SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

Mkuu leo simbilisi wameshinda kwa mbeleko nimeumia sana mimi kama mtanzania

Nasemaje usiwekeee
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA TATU
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILI: Wakati anaendelea kula na kunywa pombe yake, ambayo ilikuwa inamchangamsha kwa kasi, huku kigauni chake kikishindwa kufunika chungu, mala akasikia simu yake inaita, mpigaji akiwa Said, anaipokea haraka, huku anatabasamu, “vipi umesha fika?” anauliza Siwema. ......... ENDELEA….

“ndiyo nipo tobo la pili” alijibu Said, “sawa ulizia dukani kwa sharif, aukifika hapo sogea mbele kidogo utaona kuna nyumba ina msheri sheri mkubwa, gonga hodi mlango wa pili mkono wako wa kushoto” alielekeza Siwema, ambae kitumbua chake kilikuwa kinapunga hewa, kusubiri kifuatacho.

Siwema anapo kata simu ya Said, anapiga simu kwa Radhia, simu ambayo inaanza kuita mala moja, Siwema ana tabasamu, kwa kuona simu inaita, maana aliona kuwa lengo lake linaenda kutimia.********

Akiwa ajuwi ili wala lile, Radhia alikuwa chumbani kwa na Edgar pale nyumbani kwao, muda mwingi wakiutumia kufurahia penzi lao, kwa kufanyiana mambo mbali mbali ya kimahaba, sambamba na michezo ya kimapenzi, ambayo iliwafanya wajikute wanaangukia kwenye kunyaduana.

Wawili awa hawakujuwa kama, tayari kunakitu kimeandaliwa kwaaji ya Radhia, wao walitumia muda mwingi kufurahi pamoja, wakiwa awaja vaa nguo zozote, zaidi ya chupi, walingelea mipango ya baadae ya maisha yao, huku wakijaribu kuelezana kuhusu biashara au jambo ambalo Radhia anaweza kulifanya, ikiwa kama kazi yake.

Kuna wakati wakiwa katika michezo yao ndipo Radhia alipo poona simu yake inaita, toka kwa Siwema, ilimshtua sana Radhia, ambae likuwa anajuwa fika kuwa, Siwema bado alikuwa na hasira na yeye, hasira ambayo aijulikani, chanzo chake.

Radhia anapokea simu kwa tahadhari, akijuwa kuna kitu ambacho siyo cha kawaida kinataka kumtokea, kwamaana ya ugomvi, japo safari hii akujuwa chanzo kitakuwa nini, maana sasa hakai nyumbani kwao, na wala ajakutana na Siwema kwa muda mrefu.

“hallow asalam aleykum dada” alisalimia Radhia, ambae sasa alikuwa amekaa kati kati ya mapaja ya Edgar, na kuegemea kwenye kifua kipana cha kijana huyu toka #Mbogo_Land, “aleykum salaam, hongera Radhia nasikia umepata ujauzito, yani umeshindwa ata kunijulisha mambo mazuri kama hayo mdogo wangu” alisikika Siwema akiongea kwa furaha na uchangamfu.

Ilimshangaza kidogo Radhia, ambae akuwai kumsikia Siwema akimwongelesha kwa furaha kama hivi, Radhia anaona isiwe tabu, maana ukweli akumweleza, ila inafaa akitumia busara ata kwa kuongopa, “samahani dada, nilipanga nikupigie kesho, ili tukutane nyumbani kwa mama nikuambie” alisema Radhia, kwa sauti ya kuchangamka, japo alikuwa anadanganya.

“wala usijisumbue, kesho mimi mgeni wako, nakuja kula chakula cha mchana hapo hapo kwako, najuwa shemeji atakuwa kazini” alisema Siwema toka upande wapili wasimu akionekana kuchangamka sana, “sawa nakusubiri nitakuwa nyumbani” alijibu Radhia, huku kionekana kushangaa wazi wazi, ata Edgar aliliona jambo ilo.

Wakati simu bado ikiwa hewani, Radhia akasikia Siwema akimkaribisha mtu, “karibu pita ndani” hapo hapo Siwema akaaga na kukata simu, “vipi siulikuwa unaongea na Siwema, mbona kama umeshangaa sana?” aliuliza Edgar, kwa sauti yenye mashaka, “toka nimeanza kuwa na ufahamu, sijawai kuongea vizuri na Siwema, ata nikimfanyia jema la aina gani, nashangaa leo anafurahia ujauzito wangu” anasema Radhia kwa sauti yenye mashaka.

Kinapita kimya kifupi, kama vile wawili awa wanatafakari jambo, ni Edgar ndie anae vunja ukimya huo, “lakini sidhani kama kuna jambo baya anapanga kufanya, naona sasa atakuwa amebadirika” alisema Edgar, ambae bado alionekana kuwa na mashaka, “nivyema ungemfahamu vizuri Siwema, kabla ya kuongea hivyo, sijuwi kwanini moyo wangu hautaki kabisa ugeni huo” alisema Radhia ambae alionekana wazi kutomwamini dada yake.

“upaswi kuwaza sana, ila kama utapenda naweza kuja mchana, ilituwe pamoja” alisema Edgar, hapo Radhia akaachia tabasamu kidogo, nakumtazama Edgar usoni, huku anakubari kwa kichwa, kuwa Edgar nae awepo mchana huo, pale nyumbani.*******

Nyumbani kwa Siwema, Said akiwa mwenye tahadhari kubwa sana, anasimama nje ya mlango wa nyumba ambayo ameelekezwa kuwa, Siwema anaishi kwa sasa.

Said alie shikilia fuko lenye bia, anasimama kwa sekunde kadhaa pale mlangoni, sauti ya music wa taharab inapenya masikioni mwake, Said anawaza ataanzaje kuongea mbele ya Siwema, ili aweze kumwelewa, kwamaana licha ya kuona kuwa tayari Siwema, ameonyesha dalili kubwa ya kusahau yaliyopita, lakini bado anawasi wasi juu ya kueleweka kwake, kutokana nakile alichomfanyia mwanamke huyu.

Hakika ilikuwa ni muhimu yeye kurudiana na Siwema, ambae siyo tu kuwa alikuwa amesha achika, na kwamba sasa atakuwa nae huru, pia Siwema bado anaendelea na kazi yake, ambayo ingesababisha wasiungane tena, maana Siwema angekuwa tegemezi kwake.

Kubwa zaidi nikwamba, sasa hivi Siwema alikuwa ni mtoto wakishuwa, yani baba yake Siwema mzee Makame, alikuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa sekta mpya ya kilimo na mifugo, idara ambayo ipo chini ya rais mwenyewe, kwamaana hiyo mzee Makame yupo karibu kabisa na rais.

Hii ilikuwa na faida kubwa kwa Said, ambae alijuwa kuwa, angetumia mwanya wa kuwa na Siwema, kumshawishi mzee Makame, ampiganie kwa mheshimiwa rais, kuhusu putaoa vyeo na madaraka kazini kwake, yani ndani ya jeshi la polisi.

Said anapiga moyo konde na kugonga hodi, asikii jibu lolote, zaidi anasikia nyayo nyepesi toka ndani, zikiufwata mlango, kisha anaona ona kitasa cha mlango kinanyongwa, na mlango unafunguliwa, hapo anamwona Siwema alie valia kanga yake moja, akiwa amesimama mbele yake, kwa uso ulio jikunja kwa hasira na chuki.

“Karibu” anasema Siwema, kwa sauti kavu, huku anapokea fuko lenye chupa kadhaa za bia, na kusogea pembeni, kumpisha saidi aingie ndani, nae anavua viatu na kuingia ndani kimya kimya, huku saidi anajuwa wazi kuwa, panaitajika kuomba msamaha, japo tayari alisha maliza hapo mwanzo alipopiga simu.

Said anakaa kwenye zuria, huku Siwema anafunga mlango na kurudi pale alipo kaa mwanzo, kisha anaanza kutoa chupa moja baada ya nyingine, toka kwenye mfuko, “mambo yanaendaje” anasalimia Said, ambae anachukuwa chupa moja ya bia, huku macho yake yakienda kwenye eneo la mapaja la Siwema, ambalo linaonekana kuwa wazi kidogo, kutokana na kukosa umakini kwenye uvaaji wa kanga yake.

“poa tu, ulizani nita dhalilika baada ya kunikimbia siku ile?” anauliza Siwema akionekana kuwa katika hali ya chuki na hasira, “Siwema kwani bado ayajaisha?” aliuliza Said kwa sauti ya kubembeleza, huku anafungua bia yake, kwa kutumia meno, na macho yake ya wizi, yakitazama katikati ya mapaja ya Siwema, na sasa akiona kitumbua kilichopo wazi kabisa, kwamaana Siwema hakuwa amevaa nguo ndogo kabisa ya ndani.

“yataishaje wakati ulinikataa mchana kweupe, na ukamleta na mkeo kabisaaa” alisema Siwema, kwa sauti ya kulalamika na kusimanga, “basi naomba unisamehe mpenzi wangu” alisema Said kwa sauti ya kubembeleza, huku anapapasa mgongo wa Siwema.

Hapo Siwema anaonekana kulegea kidogo, “sawa nimekusamehe, lakini usirudie tena” alisema Siwema, kwa sauti ya kujidekeza, huku anajiegemeza kifuani kwa Said, kwa lengo la kumsukuma kidogo, lakini saidi anamdaka na kumtuliza kidogo.

“siwezi kurudia mpenzi wangu, nakuhaidi” alisema Said huku anashika shika titi moja la Siwema, na kumfanya asisimkwe mwili, na kuhisi kijidudu flani, kinmatembea kwenye shamba la bibi, na kutekutekenya kunde ya juu ya kisima cha maji chumvi. ......... ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
Mpemba ungeweka hata mbili za kulalia maana hii ishaleta uraibu mbaya kwa wengine au nawe YANGA.😅
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA NNE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA TATU: “siwezi kurudia mpenzi wangu, nakuhaidi” alisema Said huku anashika shika titi moja la Siwema, na kumfanya asisimkwe mwili, na kuhisi kijidudu flani, kinmatembea kwenye shamba la bibi, na kutekutekenya kunde ya juu ya kisima cha maji chumvi. ......... ENDELEA….

Hakika Siwema anajikuta anafumba macho, nakusikilizia msisimko aliokuwa anaupata wakati huo, ni wazi kuna kitu alikuwa anaitaji, maana ulisha pita mwezi na siku kadhaa, bila mwiko kuingia chunguni kwake *********

Mtaa wapili pale pale michenzani, nyumbani kwa Idd Kiparago, bwana Idd mwenyewe anaingia nyumbani kwake, na kukumbuka kuwa hakuwa na mke ata mmoja mle ndani, ni baada ya kukuta giza nene ndani ya nyumba ikiashiria kuwa hapakuwa na mtu alie washa taa.

Idd anaanakumbuka kuwa, alisha achana na mke wake mdogo, week kadhaa zilizopita, huku mke wake nkubwa, akiwa bado yupo hospital, na mbaya zaidi mala ya mwisho kuonana nae, ilikuwa jana asubuhi, na waliachana katika hali ya kuto kuelewana.

Idd anaingia bafuni na kuoga, kisha anachukuwa kifuko cha urojo, na kukifungulia kwenye bakuri, kisha anaanza kula taratibu, huku anatazama TV, ambayo aitazami muda mrefu, kabla kumbu kumbu ya tukio la Radhia kushika mimba, kumjia kichwani mwake.

Idd anawaza juu ya ujauzito wa Radhia huku wivu ukimsokota moyoni, maswali mengi yakimjia kichwani, kwanini akumpatia yeye mimba, akaja kushika kwa mtu mwingine, “kwanini nilimwacha mapema, ningevumilia angeshika mimba yangu” anawaza Idd, ambae jibu linakuja kuvuruga utulivu wake.

Ilikuwa ni baada ya kukumbuka maneno ya mganga, yani babu Chongo, wa kule donge, “ila wewe mwanaume ndie mwenyewe shida” yanamjia maneno ya babu chongo, lakini Idd anajaribu kupotezea mawazo yale, maana akutaka kuumiza kichwa chake kwa mawazo.

Lakini aikuweza kuzuwia, kujirudia kwa maneno ya babu chongo kichwani mwake, “huyu mwanaume alisha owa wanawake watatu, na mpaka sasa bado ajapata mtoto” ukweli maneno hayo yalimuwia vigumu Idd kuamini kama alichoongea mganga ni chakweli.

Maana anachojuwa yeye, tayari Ashura amesha mzalia mtoto wa tatu, ambae bado yupo nae hospital, na hapo ndipo Idd anakumbuka kuwa, toka jana asubihi, ajaenda tena kumwona mke wake na mtoto wake, kule hospital.

Lakini anapokumbuka ilo, hapo hapo anakumbuka wakati alipomwona Radhia, yani mke wake wa zamani, akiwa ameongozana na mwanamme wake wa sasa, tena wakiwa wenye furaha tele, furaha ambayo ilisababishwa na taarifa njema ya kuwa Radhia ni mjamzito.

“kwanini apate mimba, inamaana alinifanyia makusudi ili asinizalie mtoto” anawaza Idd ambae alisha puuzia alichoambiwa na babu Chongo, na kusahau tena kuhusu Ashura na mtoto wake mchanga kule hospital, kwahiyo akujuwa mtoto anavaa nini wala mama wa mtoto anakula nini kule hospital, pia akujari kuhusu mtoto kupewa jina.

“ila mwisho wake Radhia umefika, ngoja aokote makopo mtaani, ndio atajuwa mimi ni nani” anajiwazia Idd huku anaendelea kubugia urojo wake, kwenye bakuri, nyumba ikiwa kimya kabisa, zaidi ni sauti ya TV pekee ndiyo iliyo sikika.*********

Naaaaam! lisaa limoja baadae, nyumbani kwa Siwema, tayari Said na Siwema, walikuwa wameshaanza kuchangamka, kutokana na unywaji wa pombe, sasa walikuwa wanafanyiana michezo ya kimahaba, michezo ambayo aikumaliza ata dakika kumi.

Maana tayari, Siwema ambae alikuwa amejifunga upande wakanga, pasipo kuvaa nguo nyingine yoyote, aliimsaidia Said kufungua mkanda wa suruali yake, na kufatia zip, huku Said akimalizia kuishusha kwa kukusanya pamoja na boxer, alafu akajilaza chari, na kumfanya Siwema afunue kanga yake na kuikalia dudu, kisha kazi ikaanza.

Dakika ya tatu ya mchezo, ambayo ilikuwa imepata uzamini wa bia na pombe kali, wakaamua kubadiri mtindo nakukaa katika mkao ambao ulimlazimu Siwema ainame huku akishikilia meza, huku akibinua kiuno chake na kuachia vyombo vikionekana upande wa nyuma.

Ilikuwa nzuri kwa Said, ambae aliingiza jongoo shimoni, na kuandelea kukologa mwiko chunguni, kwa speed ya kali, kama vile alikuwa ameikosa muda mrefu sana, maana ungesema nikama anataka kumkomoa Siwema.

Siwema ambae alionekana kupendezwa na mchezo ule, akaendelea kuzungusha kiuno, bila kujari mkoba alio usukuma kwa bahati mbaya toka juu ya meza, na kuufanya udondokee chini, na baadhi ya vitu kutawanyika toka mkobani, ni mkoba ule ule aliotoka nao kwa babu chongo, kwamaana ni ule ule mkoba ambao alikuwa ameifadhi dawa ya kuchizisha mdogo wake Radhia.

Mchezo unaendelea kwa dakika kumi nzima, kisha wanafika safari yao, na wote wanahema, kwama mabata yaliyotoka kupeana dudu, “yani mwezi mmoja tu, umekuwa mtamu, balaha” alisema Idd, huku bado anaendelea kuhema, “usinishindi mimi mwenzio bado nahamu ya kutombw…” alisema Siwema, huku anatumia kanga aliyo ivaa kuifuta dudu ya Said, kisha akimaliza kitumbua chake.

“wala usijari leo tupo wote mpaka asubuhi” alisema Said, huku anachukuwa chupa yake ya bia na kuiweka mdomoni, na kunywa funda moja kubwa, “siyo leo tu, sasa hivi hakuna wakutugombeza, tutalala wote siku zote” alisema Siwema, huku anainua chupa kubwa ya pombe kali, na kuibugia kama alivyofanya Said.

“kilicho bakia sasa ni kujitambulisha kwenu…” alisema Said ambae alisita ghafla, huku akitazama kwenye zuria, sehemu ambayo ilikuwa na vitu vilivyo zagaa toka kwenye mkoba wa Siwema, “Siwema siku hizi unatembea na ugoro?” aliuliza Said, huku anapeleka mkono, kuelekea usawa wa kitambaa flani kilicho fungwa, kama vile kimeifadhiwa unga flani mweusi.

Siwema ambae anaona kile ambacho Said anataka kukifanya, ashtuka sana, “hapana siyo ugoro” anasema Siwema ambae nakurupuka haraka, na kuokota kile kitambaa, “ni nini sasa, mbona kama ni ugoro?” anauliza Said kwa sauti yenye udadisi na mashaka.

“siyo ugoro bwana, hii ni dawa kuna mtu ameniagiaza kwa ndugu yake, nimpelekee kesho kazini” alisema Siwema, huku anataka kuweka kwenye mkoba, lakini Said ambae naonekena kuwa na mashaka zaidi, anamkwapua kwa haraka, “ebu tuone kama siyo….” Siwema ambae licha ya kulewa lakini anakumbuka mashariti ya babu Chingo, anamdaka Said mkono, na kujaribu kumkwapua ile dawa.

Lakini inakuwa ngumu kidogo, maana safari hii saidi alikuwa ameishika kwanguvu, kitendo ambacho kilisababisha, fundo la juu la kitambaa kufunguka na kufanya dawa iwe wazi, na kutoka na mtikisiko, kiasi kidogo cha jivu, lenye mchanganyiko na dawa, lika mwagika mkononi mwa Siwema.

Wote wanatazamana kwa macho ya mshangao na tahadhari, Said akiwaza kwamba amemkosea Siwema, asa baada ya kuona siyo ugoro kama alivyofikilia, huku Siwema akisubiri kuona madhara yatakayotokea baada ya kuvunja mashariti mawaili kwa pamoja.

La kwanza likiwa ni kuto kushikwa na mtu mwingine ile dawa, na la pili ni kuto kushika akiwa amtoka kunyanduliwa, ikiwa ni agizo la mganga, amba anasifika kwa kuwa na dawa au vilogo vyenye mafanikio, kuliko mganga mwingine yoyote pale kisiwani.

Mpaka inakatika dakika ya pili, hapakuwa na chochote kilicho tokea, “kumbe siyo ugoro, samahani mpenzi wangu” alisema Said, kwa sauti ya kubembeleza, “siku nyingine uwe unasikia, unaweza kusababisha matatizo” alisema Siwema, huku anafunga tena ile dawa vyema, na kuweka mkobani, kisha akajifuta mikono yake kwenye kanga yeka ile ile aliyoivaa.

Nikama walisha sahau kilicho tokea, wakaendelea kunywa pombe, uku wakipania kurudia tena na tena, kupeana dudu, kama wangeweza kufanya hivyo, maana kuna wakati wenye kiu, upania kunywa maji mengi, kuliko uwezo wake.*********

Naaaaaaaaaam!, siku iliyofuata ilikuwa jumatatu, siku ambayo uonyesha dalili ya mwenendo wa week nzima, siku ambayo uwa ngumu sana kwa wafanya kazi wategevu, au wale walio kula bata jingi week end.

Leo ni siku ambayo ilikuwa na mambo mengi sana, katika hadithi yetu, maana tukiachana na bwana Edgar, ambae aliaga kwa Radhia, kuwa anaelekea kazini, ambako aliahidi asingekaa sana, ilikuja kupokea ugeni wa shemeji yake, Siwema, ambae alisema angekuja kumpikia mdogo wake, ikiwa ni kuja mpatia pongezi kwa kushika ujauzito.

Nyumbani Edgar alimwacha Radhia, akiwaelekeza wafanya kazi namna ya kufanya maandalizi, ya vitu ambavyo Siwema alitakiwa kuvitumia katika mapishi aliyo yapanga, kuhusu yeye alisha ambiwa atakiwi kugusa kazi yoyote, hayo ni maagizo ya Edgar na siyo Doctor. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA NNE: Nyumbani Edgar alimwacha Radhia, akiwaelekeza wafanya kazi namna ya kufanya maandalizi, ya vitu ambavyo Siwema alitakiwa kuvitumia katika mapishi aliyo yapanga, kuhusu yeye alisha ambiwa atakiwi kugusa kazi yoyote, hayo ni maagizo ya Edgar na siyo Doctor. ........ ENDELEA….

Ila kwa upande wa Siwema mwenyewe alikuwa njiani anaelekea kazini kwake, yani hospital ya magomeni, ambako alipanga akaage na kuondoka zake, kuelekea kwa Radhia, akamalize kazi ya kuhakikisha mdogo wake anakuwa kichaa.

Leo Idd aliamka na mambo mawili, moja ni kwenda hospital kumwona mtoto mala moja kisha akafungue duka, na kusubiri habari ya ukichaa wa Siwema, ambayo ndiyo jambo lake la pili, ambalo aliamini kuwa leo lingempa furaha kubwa sana.**********

Tuanze na Siwema, ambae sasa alikuwa ndani ya dala dala, pamoja na abilia wengine, anakaribia kufika magomeni hospital, ambako anafanyia kazi, akiwa na mpango wa kwenda kuomba luksa kwa muuguzi mkuu, ili aende nyumbani kwa Radhia, akatekeleze mpango wake wa kikatili, wa kumfanya mwenzie awe kichaa.

Siwema akiwa ndani ya dala dala, ambalo ukaa kwa kutazamana, ghafla akahisi msisimko wa ajabu mwilini mwake, msisimko ambao ulianzia kifuani na kushuka mbevuni mpaka kinenani, na kusambaa mpaka kwenye mapaja na kitumbuani kwake, na kufanya atamani dudu wakati kwa haraka.

Msisi mko wahajabu unamfanya ajikunyate kwa kukumbatia kifua chake, huku anabana mapaja yake, mapaja yake ameyalegeza, akisikilizia hali flani ya kitu kama kubanwa na mkojo mtamu.

Hali ambayo ilimshangaza ata yeye mwenyewe, maana ni agharab kusisimkwa namna mle, wakati jana tu alitoka kunyanduana na Said, tena walirudia mala mbili, na ukichukulia wote walikuwa wamelewa, kitu ambacho unapaswa ukijuwe ni kwamba, Siwema na Said wakifanya mambo yao huku wamelewa, uwa wanatumia muda mrefu, na kufurahishana vile wanavyo taka.

“we Siwema unanini mbona…..” Ghafla Siwema anashtuliwa na sauti ya mwanamke watatu toka alipokaa yeye, ni muuguzi mwenzie, na wote wanaenda hospital ya magomeni.

Siwema anatazama watu wa mle ndani, na kuona kuwa wote walikuwa wanamtazama kwa mashangao, ni wazi walistaajabishwa na kitu flani alicho kifanya, “kwanini nini dada Mwaija, kuna kitu nimefanya?” aliuliza Siwema akionekana kutokujuwa kama kunakitu amefanya, huku hali ya msisimko ikiwa imesha mtoka.

Swali lile lina washahangaza watu wote mle ndani, ambao ungeweza kuwaona jinsi walivyo mtazama Siwema, kiasi cha kwamba alijishtukia, na kujikagua jinsi alivyovaa na mkao wake, lakini alikuwa safi kabisa na baibui lake, ambalo lilikuwa limeziba sehemu zote nyeti, kuanzia za kifuani mpaka uvunguni.

Ghafla Siwema akajikuta ameshikwa na hasira kali, “mnanishangaa nini nyie mbwa, si mkawashangae mama zenu” alisema Siwema kwa hasira, kiasi cha kuwashangaza zaidi watu wote ndani ya gari.

Siwema anajishtukia na kujiziba mdomo, kwamaana akudhamilia kuongea vile, anawatazama watu wa pembeni yake, wote wanamtazama kwa macho ya uoga, na wasi wasi.

Bahati nziri gari linasimama, tayari wamesha fika kituo cha magomeni hospital, “Siwema tumeshafika twende tushuke” anasema yule mwanamke alie alia nguo za kiuguzi, ambae tayari alikuwa wakwanza kushuka, Siwema ambae alionekana kusahau kama wamefika, anashuka haraka, kisha wanaanza kutembea kuelekea kwenye jengo la hospital.

Wanaendelea kutembea, huku Mwaija anaonekana kuwa mwenye tahadhari kubwa sana, “dada Mwaija, hivi kwanini awa watu walikuwa wananishangaa sana?” anauliza Siwema, huku wanaendelea kutembea, “achana nao wapuuzi wale, hawana la kufanya” anasema Mwaija, huku anatoa simu yake na kuanza kuandika ujumbe, kwenda kwa mkuu wa wauguzi.

Mwaija anamaliza kuandika ujumbe na kuutuma, kisha anaweka simu yake kwenye mkoba, wakati wanaingia ndani ya jengo, “unaelekea wapi Siwema?” anauliza Mwaija, huku anamtazama Siwema kwa tahadhari, “nataka kwenda kwa dada Halima, nikaom,be luksa najisikia vibaya” alisema Siwema, ikiwa ni mpango wake wa kwenda kwa Radhia.

Mwaija anatabasamu, “ok!, basi poa wacha mimi nikajiandae kuingia kazini” anasema Mwaija kisha kila mmoja anashika njia yake, japo Mwaija akuacha kugeuka na kumtazama Siwema, kila baada ya hatua chache.**********

Radhia akiwa nyumbani kwake, amesha maliza kutoa maelekezo ya maitajio ya maandalizi ya mapishi yanayo tarajiwa kufanywa na dada yake, sasa alikuwa ametulia chumbani kwake, anasikiliza music laini wa taratibu, ambao hapo sasa ametokea kuupenda sana, ikiwa ni toka siku ya kwanza alipo usikiliza akiwa na Edgar hapa chumbani, siku waliyokuwa wametoka kwenye taharab, na kuja kupeana raha ndani roho.

Radhia akiwa anasikiliza music, akuacha kuvuta kumbu kumbu mzuri za furaha, wanazopitia na Edgar, huku furaha zaidi ikimjia pale anapokumbuka kuwa sasa ni mjamzito, kitu ambacho kime mtoa kwenye kifungo cha kuitwa mama, na kumkomboa toka kwenye gereza la uzuni, lililo jaa manyanyaso na kumtenganisha na furaha pamoja na amani.

Radhia licha ya kuwaza hayo yote, lakini akuacha kumkumbuka na kuwazia mpenzi wake Edgar, kijana mwenye upendo usio na kona kona, kijana anae juwa anacho itaji kwa mpenzi wake, kijana ambae, ndie funguo za pingu za gereza ilo, kijana ambae alikuja kwake kama mdhaha, alikuja kwake kama rafiki wa mdogo wake.

Radhia anakumbuka jinsi Edgar alivyo weza kuzurula nae mtaani, huku amevaa nguo chakavu, na miguu yenye vumbi, Radhia anakumbuka mwaliko wa ikulu, pasipo kujari hadhi yake, Radhia anaendelea kukumbuka, matembezi ambayo yalimpa raha kwenye kumbu kumbu, kuliko yalivyo mpa raha hapo mwanzo.

Ni yale matembezi ya kule forodhani, ambayo yanafanyika mala kwa mala mida ya jioni, japo aifanani na matembezi ya usiku wa taharab, matembezi ambayo yalikuwa yakipekee sana, matembezi ambayo yaliangukia kwenye wazo la kuja kulala pamoja nyumbani kwa Edgar, ambae ni barozi wa #Mbogo_Land.

Radhia anakumbuka jinsi Edgar, alivyo mpatia mapenzi moto moto, katika usiku ule wa kwanza, pasipo kujari hadithi za maisha yake ya mwanzo, Radhia anakumbuka usiku wakwanza, jinsi Edgar alivyo mweleza wakati analamba asali uvunguni mwake.

“asali aitiwi kidole, asali inalambwa kwa ulimi” hapo Radhia anajikuta anatabasamu mwenyewe, huku anakumbuka jinsi alivyo jaribu kulamba mwiko wa Edgar, na kuishia njiani, akishindwa kufanya hivyo katika siku ya kwanza, japo sasa hivi ameweza kufanya hivyo.

Mawazo na hisia zina mfanya Radhia haisi shamba la bibi lila patwa na unyeunyevu maji maji toka kwenye kisima cha chumvi, na kujikuta anamtamani mwanaume ili ampe raha, na siyo mwanaume kwama mwanaume, ila ni mwanaume ambae anaelewa vyema na mana ya kuutumia mwili wake, mwanaume ambae, anajuwa kuwa yupo na mwanamke ambae pia anaitaji kusikia raha na kumaliza kiu yake.

Mwanaume huyo siyo mwingine, “Edgar jamani mbona unachelewa sana, siulisema unakuja sasa hiv…….” Radhia alijisemea mwenyewe, huku anachukuwa simu mezani, na kuanza kuibofya, kutafuta namba ya Edgar, anapo itapa anaweka sehemu ya kuandika ujumbe.

Kabla ajaanza kuandika uujumbe Radhia anasita kidogo, “sijuwi nitamwambiaje, kwamba aje anitomb….., au nimwambie nasikia hamu ya kutombw….., wacha ni mwandikie hivi” alisema Radhia huku anaanza kuandika ujumbe alivyo juwa yeye. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO: Kabla ajaanza kuandika ujumbe Radhia anasita kidogo, “sijuwi nitamwambiaje, kwamba aje anitomb….., au nimwambie nasikia hamu ya kutombw….., wacha ni mwandikie hivi” alisema Radhia huku anaanza kuandika ujumbe alivyo juwa yeye. ********* ........ ENDELEA….

Idd mida hii alikuwa amesha maliza kuoga, akachukuwa baadhi ya nguo chafu na kuziweka kwenye mfuko, kisha akatoka kuelekea mjini, akianza kwa kupitia kwa dobi, kisha akaondoka kuelekea hospital.

Idd anapalaza baiskeri yake, huku kichwani mwake, anawaza mambo mawili tu, moja ni kuhusu ujio wa Shaban pale hospital, huku akielezwa kuwa huyo ndie alie mleta mke wake hospital toka usiku, na yeye amepewa taarifa saa mbili asubuhi, na mbaya zaidi ni kwamba, Shaban ndie alie lipa gharama za matibabu za grade A, za Ashura, ambae ni mwanamke wake wa zamani.

Lakini Idd, aonyeshi kulipa uzito swala Shaban, kama anavyo umizwa kichwa na ujauzito wa Radhia, ambae ni mke wake wa zamani, mwanamke alie mpa taraka tatu, mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita.

“Siwema akichelewa chelewa, nita mpigia simu yule mpuuzi ni mwambie kuwa Radhia anamimba yangu, ilinione kama hawato achana” anajisemea Idd, ambae sasa anashuka toka kwenye baskari yake, na kuanza kuikokota kuingia ndani ya uzio wa hospital.

Lakini wakati anavuka kwenye maegesho ya magari pale hospital, ambapo palikuwa na magari kadhaa, mengi yakiwa yale ya kukodi, pamoja na pikipiki za aina mbali mbali, mala Idd akaona kitu ambacho kilimshtua sana. “huyu mpuuzi asinitanie, amefwata nini mapema hii hapa hospital?” aliuliza Idd kwa sauti ya chini, huku anaitazama pikipiki aina ya vesper, yenye rangi nyekundu.

“awezi zi kujifanya kidume namna hii wacha nikamwonyeshe mjinga huyu” alipiga kelele Idd, huku anachepuka pale kwenye maegesho, na kuweka baskeri yake, kisha akaanza kutembea kwa haraka kuekelea kwenye jengo la hospital, uso umejikunja kwa hasira na chuki, huku kichwani mwake akiwa na uhakika kuwa ile vesper ya Shaban.********

Yaaaaap!, huko magomeni hospital, tunaanzia ofisini kwa muuguzi mkuu, au unaweza kusema msimamizi wa wauguzi wote pale magomeni hospital, wenyewe umwita dada Halima.

Tuna mwona akiwa amekaa kwenye kiti chake nyuma ya meza kubwa, anaadika vitu flani kwenye daftari kubwa, maarufu kama counter book, mala simu yake inaingia ujumbe, anaishukuwa na kuufungua mala moja, ujumbe unasomoka unatoka kwa Mwaija.

Anahisi kuwa Mwaija anadharula flani, hivyo ni vyema akasoma ujumbe wake mala moja, ili asikie anaitaji nini, maana simu nyingi au messeji za mapema mapema, uwa za kuomba luksa, japo alisema kuwa watu wasitume ujumbe baada yake waje wenyewe kuomba luksa.

“dada nipo na Siwema, anaonekana wazi kabisa hayupo sawa, naomba ufanye utaratibu wa kumwita ofisini kwako” ndivyo ulivyo sema ujumbe toka kwa Mwaija.

Ujumbe unamshtua Halima, ambae moja kwa moja anahisi kuwa pengine Siwema amelewa pombe za mapema mapema, maana tayari walikuwa wanataarifa zake za zile video za ulevi na usaliti wa ndoa yake, “tunafanyaje sasa, na ndio watoto wa wakubwa” anajiuliza Halima, huku anabofya simu kutafuta namba ya Siwema, ilimwite ofisini, ikiwezekana ampatie luksa akapumzike nyumbani.

Lakini kabla aja ipata namba ya Siwema, akasikia mlango wa ofisi unagongwa, “ingia!” alisema Halima, huku ameacha kutafuta amba ya Siwema, na amcho ameyaelekeza mlangoni.

Mlango unafunguliwa na Siwema anaingia, huku ameachia tabasamu pana usoni mwake, tofauti na alivyo tarajia kumwona mwanamke huyu, “karibu Siwema” anasema Halima, huku anamtazama Siwema kwa macho ya tahadhari.

Siwema anaachia kicheko kidogo, “dada Halima mwenzio naomba luksa niende kwa Radhia” anasema Siwema, kwa sauti flani hivi, ungesema ni mtoto anaomba pipi au fedha ya pipi kwa mtu mzima, huku andaelea kucheka cheka, bila kukoma, na macho akiya kwepesha yasimtazame Halima.

Uongeaji wa nikama Halima anaingiwa na shaka kwa hali ya Siwema, ambayo licha ya kuwa hakuwai kumwona akiwa amelewa, lakini alikuwa na uhakika kuwa Siwema muda ule, hakuwa amelewa, “kwa Radhia kuna nini tena jamani, tuarikane tukale mapocho pocho” anasema Halima huku anacheka kidogo.

Lakini ghafla Halima anamwona Siwema anabadirika, anaacha kucheka cheka na kukunja uso kwa hasira, “nataka nika mkomeshe mshenzi yule, anajifanya anamume mzuri, na ameshika mimba, nataka nikamkomeshe aachike” alisema Siwema, akionyesha chuki ya wazi, pasipo dalili yoyote utani.

Halima anashtuka kidogo, anazidi kuingiwa na wasi wasi, maana hali ya Siwema siyo ya ulevi, ila ni kama anatatizo jingine kabisa, “kwanini sasa jamani, mbona Radhia mdogo wako kabisa, sindio vizuri akipata mimba” alisema Halima, kwa sauti iliyojaa urafiki, japo bado alikuwa anamtazama Siwema kwa umakini mkubwa.

Lakini kabla Siwema ajajibu chochote, ghafla akaonekana kujikunyata kwa kukumbatia matiti yake, na kuanza kuyapekecha, huku anazungusha kiuno chake taratibu, na mdomoni mwake ikimtoka sauti ya kama vile mtu anaefyonza bua la mua.

Inamshangaza sana Halima, ambae anatoa macho kwa mshangao, “Siwema unanini wewe?” anauliza Halima kwa sauti ya mshangao, “mwenzio….. nna…. nna hamu ya kutombw…” anasema Siwema kwa sauti yenye mwingi wa msisimko na ujazo wa mahaba, mfano wa mtu anae nyanduliwa.

“makubwa haya, sijuwi amepatwa na nini huyu binti” anajisemea Halima, ambae anaendelea kumtazama Siwema, ambae sasa anamwona akiwa anapandisha baibui lake na kufikia usawa wa tumbo, akiacha chupi wazi, kicha anaingiza mkono mmoja kwenye chupi yake, na kuanza kupekecha kitumbua chake, huku akiongeza sauti za miguno ya kuugulia utamu, “nasikia hamu ya kutombw…” alisikika Siwema akilalamika kwa sauti yenye ujazo mkubwa wa msisimko.

Kuona hivyo Halima akaona toka nje ya ofisi na kufunga mlango kwa nje, na kuelekea ofisini kwa mganga mkuu, akijuwa fika kuwa, swala la Siwema, siyo la ulevi, ila ni tatizo la hakili, hivyo iliitajika juhudi za haraka kumwaisha mnazi mmoja hospital ya rufaha.********

Akiwa ajuwi lolote, mschana mzuri mwenye mwonekano wa kiarab, kwa umbo sura na rangi ya mwili wake, alie jilaza kwenye kochi, amevalia gauni lake zuri, jepesi, refu na pana, nywele zake ndefu, nyeusi, zimemwagika alipoegemeza kichwa chake.

Yani mwana dada Radhia Abeid Makame, sasa alikuwa ameshika simu yake anaandika ujumbe kwenye simu yake, huku mala kwa mala akifuta na kuandika tena, kuna wakati alifikia hatua ya kujicheka mwenyewe, kwa kile alicho andika.

“sasa hivi sifuti tena, namtumia hivyo hivyo” alisema Radhia, huku uso wake umejawa na tabasamu pana, lililozidi kumpendezesha na kumfanya awe mzuri zaidi.

Lakini kabla ajautuma ujumbe ule, mala akashtuka kuona mlango wa chumba unafunguliwa, Edgar akaingia akiwa mwenye uso wa tabasamu, Radhia anashtuka na kufika cha simu mgongoni kwamaana ya kuilalia, “unaficha nini Radhia?” anauliza Edgar, kwa sauti yenye mashaka, huku anamfwata Radhia pale alipolala, ni wazi Edgar alisha ingiwa na wivu, maana alihisi kuwa, Radhia alikuwa anatuma ujumbe kwenda kwa mwanaume mwingine, maana alimwona alipo shtuka kwanguvu sana.

Radhia anacheka “hakuna kitu bwana” anasema Radhia, huku anaitoa simu kule alikoiweka, na kutaka kuifuta lakini kabla ajafuta ata neno moja, tayari edga r alisha ichukuwa simu na kutazama, “hapana bwana usisome mi naona aibu” nilikuwa na ku…” alisema Radhia, huku anajaribu kumpola Edgar simu, lakini alisha chelewa, maana alimwona Edgar anatabasamu peke yake.

Edgar anamtazama Radhia ambae pia alikuwa anamtazama, ata macho yao yanapokutana, Radhia anaziba macho kwa mikono yake, kwamaana ya kuona aibu, Edgar anatabasamu, huku anatazama tena ujumbe ule, kwenye simu ya Radhia, ambao uliandikwa kwenye namba ambayo ni yake, kwa lengo la kuutuma kwake.

“Eddy mbona unachelewa sana, umenizowesha vibaya, mwenzio nataka uje tufanye” ndivyo ulivyosema ujumbe alio uandika Radhia, “pole mpenzi, lakini unimesha rudi sasa nipo kwaajili yako” alisema Edgar, huku anapiga magoti karibu na Radhia, “nilikuambia usisome wewe umesoma, mwenzio naona aibu” anasema Radhia ambae bado ameziba macho yake kwa viganja vya mikono yake. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
Siwemaaaa roho mbaya yake imemponza anakosa vyote maishani mwake na mbaya zaidi anajiumbua mwenyewe kwa kuropoka

Bwana Abou Shaymaa moneytalk amelia sana leo hujaweka mzigo yaani kalia kweli kweli sijui hata naanzaje kumbembeleza

Solution ni wewe kushow up hapa na kutupia mzigo wewe utaona atakavyofurahi

Wekaaa mkuu
 
Story nzuri lakini uandishi mbovu.Mwandishi anaharibu kiswahili.Inakata stimu
 
Back
Top Bottom