Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Sheria hairuhusu wenye chini ya miaka 18 kumiliki simu, so watakuwa wametumbuliwa automatically
Ndio wanaona suluhisho. Wangefanya hivi vigezo usajili, kila mtanzania alieyefikisha 18yrs, aende na cheti Cha kuzaliwa, barua ya mtendaji, ikiwezekana vyeti vya shule, kwa ambao hawana vyeti vya kuzaliwa walazimike kubeba vyeti vya wazazi wao kuthibitisha ni watz, hii ni kwa sababu watz waliowengi wanavyeti vya kuzaliwa tungeanzia hapo, ili ambao hawana vyeti vya kuzaliwa warudi RITA kuvipata coz ni rahisi. Kuliko hii ya NIDA Mara tuambiwe malighafi hakuna, ndio mana wanaishia kutupa namba huku tukisubiria ganda la kadi OG. Simple tu usajili kigezo cheti Cha kuzaliwa..ushaur tu
Nahicho kitambulisho chako kina sura bandia au?we fanya uharifu wako kwakutumia majina bandia uone Kama hutakamatwa,we lahisisha mambo uone.Hivi kuwa na fingerprints za mtu bila kuwa na uhakika wa jina lake kutasaidia nini? Kwa mfano, mimi nikijisajili kwa kutumia fingerprints zangu, lakini kwa jina lisilokuwa la kwangu (jina bandia) na baadaye nikaitumia hiyo simu kufanya uhalifu, fingerprints zangu walizonazo zitawasaidiaje kunipata mimi kwa haraka?
Lakini tulipo Sasa watz 70% wa Vyeti vya RITA kuliko NIDA ni watz wachache wanavyoRita nao bila 20000 hawakuelewi
Lakini tulipo Sasa watz 70% wa Vyeti vya RITA kuliko NIDA ni watz wachache wanavyo
Kama changamoto ipo kwa nida iweje muwatese wanainchi?hili inatakiwa ifanyike hata kwa miaka 3.
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasaWanazima simu, kufunga simu au wanafunga laini?
Kiswahili kigumu sana.
Halo uko sahihi. Zoezi zima utadhani kuna uchambuzi na utafiti yakinifu unafanyika kujenga mradi fulani kumbe ni kuingiza fomu zilizojazwa na mteja kwenye benki ya takwimu na kufyatua kadi. Inachukua miezi na ukiwaona wako bize balaaaa.hata namba tu kupata shida na ukiwa na namba kupata kitambulisho chako pia foleni siku nzimaHata wakiweka miaka kumi haliwezekani hili zoezi kuwa jepesi na kuisha kwa wakati wanaoutaka. Watumiaji wa simu wanaongezeka kila siku.
Mfano, watu wa Bunju, Tegeta, Madale, Mbezi beach, Salasala na maeneo yote ya ukanda huo wanatakiwa kukutana Kawe kwa ajili ya hilo zoezi. Sasa kwa walio wengi, ili kupata namba ya kitambulisho inakubidi udedicate siku hata tatu za kufuatilia. Hapo kwenye kuwekeshena ndipo tabu huanzia.
"Serikali sikivu" ilibidi iweke vituo vya kutosha kwa ajili ya zoezi ili. Haina ulazima wa kukimbizana na raia na wakati unajua kabisa vitendea ulivyo navyo ni vichache. Yamkini tatizo laweza kuwa bajeti ya ununuzi wa hivyo vifaa, basi Uza mji-dege mmoja, nunua vifaa kwa ajili ya vijiji mbalimbali.
Ikishindikana kabisa, waongee na wadau kama makampuni ya simu ili wafanyike kama mawakala. Iwe easy kama ilivyokuwa kusajili line ya simu.
Binafsi, kila nikifikiria kwenda kupoteza hata siku moja full ya kuwepo pale, nachoka kabla ya kwenda.
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa
Vyovyote vile ina maana iphone au S9 kitochi n.k. vitabaki toy za kuchezea watoto baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa
Dah hii kweli??, kama ndio hivyo itapunguza tatizo kubwa mashuleni, iliyopelekea Uko mbe watu kutumbuliwa na magerezani.Sheria hairuhusu wenye chini ya miaka 18 kumiliki simu, so watakuwa wametumbuliwa automatically
Hivi ukiwa under 18 huwezi pata kitambulisho cha NIDA?