Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Ni kutokuelewa mambo kweli, unakutana na mtu mpenzi wa kudowload vitu na iPhone inam limit but bado kakomaa nayo tu kisa aonekane matawi kutumia iPhone hahaha au show tu yani Bongo Kuna kaushamba hadi mtu hajui anataka nini ni kufata mkumbo wa fashion tu bila kuzingatia mahitaji yako basically
 
[emoji16][emoji16]
 
Ndio maana wanababuliwa tu,Kuna Demu ananletea izo iPhones toka Turkey kwa 420K tu Bongo tunawababua 760k kwa ushamba wao [emoji23]
Me nmetulia zangu kwa Android
P series sema nataka kuijaribu Samsung S10+ pia niione
[emoji16][emoji16]
 
Fansy tu,wabongo ni Taifa tunaopenda show tu bila kwenda deep kuangalia (research)hata magari iko hivo ukicheki barabarani Kama sare ya Taifa watu wanafata mkumbo tu
Sasa hivi Premio zipo barabarani utafikiri uniform
 
Ndio maana wanababuliwa tu,Kuna Demu ananletea izo iPhones toka Turkey kwa 420K tu Bongo tunawababua 760k kwa ushamba wao [emoji23]
Me nmetulia zangu kwa Android
P series sema nataka kuijaribu Samsung S10+ pia niione
[emoji3][emoji3][emoji3]
Usiache hiyo biashara kama wananunua alama badala ya simu
Waturuki ni kiboko kwa fake
Ukiwapekea kitu chochote wanakutolea copy hata million
Nakumbuka walitoa spare za Benz zikaingia UK yaliyowakuta acha tu jamani wazungu nouma
 
Una experience na camon x pro???

Mbona iphone ndiyo ina fake specs camera ya 8mp imezidiwa na huawei lua U22 yenye megapixel 5

Nmetumia phantom 6,h6,camon 11,camon cx air,k7,spark 2,k9 na tecno phantom 8..... io camon x sina experience nayo mkuu
Kwahyo hoja yako ni kua tecno camon x ikisimama na iphone lets say 7+ IPhone 7+ atasubiri? [emoji23][emoji23] haha hatari faya....ati niniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tecno mtabaki kua juu sana[emoji23][emoji23]
 
Ngoja niingie kwa google mkuu nijiridhishe
 
Fansy tu,wabongo ni Taifa tunaopenda show tu bila kwenda deep kuangalia (research)hata magari iko hivo ukicheki barabarani Kama sare ya Taifa watu wanafata mkumbo tu
Yap watu wakiona jayz anatumia basi nao wanapagawa wanahisi wakitumia simu sawa na jayz wanakua wanaishi maisha sawa, sasa unakuta jayz ana bugatti kumi wewe hata alteza huna halafu unataka maisha ya show uonekane unaishi kama jayz

Ndo hao unakuta mtu ana iphone halafu anamuita rafiki yake mwenye simu ya tecno ampige picha ili ile logo ya apple ionekane apost insta watu wajue kua jamaa yuko high level
 
mbishano huu huwa hauchoshi hata siku moja 😂😂
 
Nawala sana mademu wanaopagawa na hili tunda lililong’atwa nyuma ya simu yangu. Iphone ndio simu...hizo porojo zingine endeleeni kujifariji
 
Umefananisha kwa vitu gani??? hii ndio ishu kubwa hapa sio tantalila

Kama kile kilogo kimeliwa upande kinakuchanganya je kingekua full ingekuwaje??
 
Simu kwangu siyo camera [emoji328]
Bali ni security Bravo IPHONE [emoji390]
 
Mkuu wewe unaikubali Brand ipi ya Simu?
 
baada ya kuona hii thread nikasema ngoja nijaribu hii brand na nikaanza na huawei y7 prime aisee ni katamu balaa
 
Mkuu wewe unaikubali Brand ipi ya Simu?
Xiaomi mkuu na kuna One Plus hizi simu kwa niliowashawishi wakanunua naona wamezikubali haswa,ninayo Redmi Note 5 kwa matumizi na maoni yangu naona ni simu sahihi kwa mtu anayetaka kitu kizuri na anayenunua simu bila kufuata jina.
 
Dah! Ulaya wana simu zao,Amerika wana simu zao Asia wana simu zao.Najiuliza tu,HIVI SISI WAAFRIKA TUMESHINDWA KWELI KUTENGENEZA SIMU ZETU hadi tunabaki kushabikia sijui IPhone,Techno,Huawei n.k?
 
Nampango wa kununua Huawei nione zikoje kwa sababu ya drama zinazoendelea kipindi hiki. Kwa sasa nina iPhone na Samsung.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…