Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
Ungenunua ambayo Ni unlocked usingepata tabu yote hiyo.
 
Lakini pamoja na ulinzi wote lakini watu wana bypass icloud vizuri tu, yaani iphone imekua haina utofauti na tecno kwenye maswala ya FRP

[emoji23][emoji23] Acha uongo mkuu....kitu hiko hakipo dunianii[emoji23][emoji23] kawadanganye watoto huko
 
[emoji23][emoji23] Acha uongo mkuu....kitu hiko hakipo dunianii[emoji23][emoji23] kawadanganye watoto huko
Siwezi kukubishia, kama ulipeleka kwa mafundi wako wa vichochoroni walio zoea ku hard reset simu za android ukategemea watafanya hivyo hivyo na iphone
 
Siwezi kukubishia, kama ulipeleka kwa mafundi wako wa vichochoroni walio zoea ku hard reset simu za android ukategemea watafanya hivyo hivyo na iphone

[emoji23][emoji23] Acha uongo babu....hakuna kitu kama hicho duniani[emoji23][emoji23] hakuna cha mafundi wa uchochoro wala nini.....hakuna kitu kama icho ayo mambo Danganyana na hao hao wa android...
 
Back
Top Bottom