Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Acha kioo mimi protector tu ikipata mkwaruzo kidogo tu, naitoa naweka ingine, sina historia ya kupasua kioo cha simu kwenye maisha yangu, situmii kava za simu na simu haichubuki hata kidogo.
Huwa siruhusu mtu ashike simu yangu, huwa nahisi anaweza kuidondosha.
Naweza nikawa na simu miaka mitatu ikaonekana bado mpya.
Siweki simu mezani au kwenye chaji bila kutanguliza kitambaa kuzuia mchumbuko wa body.