Simuelewi mtu huyu

Mtu mwenye familia, wakiume, unalalaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio kitanda kimoja, eti mkiwa mnapiga stori kitandani!

Nadhani anasema, waume za watu ni wanachama pia!
Kuna mazingira mnalala tu,na si hajabu mkuu....
Sema kakutana na kachoko
 
Mtu mwenye familia, wakiume, unalalaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio kitanda kimoja, eti mkiwa mnapiga stori kitandani!

Nadhani anasema, waume za watu ni wanachama pia!
Anashangaza sana huyo bwana mdogo
 
"Afutaroo" yeye ni@Choosen85
Afutarooo yeye kanichekesha sana!

There are unspoken rules of life. Jinsia mbili zinazofanana zikijikuta ziko katika mazingira ya kushare kitanda basi walale mzungu wa nne, au kama kuna kochi mmoja alale kwa kochi au Chini, mnatandika manguo/blanket au mkeka.

Ama sivyo mlale mmenyooka kama rula, hawa ndugu wanagusana miguu hehe!
 
Kuna mazingira mnalala tu,na si hajabu mkuu....
Sema kakutana na kachoko
Nakuelewa ila yakifikia mazingira hayo ujue hakuna kitanda yaani, hata godoro inaweza kuwa anasa.....masaa 3 ya kulala kwa mwanaume anayejitafuta yanatisha sana!

Washkaji wa IT, wanaona bora kusafiri night, asubuhi wanageuza na mabasi...wangeweza kuunganga tu kuchukukua room moja wanne!

Guest houses etc wanakataa watu wa jinsia moja kuchukua room moja!
 
Hivi ili ufanikiwe inabidi usilale eti?
 
Huu uzi wengi hamjauelewa,

Hili ni tangazo.
 
Halafu,wanafanyiana miguso lainilaini/soft touches miilini mwao.Watafika tu wanapopataka.Soft touches ni kwa jinsi ya me na ke tu,remember?
 
Usipoziba ufa utajenga ukuta mlipue mapema
 
Utakuja kustuka umeshaliwa kimasihara huku una type JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…