mkuu vipi kwa SMS unafoward vipi toka kwa mtu mwingine zije kwanguKama unataka simu zote za mtu mwingine ziwe zinakuja kwako (call forwarding kutoka line yake kwenda kwako), lazima uweke mwenyewe kwenye simu yake kwa sababu forwarding inafanya kazi kwenye line husika, huwezi kufanya remotely bila kutumia simu yake.
Code ya kuweka forwarding (kwa line yake kwenda kwako):
1. Ingiza hii kwa kutumia simu yake:
*21*YOURNUMBER# kisha bonyeza Call.
Mfano: kama namba yako ni 0712345678, atabonyeza *21*0712345678#
Kuanzia hapo, simu zote atakazopigiwa zitakuja kwako.
2. Kama unataka forwarding ikafanye kazi pale ambapo hajapokea simu iliyopigwa, code ni:
*61*YOURNUMBER#
3. Kama unataka forwarding akiwa busy, code ni:
*67*YOURNUMBER#
4. Kama unataka forwarding simu ikiwa imezima au haina network, code ni:
*62*YOURNUMBER#
Code ya kuzima forwarding tena:
##21# kuzima forwarding zote za “always”
##002# kuzima forwarding zote kabisa kwa pamoja
Na vp kupata sms zinazoingia kwenye simu ya mtu mwingine?Kama unataka simu zote za mtu mwingine ziwe zinakuja kwako (call forwarding kutoka line yake kwenda kwako), lazima uweke mwenyewe kwenye simu yake kwa sababu forwarding inafanya kazi kwenye line husika, huwezi kufanya remotely bila kutumia simu yake.
Code ya kuweka forwarding (kwa line yake kwenda kwako):
1. Ingiza hii kwa kutumia simu yake:
*21*YOURNUMBER# kisha bonyeza Call.
Mfano: kama namba yako ni 0712345678, atabonyeza *21*0712345678#
Kuanzia hapo, simu zote atakazopigiwa zitakuja kwako.
2. Kama unataka forwarding ikafanye kazi pale ambapo hajapokea simu iliyopigwa, code ni:
*61*YOURNUMBER#
3. Kama unataka forwarding akiwa busy, code ni:
*67*YOURNUMBER#
4. Kama unataka forwarding simu ikiwa imezima au haina network, code ni:
*62*YOURNUMBER#
Code ya kuzima forwarding tena:
##21# kuzima forwarding zote za “always”
##002# kuzima forwarding zote kabisa kwa pamoja
mkuu vipi kwa SMS unafoward vipi toka kwa mtu mwingine zije kwangu
“Chanzo cha jinai hiyo ni kutokana na wivu wa kimapenzi”Na vp kupata sms zinazoingia kwenye simu ya mtu mwingine?
Ww Tulia, ngoja mhusika ajibu“Chanzo cha jinai hiyo ni kutokana na wivu wa kimapenzi”
HahahahHiyo ni alama ya waya unaotoka ccm kwenda nida na nec
kama kila kitu kikipelekwa kwenye AI. jf tutaijia nini sasa? kuna feelings tofauti kwenye majibu ya AI na binadamu AI itumie kama reference tuHauna AI kwenye simu yako, acha kutusumbua asubuh subuhi na hangover zetu.
hujui kumtumia😂😂Kwa kukujibu tuView attachment 3451059
Usione mtu anauliza ni kujaribu. Huyo AI wako hajasaidia
Huku ni kwa magreat thinkers, maswali madogo madogo kama hayo unamalizana nayo huko huko.kama kila kitu kikipelekwa kwenye AI. jf tutaijia nini sasa? kuna feelings tofauti kwenye majibu ya AI na binadamu AI itumie kama reference tu
Mueleweshe bwana mdogo huyo kwanza picha linaanza huyo Ai wake wakugoogle.hujui kumtumia😂😂