Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

mkuu vipi kwa SMS unafoward vipi toka kwa mtu mwingine zije kwangu
 
Na vp kupata sms zinazoingia kwenye simu ya mtu mwingine?
 
Hauna AI kwenye simu yako, acha kutusumbua asubuh subuhi na hangover zetu.
kama kila kitu kikipelekwa kwenye AI. jf tutaijia nini sasa? kuna feelings tofauti kwenye majibu ya AI na binadamu AI itumie kama reference tu
 
kama kila kitu kikipelekwa kwenye AI. jf tutaijia nini sasa? kuna feelings tofauti kwenye majibu ya AI na binadamu AI itumie kama reference tu
Huku ni kwa magreat thinkers, maswali madogo madogo kama hayo unamalizana nayo huko huko.

Huku tuletee hoja za kuumiza akili ndio turuke nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…