k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 702
- 705
Ungenunua ambayo Ni unlocked usingepata tabu yote hiyo.Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.