Simu yako inazungumza zaidi kuhusu wewe

Simu yako inazungumza zaidi kuhusu wewe

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu.

Inasemwa simu yako inaongea vizuri kuhusu wewe, hapa haizungumzwi brand ya simu,au ama iwe ya gharama au laa,hiyo hiyo simu yako ilimradi iwe smart phone basi ujue inazungumza zaidi kuhusu wewe kuliko unavyojua

Inasemwa kama simu yako kioo kimevunjika na kina makreki mengi basi inaonekana wewe ni mtu ambaye hujijali, kwasababu kama kitu kama simu ambacho unakipenda na upo nacho muda wote halafu iko rafu rafu basi hakika wewe si mtu wa kujali mambo

Wakati mwingine mnakosa kazi kwenye interview kwa sababu ya mambo kama hayo, kama hujali simu yako je utajali kazi za watu?

Hapa sisemi wale ambao simu zao wamezifunga balabendi hahahah, guys ndio maana unakuta mtu anakwambia nimefanya interview ya kwanza nimepita ya pili nayo ila ya tatu oral dah ndo nimefeli, kumbe huenda simu yako imekuangusha hahah

So huenda kuna ukweli au laa lakini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, so take care

Ni hayo tu!
 
kama hii au
Screenshot_20241106-001816~2.jpg
 
Back
Top Bottom