Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Haha..!
Ushauri mzuri Nas,
Ila hapo pa Mama Mbuzi na Baba Mbuzi pamenichekesha..!😂
Sikuona sababu ya kumuita MBUZI mtu aliyezaa nae ,,, eti kisa tu kapata Bwana mpya...
Wazaramo walipokutana na waganga walisema Usiidharau Nazi,,embe ni tunda la msimu tu....
Dunia huwa inageuka mda wowote...