Usijaribu kutumia hiyo Samsung inakawaida ya kuweka varus mimi kwa Sasa nimeisusa nimeiweka kwa kupokea simu tu.Hata mimi mkuu sijawahi kutumia samsung na sitarajii mbele ya huawei yangu.
Nikajua unaangalia specs kumbe ni prestigeWengine siyo kubisha ila wanaangalia u-exclusive. Kwa mfano mimi simu ikishakuwa na bei ya kufanya hata watu wa kati wamudu kuinunua siitamani. Mimi naenda kwenye ubora na u-exclusive. Ndiyo maana Iphone zimekuwa chaguo langu.
Mkuu hivi iphone ina specs gani za kutisha mpaka ushindwe kuifananisha na tecnoACHA KUFANANISHA iPHONE NA TAKATAKA ZA AJABU WEWE
Kile ki logo cha apple kule nyuma kinawafanya watu wafungue wallet zao bila hata kujiuliza mala mbili mbiliTunaruka ruka makida makida ila IPHONE pierre anakwambia itabaki kuwa Juu Juu Juu zaidi.. say yeeeeeeeaaaaah
TWENDE KWA SPECS...WEKA TECNO YAKO NA MIMI NIWEKE IPHONEMkuu hivi iphone ina specs gani za kutisha mpaka ushindwe kuifananisha na tecno
Unaweka iphone ngapi?@TWENDE KWA SPECS...WEKA TECNO YAKO NA MIMI NIWEKE IPHONE
IPHONE XUnaweka iphone ngapi?@
Ndo maana wana mgogoro na marekani. Wanataka wawazuie wasizinduwe huduma ya 5G. Na CEO wake alipokamatwa kule Canada ni mwendelezo huo huo.Mzuqa!
Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.
Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei
Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.
Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.
Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.
China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Mkuu wewe ni die hard Samsung userUjanja wote huo bado unatumia simu ya bezel kubwa hivyo? Halafu unaongelea Ulaya ipi? Maana Samsung S10 imeingia juzi juzi tu lakini now kila upitapo watu wanazo!
Mkuu niweke hapa salary slips? Niweke? Ngoja ni kupotezee tu usije kufa na pressure bureWabeba maboksi, wafagiaji na wasafisha vyoo na wasukumaji wa viti vya wazee na watu wa kutawaza viajuza vilivyotelekezwa na watoto wao ndio hununua hizi simu unazosema.
Ok mi naweka tecno camon 11 proIPHONE X
anza na specs zakoOk mi naweka tecno camon 11 pro
TECNO CAMON 11 PRO ina RAM 6GBanza na specs zako
Specs za simu zote za high end zilizoko sokoni hazitofautiani sana. Ni vitu vidogo vidogo sana vinazitofautisha simu ambavyo siyo big deal. Kwa mfano unapoangalia specs za Samsung 10, Huawei 30 na Iphone 10s max karibu funtion ni zile zile. Ndiyo maana mimi nikaamua ku-base zaidi kwenye prestige!Nikajua unaangalia specs kumbe ni prestige