Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
"Afutaroo" yeye ni@Choosen85
We listen, We don’t judge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We listen, We don’t judge.
Kuna mazingira mnalala tu,na si hajabu mkuu....Mtu mwenye familia, wakiume, unalalaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio kitanda kimoja, eti mkiwa mnapiga stori kitandani!
Nadhani anasema, waume za watu ni wanachama pia!
Anashangaza sana huyo bwana mdogoMtu mwenye familia, wakiume, unalalaje kitanda kimoja na mwanaume mwenzio kitanda kimoja, eti mkiwa mnapiga stori kitandani!
Nadhani anasema, waume za watu ni wanachama pia!
Naungana na wewe, nimechagua kutokuelewa.Sijaelewa na sitaki kuelewa
Sawa mkuuHapana npo kwangu nimetoka uko jpl
Afutarooo yeye kanichekesha sana!"Afutaroo" yeye ni@Choosen85
Nakuelewa ila yakifikia mazingira hayo ujue hakuna kitanda yaani, hata godoro inaweza kuwa anasa.....masaa 3 ya kulala kwa mwanaume anayejitafuta yanatisha sana!Kuna mazingira mnalala tu,na si hajabu mkuu....
Sema kakutana na kachoko
Andika hivi🙁tumia energy/emphatic way/unyoofu (ili kuwaondolea wasomaji wasiwasi)Hapana npo kwangu nimetoka uko jpl
Hivi ili ufanikiwe inabidi usilale eti?Nakuelewa ila yakifikia mazingira hayo ujue hakuna kitanda yaani, hata godoro inaweza kuwa anasa.....masaa 3 ya kulala kwa mwanaume anayejitafuta yanatisha sana!
Washkaji wa IT, wanaona bora kusafiri night, asubuhi wanageuza na mabasi...wangeweza kuunganga tu kuchukukua room moja wanne!
Guest houses etc wanakataa watu wa jinsia moja kuchukua room moja!
Huu uzi wengi hamjauelewa,Afutarooo yeye kanichekesha sana!
There are unspoken rules of life. Jinsia mbili zinazofanana zikijikuta ziko katika mazingira ya kushare kitanda basi walale mzungu wa nne, au kama kuna kochi mmoja alale kwa kochi au Chini, mnatandika manguo/blanket au mkeka.
Ama sivyo mlale mmenyooka kama rula, hawa ndugu wanagusana miguu hehe!
Halafu,wanafanyiana miguso lainilaini/soft touches miilini mwao.Watafika tu wanapopataka.Soft touches ni kwa jinsi ya me na ke tu,remember?Afutarooo yeye kanichekesha sana!
There are unspoken rules of life. Jinsia mbili zinazofanana zikijikuta ziko katika mazingira ya kushare kitanda basi walale mzungu wa nne, au kama kuna kochi mmoja alale kwa kochi au Chini, mnatandika manguo/blanket au mkeka.
Ama sivyo mlale mmenyooka kama rula, hawa ndugu wanagusana miguu hehe!
Now i know buddy!Huu uzi wengi hamjauelewa,
Hili ni tangazo.
Very well.Halafu,wanafanyiana miguso lainilaini/soft touches miilini mwao.Watafika tu wanapopataka.Soft touches ni kwa jinsi ya me na ke tu,remember?
Usipoziba ufa utajenga ukuta mlipue mapemaWakuu mpo sawa
Aisee nina rafiki yangu kuna kazi anafanya na wakati mwingne hunihitaji nikamsaidie sku za weekend na nafkia kwake
Kinachonikela ktendo cha yeye kuwa anajishikashka matako yan anaingza mkono ndan bukta anakuwa anatomasa makalio halafu tukiwa tupo ktandan tunapga story kusogeza muda.
Pili ni ktendo cha yeye akiwa anaongea tukiwa ktandan ni lazma awe ananigusagusa miguun au kwenye mapaja nashkwaga na hasira sn.
Tatu wakati mwngne anaweza kuamka akanikandamiza kwny kiuno badala ya mikono yake kukandamiza kwny godoro ili ainuke ashuke bs ye mkono 1 atakandamiza godoro mwngn atanishka mimi mgongon au kiunoni
Aisee nashkwa na hasira sn jamaa namuheshmu sn hata kumwambia nashndwa nianzie wapi ana family mke na watoto ila kaz zake anafanyia wilaya nyngne tofauti na ilipo family yake.
Na mimi npo wilaya nyngne na nina family.
Wakuu mtu wa namna hii unaweza muhisi na basha au ni choko au namna gn au mnanishauri nini?
Utakuja kustuka umeshaliwa kimasihara huku una type JFPili ni ktendo cha yeye akiwa anaongea tukiwa ktandan ni lazma awe ananigusagusa miguun au kwenye mapaja nashkwaga na hasira sn.
Tatu wakati mwngne anaweza kuamka akanikandamiza kwny kiuno badala ya mikono yake kukandamiza kwny godoro ili ainuke ashuke bs ye mkono 1 atakandamiza godoro mwngn atanishka mimi mgongon au kiunoni
Lets get out of here😀Naungana na wewe, nimechagua kutokuelewa.