Uje uchukue basi hata nikuwone nimekumiss[emoji23] [emoji23] bamdogo nimecheka kwa nguvu jamaan nakudai ndio [emoji125]
Fresh tuMpwa wake mtu vip
Mie sifichi lazima niangalie tuu hata iweje mbona yangu akijisikia anaangaliaKukagua simu ni jambo moja.
Kubwa kabisa ni kukuta jitu linamtongoza halafu haoneshi msimamo kuwa mpo nae kwenye ndoa au uhusiano, anamjibu mubashara tu!!! Hapo ndipo utapojua kisamvu ni mboga na mhogo ni mzizi.
Haha naona hadi shetani mwenyewe ametuchoka daahNdiyo pakujiuliza hapo unayemficha anakupikia anakufulia anakufanyia utakacho lakini simu tu mmm tunamsingizia shetani kweli naye atakuwa anamwambia Mungu watu wako siwawezi
Haaa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] tabia mbaya mpaka hadi wanyama watushangaa hawa binadamu vipi.[emoji44]Haha naona hadi shetani mwenyewe ametuchoka daah
Tulia kwanza weww. ...na kesi na wewenimefanyaje tena bamdogo [emoji134]
Navuta picha tu hiyo nyingiiii ulivyoitamka.nakuja bamdogo ila basi hizo hela ninazokudai ziwe nyingiiii sana
Mkuu... Mhhh..bila shaka kwenye "watu wana mbinu"... Hukosi mkuu.Mkuu unadhani kuchunguza ndio kuzuia kuibiwa. Watu wana mbinu mkuu achaa.
Kwa nini ukaniweka kwenye watu wenye mbinu?Mkuu... Mhhh..bila shaka kwenye "watu wana mbinu"... Hukosi mkuu.
Tumegee kidogo tuu..
We acha tu mkuu,makoloni mengi.hahahh kwa nini