Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
a.png

Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.

Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
 
View attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.

Watu wanajua marketing, eti maisha yako yote unapata internet bure kutoka starlink wakati baada ya mika 5 au 6 itakuwa outdated mtu alazimike kununua nyingine maana kuendelea kukaa nayo itakuwa hiyo internet haina maana
 
View attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.

Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Hakuna such thing as internet miaka yako yote, hiyo ni gaharama
 
View attachment 3052496
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free interney toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.

Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Mbona haina mvuto
 
Huo ushanga ushanga pembeni wa nini
 
Kwahiyo unabishana na tajiri namba moja duniani, unafikiri wazungu ni waongo waongo kama huko kwenu burkina -faso?
Sibishani ila kila tajiri ana tarajaia some sort of faida kwenye kila kitu anacho kifanya, such kind of rumors which are not official anyway mwisho wa siku ni impractical, so suala la free internet msitarajie mapya, hiyo ni marketing strategy
 
hata katiba mpya haina mvuto. Endele na Sony Ericksonn yako.
Mkuu tuweke ushabiki pembeni, kwa muonekano huo ni ngumu sana hiyo simu kutoboa kwenye soko la sasa. Labda kama wataboresha huo muonekano uendane na wakati tuliopo.
 
Hii sim inipite mbali hata nikipewa bure nitaiuza tu. Yaani unatembea na kiwanja unaishi nyumba ya kupanga?
Shoga yangu ana macho matatu ila dah maisha yake mmmh au mm bahili?
Pesa yangu ambayo naweza kuitoa kujinunulia simu mwisho laki 5. Ikizidi hapo labda nipewe bure.
 
Sure, heri wewe laki tano mimi haizidi laki mbili na nusu.
 
Sibishani ila kila tajiri ana tarajaia some sort of faida kwenye kila kitu anacho kifanya, such kind of rumors which are not official anyway mwisho wa siku ni impractical, so suala la free internet msitarajie mapya, hiyo ni marketing strategy
mkuu chagua uchangie kwakingereza au kiswahili achapigo zakike hizo
 
Back
Top Bottom