Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini?

Maswali yako mengi yanayokosa majibu.
Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi leo? Na kwanini asinijulishe kwa namba nyingine?

Sijulikani kwao kwahiyo sina namba ya mtu wa kwao yeyote wa karibu anayeweza kunieleza kinachoendekea.

Naombeni msaada kabla sijaongeza idadi ya machizi nchi hii.
 
Huyo atakuwa ana mtu wake mwingine huko kwao period
 
Haha,achana nae atakutafuta mwenyewe.

Usiweke tumaini mu bhatu.
 
Maumivu ya kichwa huanzaa taratibu yani kidogo kidogo maumivu yakizidi kamuone daktari

Open your 👁️ mchumba na mchumba uko alipo haitaji bill hiyo
 
Kapoteza simu maybe
Na mwizi ameshindwa kuizima
Hata mm najipa moyo ktk hili. Ndiyo maana bado naishi. Bila haka kamwanya ningekuwa peponi muda huu
 
Ukitemwa uje kwangu
 
Kiufupi hii thread delete, utaumia zaidi. Mchumba wako hana mapenzi na wewe, and there is something wrong, usifikirie, tafuta mbususu tandika, hata beki tatu kwa muda huu, ndugu hapo huna chako.
Pole pia, the pain is hard naelewa.
 

Pole,uwe chizi kwa ajili ya mtu mwingine,huo ni ujinga zaidi kuliko uchizi wenyewe.
Hiv wanawake mkoje lakini.Yaani mnapataga taabu kwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.mtu kataka kupata utulivu wa kuyasahau matatizo yake kwa muda.usisahau wewe pia uko kwenye list ya matatizo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…