Simu ya baba

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Baba: calling --------------

Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu.

Baba: Marahaba, hujambo?

Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima?

Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au?

Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe baba huwa nipo busy mara nyingi.

Baba: Sawa, sasa unasubiri mpaka nife ndo uoe? Fanya mpango basi 😎.

Mimi: Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣.

Baba: Changamka bhana unaniangusha. Mtoto wa mzee Kanyara, yule ana watoto wawili we upo tu, unazungua mshenzI wewE 😎hivi uchangamke 🤬.

Baba: Call ended.
 
Mwambie Dingi yako hivi KATAA NDOA, ndoa ni ndoano.
 
Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣

Huyuhuyu kijana ndo yupo JF Kila Uzi anaandika kataa ndoa.. ndoa uhuni...ndoa usanii😎
 
:Kwa kweli nakataa ndoa ila napend mbususu"
 

Attachments

  • FB_IMG_1675375753319.jpg
    33.5 KB · Views: 3
Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣

Huyuhuyu kijana ndo yupo JF Kila Uzi anaandika kataa ndoa.. ndoa uhuni...ndoa usanii😎
nani huyo anaandika kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…