Haha..!
Ushauri mzuri Nas,
Ila hapo pa Mama Mbuzi na Baba Mbuzi pamenichekesha..!π
Yaani iko hivi, mzazi mwenzako ni Mbuzi kabiisaaaaaaHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless namimba ya miez 6..nikarud home
JF hii ina mambo, kumbe walikutundika mimbaHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless namimba ya miez 6..nikarud home
Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona Isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock . Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juz Kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu. Sasa anachoniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo.
Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi???
Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau. Mbona mimi simfaalii japo aliniambia bado hajaoa?
Yan nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
We unamuentertain, mimi mzazi mwenzangu uwa mara nyingi akipiga simu nikipokea nampa direct mwanae aongee naye akimaliza nakata.Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless namimba ya miez 6..nikarud home
Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona Isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock . Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juz Kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu. Sasa anachoniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo.
Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi???
Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau. Mbona mimi simfaalii japo aliniambia bado hajaoa?
Yan nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Samahani mkuu, unamlea wewe mwenyewe au una usaidizi?We unamuentertain, mimi mzazi mwenzangu uwa mara nyingi akipiga simu nikipokea nampa direct mwanae aongee naye akimaliza nakata.
Ikitokea akanitxt namjbu fresh akisema kammiss mwanae napiga nakumpa simu direct waongee.
Hatunaga discussion nyingi nyingi. And mind you yeye mwanamke mimi mwanaume.
Hatuna ugomvi ila hatuna ukaribu wa kuanza discuss mambo ya mahusiano yetu. Ikitokea ni taarifa kuhusu masuala yanayomhusu mtoto kama shule, maendeleo yake, afya maana namlea mwenyewe kwake anaendaga mara 1 au 2 kwa mwaka.
Nina msaidizi wa kumfulia kumpkia na vitu vingine. Ila masuala yake ya homework, kumpeleka shule sijui hospital ni mimi mwenyewe labda ikitokea kalazwa hapo lazima niombe msaadaSamahani mkuu,unamlea wewe mwenyewe au una usaidizi?
Asante. Huyo msaidizi mnaishi nae?. Nauliza maana ndiko na mimi ninakoelekea. Usichoke kunipa uzoefu tafadhaliNna msaidizi wa kumfulia kumpkia na vitu vingine. Ila masuala yake ya homework, kumpeleka shule sijui hospital ni mimi mwenyewe labda ikitokea kalazwa hapo lazima niombe msaada
Kama ulivyosema, alikuacha kwa sababu haukuwa na kitu na hakuna mwanamme anayependa mwanamke asiye na mchango kwake.Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless namimba ya miez 6..nikarud home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Yes naishi naye, ukitaka uishi naye amlee vizuri ishi naye kama mdogo wako yani mtreat kama mdogo wako. Mimi anamtreat mwanangu kama mdogo wake hata akikosa anaweza muadhibu nikiwepo. Anamlea vizuri sana mkuu. Yani ajihisi family kabisa kiasi kwamba akienda kwao kila mara anapiga simu kuuliza dogo anaendeleaje ananisumbua sana.Asante. Huyo msaidizi mnaishi nae?. Nauliza maana ndiko na mimi ninakoelekea. Usichoke kunipa uzoefu tafadhali
Safi sana. Vipi wazo la kuoa mwanamke mwingine akulelee mwanao unalionaje?Yes naishi naye, ukitaka uishi naye amlee vizuri ishi naye kama mdogo wako yani mtreat kama mdogo wako. Mimi anamtreat mwanangu kama mdogo wake hata akikosa anaweza muadhibu nikiwepo. Anamlea vizuri sana mkuu. Yani ajihisi family kabisa kiasi kwamba akienda kwao kila mara anapiga simu kuuliza dogo anaendeleaje ananisumbua sana.
Unaweza mkuu ila mimi sikutaka kuoa kisa tu mtu aje kulea mwanangu. Ntaoa pale nitakapokiwa tayari na nikaona huyo ntakaemuoa ananifaa.Safi sana. Vipi wazo la kuoa mwanamke mwingine akulelee mwanao unalionaje?
Sawa sawa mkuu. Umenipa mwanga sana tu. Shukrani sana.Unaweza mkuu ila mimi sikutaka kuoa kisa tu mtu aje kulea mwanangu. Ntaoa pale nitakapokiwa tayari na nikaona huyo ntakaemuoa ananifaa.
Ni mwaka wa nne sasa naishi na mwanangu nilimchukua akiwa ndo anafikisha miaka 4 now ana 7
Kwa hiyo alizaa na mbuzi??Mbona rahisi
Hatua ya kwanza ya kufanya kwa huyo mbuzi ni kumwambia mazungumzo yenu yawe ni kuhusu mtoto tu
Kama hatakuwa muelewa hatua ya pili ni kukata mawasiliano nae
Ama wewe unaona ugumu kwenye jambo lako ni upi?
Du!!! Sawa bwana naomba Mungu aniepushe na hii dhambi