Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Ndio inavyokua badae unaonekana mbaya
 
Hahahahahaha,ngoja nicheke.Mi naangalia naishika.Nshagajiandaa kisaikolojia kwa lolote so siwezi kupata presha.Nashika kuangalia SMS videos etc.
Hahaa me hiyo siku ntakayokufa kwa presha kisa kushika simu ndo utakuwa mwisho wa kushika simu. Me simu ntaishika tu anytime nikijisikia. Privacy ndo mdudu gani?
 
Ndoa za maigizo ni nyingi sana!
Ajabu hii, halafu watu wanalalamika eti ndoa hazina amani, michepuko, wanataka wenza wawe responsible. Hivi mtu anashindwa kuwa responsible kwenye simu ataweza kwenye makubwa zaidi?

Kweli maigizo.
 
Mimi simu yako lazima nishike kama hautaki usiwe na mimi.
Hahahah Yani ni nini kinachofichwa humo ndani? Teh watu tunaishi kwenye denial kweli, tunajua kilichomo kwenye simu za wenzi wetu ndo maana tunapretend hakutaki kuzishika. Furaha itoke wapi while unajua kabisa mwenzako anachokifanya. Una postpone tu matatizo, unaignore leo umejua ana mchepuko ili usipate presha, ila presha utaipata siku utakapoambukizwa gonjwa. Mimi kuishi bila simu ya babes mbona ntafwaaa
 
Thank you uncle
 
Mimi ninayapenda maisha yangu, vitu ninavyojua vitanipa stress niko allergic navyo kama simu za watu.
 
kwa kweli naomba na naomba nisivae uhusika wa jinsia yenu. Labda nimwite Heaven Sent ahitimishe tu.
Teh uncle tumeshazoea kufake hadi furaha. Sasa mtu unajua kabisa mwenzangu anafanya A, B, C na yana kuumiza ila unaamua kujifanya huyaoni ili usiumie roho. Kweli kuaccept ukweli huwa ni kazi sana, let's live in denial. Mie kupretend nina furaha huku najua unayoyafanya yananiumiza siwezi kabisa. Unfortunately it's like huwezi kuwa mke aliyekamilika bila kuvumilia maumivu ambayo mtu anayafanya kwa utashi wake. Tunawapa wanaume uhuru wa kuendelea kutuumiza as long as hatujui ni nini wanachofanya huko. Unfortunately in reality ni huwa tunapostpone tu hizo heart attacks, kwa sababu ukiignore ndo anaendelea tu na uchafu wake, jiandae tu kwa magonjwa, step children, kurogwa na michepuko etc.
 
Mpwa nashindwa kuelewa mtu anajua anaibiwa halafu anaamua kuweka mazingira ili asione anaibiwa ilihali mwizi anamjua. Poor them endelea kuwa brave I always pray for you [emoji4]
Thank you uncle, let's keep on living in denial, that's what we are good at.
 
Simu ya mke wangu halafu nisiwe na uhuru wa kuigusa!!!! Mimi simu ya demu wangu huwa naitumia kama yangu je, nikimuoa???!!!

Kiufupi mimi amani ya moyo wangu ni kuitmia simu ya mchumba/mke kama yangu.
Naweza kupokea na kusoma meseji sababu mimi ndo namnunulia simu na vocha pia.
 
Ila hauoni utajitesa [emoji6]
Kama ana affair kuna njia nyingi za kugundua,
1, anaweza kupoteza attention kwako simu ikiita, hiyo ni alarm call, nitagundua tu lakini si kwa kutafuta kwenye simu. Si unajua wakati mnaanzana ndiyo pa kusomana wakati ule mapenzi matamu kama chungwa, akibadilika baada ya pale utajua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…