Kiufupi wewe hujielewiYsko
Kuna kitu kinaitwa vigezo na masharti kuzingatiwa. Yaani unaambiwa bei ya simu kwa Cash,then unaambiwa bei ya simu kwa mkopo then unapima ukiona kubwa unaenda kwenye maduka yanayobandika ikiwa huna uwezo wa cash.Sasa mkuu hiyo sio kidogo ni pasuu kwa pasuu
Kivipi? Una biashara mtaji ni 50M ukaamua upanue biashara ili uweze kuagiza mizigo China, unaenda bank kukopa 50M shida iko wapi hapo?Mikopo inafilisi,anayefaidika na mikopo ni mkopeshaji na siyo mkopaji,ukiona mkopaji amefaidika na mkopo ujue kuwa alikuwa na mtaji wake kabla ya kukopa,ndio maana hata wakopeshaji hawatowi mali zao kama mtaji,wanatoa kwa mtu mwenye mtaji wake kwanza.
Ban inakunyemelea tena we Mlibwende na sababu unaijua...🙎Duh aiseee
Ndio maana nikasema kuwa wanaofanikiwa ni wale ambao wanakopa kwa ajili ya kuongezea kwenye mitaji yao lakini wanaokopa kama mtaji wao wakuanzia huwa wanaishia kufilisika,kwanza hata wakopeshaji hawakubali kukukopesha ni mpaka uwe na kitu chako kwanza.Kivipi? Una biashara mtaji ni 50M ukaamua upanue biashara ili uweze kuagiza mizigo China, unaenda bank kukopa 50M shida iko wapi hapo?
Ban inakunyemelea tena we Mlibwende na sababu unaijua...🙎
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Subiri mpaka upate fedha ndio ununue kama hutaki kukopaUchumi mkuu
AiseeHaki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Icho kingereza cha ON HOW nawachapaka sana watoto kwenye dibeitiOn how?
Si huwa mbakimbia na hela za mikopo ya MGODI,NIVUSHE etc. Hizi simu hakuna uwezekano wa kukimbia mkaacha deni?Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Biashara hizo ukiweka riba ndogo kwa watanzania itakula kwako uaminifu ni mdogo watanzania wengiSimu za mkopo ni mfano halisi wa "kausha damu ".
Hajui maana ya mkopo huyopasua kichwa ni wewe, kanunue ya 280k, hujashikiwa bunduki huko mzee baba