- Thread starter
- #41
Kwakweli nikipata nafasi ya kulipa kisasi atajuta. Maana nimeumia mnoVumilia lakini zamu yako ikifika atakutafuta tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli nikipata nafasi ya kulipa kisasi atajuta. Maana nimeumia mnoVumilia lakini zamu yako ikifika atakutafuta tu
Utalipaje ?😅tushirikishe mawazoKwakweli nikipata nafasi ya kulipa kisasi atajuta. Maana nimeumia mno
Endapo in one way or another atashindwa huko alikokimbilia na kutaka kunirudiaUtalipaje ?😅tushirikishe mawazo
Kula pilau utambae mkuu usisumbue watu na raha zao.Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini?
Maswali yako mengi yanayokosa majibu.
Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi leo? Na kwanini asinijulishe kwa namba nyingine?
Sijulikani kwao kwahiyo sina namba ya mtu wa kwao yeyote wa karibu anayeweza kunieleza kinachoendekea.
Naombeni msaada kabla sijaongeza idadi ya machizi nchi hii.
Mnawatoaga wapi hawa?This is same situation I'm in.
Bora wewe tangu Christmas, mimi kabla ya hapo kaamua kwenda kwao, hadi siku nitakapo amua kumnunulia simu mpya, nimpe hela ya siku kuu.
Mimi nimeamua kukaza ubongo nione kama atanitafuta au laah, ila ninachoumia, nilikuwaga natumia pesa unnecessarily kwa ajili yake. 😂 😂 😂 😂
Ila nimegundua kuna mademu ni vilaza sana (Kodi nalipa mimi, namlisha namvalisha), alafu at the end wana demonize wanaume.
Mwanangu hebu tukaze hadi February tuone
Daah! Maneno machungu lkn ndiyo ukweli wenyewe!Kula pilau utambae mkuu usisumbue watu na raha zao.
Ikiwa atakwambia alipata ajali msamehe vinginevyo acha kusumbua watu wale raha zao kwa uhuru wala hajaenda kwao
Sawa lakini uache usumbufu kuanzia Sasa,acha hizo simu nyingi kama unaomba msaada kwa zimamotoEndapo in one way or another atashindwa huko alikokimbilia na kutaka kunirudia
Nisiporidhika na sababu zake asahau. Huwa sishei mapenzi mm. Naijielewa sanaSawa lakini uache usumbufu kuanzia Sasa,acha hizo simu nyingi kama unaomba msaada kwa zimamoto
Subiri ashughulikiwe huko ukikumbukwa utarudiwa na baada ya hapo maamuzi ni yako.
Jamani wanawake wanaumiza sana...acha niachie hapaDaah! Maneno machungu lkn ndiyo ukweli wenyewe!
Yapo mangalangala yananishobokea sana lkn mm nilikufa nikaoza kwa huyuTafuta mwingine au mrudie yule ambaye unajua kabisa anakupenda sana, ili akupooze moyo.
Usiendelee tena kumpigia pigia utazidi kuumia!!!
Sasa utafanyaje kama na yeye ameoza kwa wake🤣🤣🤣Yapo mangalangala yananishobokea sana lkn mm nilikufa nikaoza kwa huyu
Naye alikuwa na mb..o..o varieties mmekutana mafisi matupu.Aisee kumbe tuko wengi, sasa mimi ndo alishanikubalia na tukapanga Christmas nikale tunda. Nikaanza kumtafuta tokea jumatano simu haipokelewi, nikatuma message haijajibiwa mpaka leo. Nikamtumia message kila mtu afuate ustaarabu wake na namba nikafuta *****. Sitakagi ujinga, na akija kunitafuta namtukana mpuuzi mmoja. Ila uzuri sikumtegemea sana hii sikukuu nilikua na mbususu varieties kilichopo ni mimi kuchagua ya kuila tuu [emoji3][emoji3][emoji3].Ile kauli ya kuwa na madem wengi ndo iliyoniokoa maana hii sikukuu ingepita kavu kavu.
[emoji23]Sasa utafanyaje kama na yeye ameoza kwa wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapenzi ni kitu kimoja cha ajabu sana.Mnawatoaga wapi hawa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na akitoka Kwa huyo bwana wa kijijini, anapasua screen Kwa makusudi ili aseme alikuwa hawezi kupokea wala kutuma message. Na utatoa hela kwenda kumbadilishia screen. [emoji23][emoji23]
Maisha bhana.