Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Ni kutokuelewa mambo kweli, unakutana na mtu mpenzi wa kudowload vitu na iPhone inam limit but bado kakomaa nayo tu kisa aonekane matawi kutumia iPhone hahaha au show tu yani Bongo Kuna kaushamba hadi mtu hajui anataka nini ni kufata mkumbo wa fashion tu bila kuzingatia mahitaji yako basicallyMkuu tatizo ni kuwa hatutengenezi kitu kwa hiyo ni mkumbo tu na kutokuelewa mambo
Yaani mtu kafungua kaduka ka simu halafu anaisifia simu aina moja mpaka anajikuta wateja wanamwambia kama huna hiyo basi
Sasa hapo kajiharibia biashara na hizo zingine ambazo hakuzisifia zinamdororea dukani
Waswahili tuna mambo
Yaani promo halafu mengine yamemlalia [emoji3][emoji3][emoji3]