Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae.
simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne.
Kwa sasa amani ninayoipata ni kubwa sana, ni peace of mind, moyo na kichwa vimetulia, nimegundua ile namba yangu official ya whatsapp ambayo naitumia kwa muda mrefu ilikuwa inanifanya niwe bize sana mitandaoni