mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
Baba: calling --------------
Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu.
Baba: Marahaba, hujambo?
Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima?
Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au?
Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe baba huwa nipo busy mara nyingi.
Baba: Sawa, sasa unasubiri mpaka nife ndo uoe? Fanya mpango basi 😎.
Mimi: Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣.
Baba: Changamka bhana unaniangusha. Mtoto wa mzee Kanyara, yule ana watoto wawili we upo tu, unazungua mshenzI wewE 😎hivi uchangamke 🤬.
Baba: Call ended.