Simu za Google Pixel zina shida gani?

Pixel ni simu nzuri sana sema hapo china plaza masimu yao yote ni famba,nilikua kwenye pixel 7a juzi kati nikajilipua kwenye mnyama mwenyewe ni full burudani
 
Simu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibao
 

Ukiacha TRA na polisi nadhani TBS inashika nafasi ya tatu katika upokeaji rushwa. Vijana wadogo hawana hata muda mrefu kazini lakini wana ukwasi wa kuogopesha! Nchi imekuwa na bidhaa fake nyingi mno kuanzia mavazi, electronics, vipuli, vipodozi na bidhaa nyingine nyingi. Mwananchi ananunua bidhaa aina moja mara mbili kwa mwaka mfano ni simu unanunua baada ya miezi minne imekufa inakupasa ununue tena.
 
Simu ni Samsung na iPhone hzo nyingine ni takataka.
 
Simu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibao
Na pia simu brand kubwa kama i phone na samsung ikishapita miaka miwili toka itoke basi ujue huwez pata mpya hapa bongo utashikishwa refub au used..

Mfano sa hv samsung wapo S24.. ukikuta mtu anakwambia ana S22 mpya kimbiaa ni muongoo official store zote matoleo ya nyuma wanakuwa hawana..

NB USIDANGANYWE NA BOX NA ACCESORIES HIVO VINAFUNGWA UPYA TU
 
Almanusra kesho nilkuwa niende hapo china plaza nikanunue
 
Nina Infinix hot 10 T mwaka wa 4 huu natumia,tatizo lenu mnanunua mavitu msiyoyajua Ili muwe matawi ya juu
 
Nina Infinix hot 10 T mwaka wa 4 huu natumia,tatizo lenu mnanunua mavitu msiyoyajua Ili muwe matawi ya juu
 
Vipi network Mkuu?
Mimi ninayo toleo la 6, nikiongea na watu sometimes wanasema inakatakata sana lakini mimi nawasikia fresh tu.
 

Hii Pixel ina Gorilla Glass ipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…