamu.
 
Ndio wanaona suluhisho. Wangefanya hivi vigezo usajili, kila mtanzania alieyefikisha 18yrs, aende na cheti Cha kuzaliwa, barua ya mtendaji, ikiwezekana vyeti vya shule, kwa ambao hawana vyeti vya kuzaliwa walazimike kubeba vyeti vya wazazi wao kuthibitisha ni watz, hii ni kwa sababu watz waliowengi wanavyeti vya kuzaliwa tungeanzia hapo, ili ambao hawana vyeti vya kuzaliwa warudi RITA kuvipata coz ni rahisi. Kuliko hii ya NIDA Mara tuambiwe malighafi hakuna, ndio mana wanaishia kutupa namba huku tukisubiria ganda la kadi OG. Simple tu usajili kigezo cheti Cha kuzaliwa..ushaur tu

Rita nao bila 20000 hawakuelewi
 
Hivi kuwa na fingerprints za mtu bila kuwa na uhakika wa jina lake kutasaidia nini? Kwa mfano, mimi nikijisajili kwa kutumia fingerprints zangu, lakini kwa jina lisilokuwa la kwangu (jina bandia) na baadaye nikaitumia hiyo simu kufanya uhalifu, fingerprints zangu walizonazo zitawasaidiaje kunipata mimi kwa haraka?
Nahicho kitambulisho chako kina sura bandia au?we fanya uharifu wako kwakutumia majina bandia uone Kama hutakamatwa,we lahisisha mambo uone.
 
Ukienda ofisi za tigo wanasema mtandao hakuna.

Hawajawahi kuwa serious.
 
Lakini tulipo Sasa watz 70% wa Vyeti vya RITA kuliko NIDA ni watz wachache wanavyo

Na hili swala limetiwa ugumu kwenye jiji la dar mikoani hata usipokua na cheti cha kuzaliwa unapewa kitambulisho cha nida
 
Kama changamoto ipo kwa nida iweje muwatese wanainchi?hili inatakiwa ifanyike hata kwa miaka 3.

Hata wakiweka miaka kumi haliwezekani hili zoezi kuwa jepesi na kuisha kwa wakati wanaoutaka. Watumiaji wa simu wanaongezeka kila siku.
Mfano, watu wa Bunju, Tegeta, Madale, Mbezi beach, Salasala na maeneo yote ya ukanda huo wanatakiwa kukutana Kawe kwa ajili ya hilo zoezi. Sasa kwa walio wengi, ili kupata namba ya kitambulisho inakubidi udedicate siku hata tatu za kufuatilia. Hapo kwenye kuwekeshena ndipo tabu huanzia.
"Serikali sikivu" ilibidi iweke vituo vya kutosha kwa ajili ya zoezi ili. Haina ulazima wa kukimbizana na raia na wakati unajua kabisa vitendea ulivyo navyo ni vichache. Yamkini tatizo laweza kuwa bajeti ya ununuzi wa hivyo vifaa, basi Uza mji-dege mmoja, nunua vifaa kwa ajili ya vijiji mbalimbali.

Ikishindikana kabisa, waongee na wadau kama makampuni ya simu ili wafanyike kama mawakala. Iwe easy kama ilivyokuwa kusajili line ya simu.

Binafsi, kila nikifikiria kwenda kupoteza hata siku moja full ya kuwepo pale, nachoka kabla ya kwenda.
 
Wanazima simu, kufunga simu au wanafunga laini?
Kiswahili kigumu sana.
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa
 
Halo uko sahihi. Zoezi zima utadhani kuna uchambuzi na utafiti yakinifu unafanyika kujenga mradi fulani kumbe ni kuingiza fomu zilizojazwa na mteja kwenye benki ya takwimu na kufyatua kadi. Inachukua miezi na ukiwaona wako bize balaaaa.hata namba tu kupata shida na ukiwa na namba kupata kitambulisho chako pia foleni siku nzima
 
Watafungia Line ambazo hazisajjiliwa na siyo simu kwahiyo kichwa cha habari hakiko sawa 100%. Kwenye simu huwa wana blacklist IMEI tu lakini simu inakuwa nzima na unaweza kubadilisha IMEI na simu ikapiga kazi kama kawaida. Hicho kichwa cha habari cha kuzima simu siyo sahihi 100% kwasababu watafungia laini tu. Kwenye lugha ya kiswahili tupo nyuma sana ndiyo maana wakenya wanatuzidi kila siku.
Simu milioni 30 hatarini kuzimwa? Hii kichwa cha habari hakiko sawa 100%
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa
 
Siyo kweli. Kichwa cha habari hakiko sawa 100%. Watafungia laini ya simu tu kwahiyo kama wataifungia laini yako. Unaweza kuweka laini tofauti na unayotumia ikapiga kazi. Kama wanasajili na IMEI za simu hapo sawa. Kumbuka zoezi la kublack list IMEI kwenye simu feki ni endelevu kwahiyo ukinunua simu yoyote ambayo haikidhi vigezo vya TCRA Imei wanaiblacklist na simu yako unaweza kuitumia kama Ipod au ukabadilisha IMEI ikapiga kazi kama kawaida. Kichwa cha Habari hakiko sawa 100%. TCRA wajifunze kuandika matangazo vizuri. Wanaboa sana. Huko mwananchi kabaki kwenye taharuki
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa
 
Sheria hairuhusu wenye chini ya miaka 18 kumiliki simu, so watakuwa wametumbuliwa automatically
Dah hii kweli??, kama ndio hivyo itapunguza tatizo kubwa mashuleni, iliyopelekea Uko mbe watu kutumbuliwa na magerezani.
 
Shida sio kusajili shida ni hilo likitambulisho lao la Nida kulipata ndio ishu.
Wazime tu
 
Back
Top Bottom