Ungenunua ambayo Ni unlocked usingepata tabu yote hiyo.Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
Kazoea. Nyumbu. Kazj nmmmmUngejua kua huawei ndiyo ilimpindua iphone kwenye series yake ya p20 usinge mkashifu mtoa mada
Lakini pamoja na ulinzi wote lakini watu wana bypass icloud vizuri tu, yaani iphone imekua haina utofauti na tecno kwenye maswala ya FRP
Unapewa chenye Thamani ya Pesa Yako !Huawezi zinazouzwa ulaya ni tofauti zinazouzwa africa... in terms of quality.... sisi tunanunua simu zimeandikwa for East africa only....
PRICE IN INDIA₹ 71,990
PERFORMANCE Octa core
DISPLAY6.47" (16.43 cm)
STORAGE256 GB
CAMERA40MP + 20MP + 8MP
BATTERY4200 mAh
RAM8 GB
LAUNCH DATE IN INDIAApril 15, 2019 (Official)
Niambie iphone gani anagusa moto huuView attachment 1075557
Siwezi kukubishia, kama ulipeleka kwa mafundi wako wa vichochoroni walio zoea ku hard reset simu za android ukategemea watafanya hivyo hivyo na iphone[emoji23][emoji23] Acha uongo mkuu....kitu hiko hakipo dunianii[emoji23][emoji23] kawadanganye watoto huko
Huawei p30 proInaitwaje
Siwezi kukubishia, kama ulipeleka kwa mafundi wako wa vichochoroni walio zoea ku hard reset simu za android ukategemea watafanya hivyo hivyo na iphone