Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini?
Maswali yako mengi yanayokosa majibu.
Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi leo? Na kwanini asinijulishe kwa namba nyingine?
Sijulikani kwao kwahiyo sina namba ya mtu wa kwao yeyote wa karibu anayeweza kunieleza kinachoendekea.
Naombeni msaada kabla sijaongeza idadi ya machizi nchi hii.