Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Watu wanajua marketing, eti maisha yako yote unapata internet bure kutoka starlink wakati baada ya mika 5 au 6 itakuwa outdated mtu alazimike kununua nyingine maana kuendelea kukaa nayo itakuwa hiyo internet haina maanaView attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Hakuna such thing as internet miaka yako yote, hiyo ni gaharamaView attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Kwahiyo unabishana na tajiri namba moja duniani, unafikiri wazungu ni waongo waongo kama huko kwenu burkina -faso?Hakuna such thing as internet miaka yako yote, hiyo ni gaharama
Do the maths goddamit! Mtu kashafanya hesabu zake ndo maana itauzwa ghali! Hili linawezekana asilimia 100Hakuna such thing as internet miaka yako yote, hiyo ni gaharama
Mbona haina mvutoView attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Huo ushanga ushanga pembeni wa niniView attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
hata katiba mpya haina mvuto. Endele na Sony Ericksonn yako.Mbona haina mvuto
Who else ana iffer such thing or such product na akafanikiwa?Do the maths goddamit! Mtu kashafanya hesabu zake ndo maana itauzwa ghali! Hili linawezekana asilimia 100
Sibishani ila kila tajiri ana tarajaia some sort of faida kwenye kila kitu anacho kifanya, such kind of rumors which are not official anyway mwisho wa siku ni impractical, so suala la free internet msitarajie mapya, hiyo ni marketing strategyKwahiyo unabishana na tajiri namba moja duniani, unafikiri wazungu ni waongo waongo kama huko kwenu burkina -faso?
Mkuu tuweke ushabiki pembeni, kwa muonekano huo ni ngumu sana hiyo simu kutoboa kwenye soko la sasa. Labda kama wataboresha huo muonekano uendane na wakati tuliopo.hata katiba mpya haina mvuto. Endele na Sony Ericksonn yako.
Sure, heri wewe laki tano mimi haizidi laki mbili na nusu.Hii sim inipite mbali hata nikipewa bure nitaiuza tu. Yaani unatembea na kiwanja unaishi nyumba ya kupanga?
Shoga yangu ana macho matatu ila dah maisha yake mmmh au mm bahili?
Pesa yangu ambayo naweza kuitoa kujinunulia simu mwisho laki 5. Ikizidi hapo labda nipewe bure.
Hiyo laki tano naitoa nalia kabisa.Sure, heri wewe laki tano mimi haizidi laki mbili na nusu.
kama hakuna apple store bongo hizo zitafika kweli mkuu si si tuendelee kutengeneza madawatiItakuwa milioni ngapi za dola? na bongo zitafika kweli?
mkuu chagua uchangie kwakingereza au kiswahili achapigo zakike hizoSibishani ila kila tajiri ana tarajaia some sort of faida kwenye kila kitu anacho kifanya, such kind of rumors which are not official anyway mwisho wa siku ni impractical, so suala la free internet msitarajie mapya, hiyo ni marketing strategy