Simu ya baba

Simu ya baba

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Baba: calling --------------

Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu.

Baba: Marahaba, hujambo?

Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima?

Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au?

Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe baba huwa nipo busy mara nyingi.

Baba: Sawa, sasa unasubiri mpaka nife ndo uoe? Fanya mpango basi 😎.

Mimi: Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣.

Baba: Changamka bhana unaniangusha. Mtoto wa mzee Kanyara, yule ana watoto wawili we upo tu, unazungua mshenzI wewE 😎hivi uchangamke 🤬.

Baba: Call ended.
 
Baba: calling --------------

Mimi: Hallow shkamoo mzee wangu

Baba: Marahaba hujambo

Mimi: Mimi sijambo mzeee vipii huko wazima ?

Baba: Huku wazima tumetingwa nakilimo hapa vipii wew mbona sikuelew simu hupigi adi mimi nikupigie sio huna vocha au

Mimi: Aaaah$$,$:!Apana nisamehe baba huwa nipo busy mara nyingi

Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎

Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣

Baba : Changamka bhana unaniangusha mtoto wa mzee kanyara yule anawatoto wawili we upo tyu unazungua mshenz wew 😎hivi uchangamke 🤬

Baba: Call ended
Mwambie Dingi yako hivi KATAA NDOA, ndoa ni ndoano.
 
Aliyeanzisha kampeni ya "Kataa ndoa" anawanawake wawili. Msidanganyane mitandaoni
sio kweli bado sijaoa
20230130_130712.jpg
 
Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣

Huyuhuyu kijana ndo yupo JF Kila Uzi anaandika kataa ndoa.. ndoa uhuni...ndoa usanii😎
 
:Kwa kweli nakataa ndoa ila napend mbususu"
 

Attachments

  • FB_IMG_1675375753319.jpg
    FB_IMG_1675375753319.jpg
    33.5 KB · Views: 3
Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣

Huyuhuyu kijana ndo yupo JF Kila Uzi anaandika kataa ndoa.. ndoa uhuni...ndoa usanii😎
nani huyo anaandika kataa ndoa
 
Back
Top Bottom