jaap JF-Expert Member Joined Dec 25, 2018 Posts 4,888 Reaction score 6,459 Dec 27, 2022 #101 Sexless said: Duuh! Maneno yako yauchoma kama mkuki kwenye moyo wangu Click to expand... Ni kweli nilishapitia uko ulipo wewe kwasasa nilujinasua kwa kutupa kitu fulani alicho nipaga kama zawadi kumbe yeye kanipa kwa malengo yake ya kunitesa Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sexless said: Duuh! Maneno yako yauchoma kama mkuki kwenye moyo wangu Click to expand... Ni kweli nilishapitia uko ulipo wewe kwasasa nilujinasua kwa kutupa kitu fulani alicho nipaga kama zawadi kumbe yeye kanipa kwa malengo yake ya kunitesa Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
SAMORE JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 400 Reaction score 540 Dec 27, 2022 #102 akukatae hakuambii toka, huona mambo yamebalika, waweza ukae,huwezi ondoka.