Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

Na akitoka Kwa huyo bwana wa kijijini, anapasua screen Kwa makusudi ili aseme alikuwa hawezi kupokea wala kutuma message. Na utatoa hela kwenda kumbadilishia screen. [emoji23][emoji23]
Maisha bhana.

dadadq ukijua lazima umunyoge
 
Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini?

Maswali yako mengi yanayokosa majibu.
Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi leo? Na kwanini asinijulishe kwa namba nyingine?

Sijulikani kwao kwahiyo sina namba ya mtu wa kwao yeyote wa karibu anayeweza kunieleza kinachoendekea.

Naombeni msaada kabla sijaongeza idadi ya machizi nchi hii.
Piga na namba mpya... akipokea basi ndio hivyo...
 
Yupo chato kufagilia kaburi la bulldozer
 
Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini?

Maswali yako mengi yanayokosa majibu.
Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi leo? Na kwanini asinijulishe kwa namba nyingine?

Sijulikani kwao kwahiyo sina namba ya mtu wa kwao yeyote wa karibu anayeweza kunieleza kinachoendekea.

Naombeni msaada kabla sijaongeza idadi ya machizi nchi hii.
Huyo yuko sehemu kafichwa,, subiri sherehe ziishe atakurudia
 
Pole sana Man, najua maumivu unayopitia ila just be a Gentleman, piga chini then jifanye kama haujui yupo wapi uendelee na mishe zako.
 
Back
Top Bottom