Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Tunaruka ruka makida makida ila IPHONE pierre anakwambia itabaki kuwa Juu Juu Juu zaidi.. say yeeeeeeeaaaaah
 
Hata mimi mkuu sijawahi kutumia samsung na sitarajii mbele ya huawei yangu.
Usijaribu kutumia hiyo Samsung inakawaida ya kuweka varus mimi kwa Sasa nimeisusa nimeiweka kwa kupokea simu tu.
 
Wengine siyo kubisha ila wanaangalia u-exclusive. Kwa mfano mimi simu ikishakuwa na bei ya kufanya hata watu wa kati wamudu kuinunua siitamani. Mimi naenda kwenye ubora na u-exclusive. Ndiyo maana Iphone zimekuwa chaguo langu.
Nikajua unaangalia specs kumbe ni prestige
 
Tunaruka ruka makida makida ila IPHONE pierre anakwambia itabaki kuwa Juu Juu Juu zaidi.. say yeeeeeeeaaaaah
Kile ki logo cha apple kule nyuma kinawafanya watu wafungue wallet zao bila hata kujiuliza mala mbili mbili
 
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Ndo maana wana mgogoro na marekani. Wanataka wawazuie wasizinduwe huduma ya 5G. Na CEO wake alipokamatwa kule Canada ni mwendelezo huo huo.
 
Mkuu acha kamba, nchi za ulaya wazungu wengi wanapendelea apple products
 
Nikajua unaangalia specs kumbe ni prestige
Specs za simu zote za high end zilizoko sokoni hazitofautiani sana. Ni vitu vidogo vidogo sana vinazitofautisha simu ambavyo siyo big deal. Kwa mfano unapoangalia specs za Samsung 10, Huawei 30 na Iphone 10s max karibu funtion ni zile zile. Ndiyo maana mimi nikaamua ku-base zaidi kwenye prestige!
 
anza na specs zako
Hizo hapo leta zako
IMG_20190419_180819_194.jpeg
IMG_20190419_180803_651.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20190419_180819_194.JPG
    IMG_20190419_180819_194.JPG
    57.8 KB · Views: 24
  • IMG_20190419_180742_070.JPG
    IMG_20190419_180742_070.JPG
    49.7 KB · Views: 19
  • IMG_20190419_180742_070.jpeg
    IMG_20190419_180742_070.jpeg
    45.1 KB · Views: 22
Personally Samsung ni brand moja nimetokea kuidharau sana,nilikuwaga na simu brand hii nikaitumia almost 7 month baada ya Mungu mimi huwa naamshwa na alarm ya simu sasa siku hiyo asubuhi imeniamsha vizuri nikaamka nikaiweka simu mahali salama baadae kuja kuichukua nataka nifanye mambo yangu ikawa haiwaki.

Kufupisha story ilibidi niiuze kama kopo na niliyemuuizia mpaka sasa namdai 30K na mategemeo kwamba atanilipa wala sina.kinachoifanya hii kampuni inatamba duniani hata hapa kwetu hasa pale Kariakoo ni wanajua kucheza na media,mapicha picha yale kwenye mabango pale Agrey/Uhuru Str wanunua simu kwa promo wanajikuta wanatandikwa tu.

Na wanatandikwa kweli kweli haya ma-refurbished phones hasa ya Samsung,ukijichanganya kwa wale mangii na wajue hujui ipi imechakachuliwa ipi haijachakachuliwa basi jua hutotoka salama.
 
Huawei ni levo zingine kabsa hiyo ni Huawei honor V10, Ram 6 Room GB64 camera ndo usiseme... Sijawahi jutia kutumia simu hii.Huawei ni simu bora kwa sasa tatizo bei zake ni ghali kidogo.
images%20(1).jpeg
 
Back
Top Bottom