moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
hahaaha yamekuwa hayo tenaNishukuru mimi wewe bila kumwambia wewe ndiyo umesema atupie asingeweka
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaha yamekuwa hayo tenaNishukuru mimi wewe bila kumwambia wewe ndiyo umesema atupie asingeweka
🤣
DuhMkuu leo simbilisi wameshinda kwa mbeleko nimeumia sana mimi kama mtanzania
Nasemaje usiwekeee
Mpemba ungeweka hata mbili za kulalia maana hii ishaleta uraibu mbaya kwa wengine au nawe YANGA.😅ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA TATU
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILI: Wakati anaendelea kula na kunywa pombe yake, ambayo ilikuwa inamchangamsha kwa kasi, huku kigauni chake kikishindwa kufunika chungu, mala akasikia simu yake inaita, mpigaji akiwa Said, anaipokea haraka, huku anatabasamu, “vipi umesha fika?” anauliza Siwema. ......... ENDELEA….
“ndiyo nipo tobo la pili” alijibu Said, “sawa ulizia dukani kwa sharif, aukifika hapo sogea mbele kidogo utaona kuna nyumba ina msheri sheri mkubwa, gonga hodi mlango wa pili mkono wako wa kushoto” alielekeza Siwema, ambae kitumbua chake kilikuwa kinapunga hewa, kusubiri kifuatacho.
Siwema anapo kata simu ya Said, anapiga simu kwa Radhia, simu ambayo inaanza kuita mala moja, Siwema ana tabasamu, kwa kuona simu inaita, maana aliona kuwa lengo lake linaenda kutimia.********
Akiwa ajuwi ili wala lile, Radhia alikuwa chumbani kwa na Edgar pale nyumbani kwao, muda mwingi wakiutumia kufurahia penzi lao, kwa kufanyiana mambo mbali mbali ya kimahaba, sambamba na michezo ya kimapenzi, ambayo iliwafanya wajikute wanaangukia kwenye kunyaduana.
Wawili awa hawakujuwa kama, tayari kunakitu kimeandaliwa kwaaji ya Radhia, wao walitumia muda mwingi kufurahi pamoja, wakiwa awaja vaa nguo zozote, zaidi ya chupi, walingelea mipango ya baadae ya maisha yao, huku wakijaribu kuelezana kuhusu biashara au jambo ambalo Radhia anaweza kulifanya, ikiwa kama kazi yake.
Kuna wakati wakiwa katika michezo yao ndipo Radhia alipo poona simu yake inaita, toka kwa Siwema, ilimshtua sana Radhia, ambae likuwa anajuwa fika kuwa, Siwema bado alikuwa na hasira na yeye, hasira ambayo aijulikani, chanzo chake.
Radhia anapokea simu kwa tahadhari, akijuwa kuna kitu ambacho siyo cha kawaida kinataka kumtokea, kwamaana ya ugomvi, japo safari hii akujuwa chanzo kitakuwa nini, maana sasa hakai nyumbani kwao, na wala ajakutana na Siwema kwa muda mrefu.
“hallow asalam aleykum dada” alisalimia Radhia, ambae sasa alikuwa amekaa kati kati ya mapaja ya Edgar, na kuegemea kwenye kifua kipana cha kijana huyu toka #Mbogo_Land, “aleykum salaam, hongera Radhia nasikia umepata ujauzito, yani umeshindwa ata kunijulisha mambo mazuri kama hayo mdogo wangu” alisikika Siwema akiongea kwa furaha na uchangamfu.
Ilimshangaza kidogo Radhia, ambae akuwai kumsikia Siwema akimwongelesha kwa furaha kama hivi, Radhia anaona isiwe tabu, maana ukweli akumweleza, ila inafaa akitumia busara ata kwa kuongopa, “samahani dada, nilipanga nikupigie kesho, ili tukutane nyumbani kwa mama nikuambie” alisema Radhia, kwa sauti ya kuchangamka, japo alikuwa anadanganya.
“wala usijisumbue, kesho mimi mgeni wako, nakuja kula chakula cha mchana hapo hapo kwako, najuwa shemeji atakuwa kazini” alisema Siwema toka upande wapili wasimu akionekana kuchangamka sana, “sawa nakusubiri nitakuwa nyumbani” alijibu Radhia, huku kionekana kushangaa wazi wazi, ata Edgar aliliona jambo ilo.
Wakati simu bado ikiwa hewani, Radhia akasikia Siwema akimkaribisha mtu, “karibu pita ndani” hapo hapo Siwema akaaga na kukata simu, “vipi siulikuwa unaongea na Siwema, mbona kama umeshangaa sana?” aliuliza Edgar, kwa sauti yenye mashaka, “toka nimeanza kuwa na ufahamu, sijawai kuongea vizuri na Siwema, ata nikimfanyia jema la aina gani, nashangaa leo anafurahia ujauzito wangu” anasema Radhia kwa sauti yenye mashaka.
Kinapita kimya kifupi, kama vile wawili awa wanatafakari jambo, ni Edgar ndie anae vunja ukimya huo, “lakini sidhani kama kuna jambo baya anapanga kufanya, naona sasa atakuwa amebadirika” alisema Edgar, ambae bado alionekana kuwa na mashaka, “nivyema ungemfahamu vizuri Siwema, kabla ya kuongea hivyo, sijuwi kwanini moyo wangu hautaki kabisa ugeni huo” alisema Radhia ambae alionekana wazi kutomwamini dada yake.
“upaswi kuwaza sana, ila kama utapenda naweza kuja mchana, ilituwe pamoja” alisema Edgar, hapo Radhia akaachia tabasamu kidogo, nakumtazama Edgar usoni, huku anakubari kwa kichwa, kuwa Edgar nae awepo mchana huo, pale nyumbani.*******
Nyumbani kwa Siwema, Said akiwa mwenye tahadhari kubwa sana, anasimama nje ya mlango wa nyumba ambayo ameelekezwa kuwa, Siwema anaishi kwa sasa.
Said alie shikilia fuko lenye bia, anasimama kwa sekunde kadhaa pale mlangoni, sauti ya music wa taharab inapenya masikioni mwake, Said anawaza ataanzaje kuongea mbele ya Siwema, ili aweze kumwelewa, kwamaana licha ya kuona kuwa tayari Siwema, ameonyesha dalili kubwa ya kusahau yaliyopita, lakini bado anawasi wasi juu ya kueleweka kwake, kutokana nakile alichomfanyia mwanamke huyu.
Hakika ilikuwa ni muhimu yeye kurudiana na Siwema, ambae siyo tu kuwa alikuwa amesha achika, na kwamba sasa atakuwa nae huru, pia Siwema bado anaendelea na kazi yake, ambayo ingesababisha wasiungane tena, maana Siwema angekuwa tegemezi kwake.
Kubwa zaidi nikwamba, sasa hivi Siwema alikuwa ni mtoto wakishuwa, yani baba yake Siwema mzee Makame, alikuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa sekta mpya ya kilimo na mifugo, idara ambayo ipo chini ya rais mwenyewe, kwamaana hiyo mzee Makame yupo karibu kabisa na rais.
Hii ilikuwa na faida kubwa kwa Said, ambae alijuwa kuwa, angetumia mwanya wa kuwa na Siwema, kumshawishi mzee Makame, ampiganie kwa mheshimiwa rais, kuhusu putaoa vyeo na madaraka kazini kwake, yani ndani ya jeshi la polisi.
Said anapiga moyo konde na kugonga hodi, asikii jibu lolote, zaidi anasikia nyayo nyepesi toka ndani, zikiufwata mlango, kisha anaona ona kitasa cha mlango kinanyongwa, na mlango unafunguliwa, hapo anamwona Siwema alie valia kanga yake moja, akiwa amesimama mbele yake, kwa uso ulio jikunja kwa hasira na chuki.
“Karibu” anasema Siwema, kwa sauti kavu, huku anapokea fuko lenye chupa kadhaa za bia, na kusogea pembeni, kumpisha saidi aingie ndani, nae anavua viatu na kuingia ndani kimya kimya, huku saidi anajuwa wazi kuwa, panaitajika kuomba msamaha, japo tayari alisha maliza hapo mwanzo alipopiga simu.
Said anakaa kwenye zuria, huku Siwema anafunga mlango na kurudi pale alipo kaa mwanzo, kisha anaanza kutoa chupa moja baada ya nyingine, toka kwenye mfuko, “mambo yanaendaje” anasalimia Said, ambae anachukuwa chupa moja ya bia, huku macho yake yakienda kwenye eneo la mapaja la Siwema, ambalo linaonekana kuwa wazi kidogo, kutokana na kukosa umakini kwenye uvaaji wa kanga yake.
“poa tu, ulizani nita dhalilika baada ya kunikimbia siku ile?” anauliza Siwema akionekana kuwa katika hali ya chuki na hasira, “Siwema kwani bado ayajaisha?” aliuliza Said kwa sauti ya kubembeleza, huku anafungua bia yake, kwa kutumia meno, na macho yake ya wizi, yakitazama katikati ya mapaja ya Siwema, na sasa akiona kitumbua kilichopo wazi kabisa, kwamaana Siwema hakuwa amevaa nguo ndogo kabisa ya ndani.
“yataishaje wakati ulinikataa mchana kweupe, na ukamleta na mkeo kabisaaa” alisema Siwema, kwa sauti ya kulalamika na kusimanga, “basi naomba unisamehe mpenzi wangu” alisema Said kwa sauti ya kubembeleza, huku anapapasa mgongo wa Siwema.
Hapo Siwema anaonekana kulegea kidogo, “sawa nimekusamehe, lakini usirudie tena” alisema Siwema, kwa sauti ya kujidekeza, huku anajiegemeza kifuani kwa Said, kwa lengo la kumsukuma kidogo, lakini saidi anamdaka na kumtuliza kidogo.
“siwezi kurudia mpenzi wangu, nakuhaidi” alisema Said huku anashika shika titi moja la Siwema, na kumfanya asisimkwe mwili, na kuhisi kijidudu flani, kinmatembea kwenye shamba la bibi, na kutekutekenya kunde ya juu ya kisima cha maji chumvi. ......... ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
Naombaaaaaa huyu apuuuuzweeee na ndugu mtunzi Kwa heshima ya sisi Manchester united tudondosheeeeeeee mzigo tulale nao kakaMkuu leo simbilisi wameshinda kwa mbeleko nimeumia sana mimi kama mtanzania
Nasemaje usiwekeee
😅😅Nishukuru mimi wewe bila kumwambia wewe ndiyo umesema atupie asingeweka
🤣
Tuendeleeeeeee kaka mbona imenogaaaaaaaa uchizi wasiwemaaaa mzuri sanaaa anataka tuuuu Kila wakati
ASALI HAITIWI ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO: Kabla ajaanza kuandika ujumbe Radhia anasita kidogo, “sijuwi nitamwambiaje, kwamba aje anitomb….., au nimwambie nasikia hamu ya kutombw….., wacha ni mwandikie hivi” alisema Radhia huku anaanza kuandika ujumbe alivyo juwa yeye. ********* ........ ENDELEA….
Idd mida hii alikuwa amesha maliza kuoga, akachukuwa baadhi ya nguo chafu na kuziweka kwenye mfuko, kisha akatoka kuelekea mjini, akianza kwa kupitia kwa dobi, kisha akaondoka kuelekea hospital.
Idd anapalaza baiskeri yake, huku kichwani mwake, anawaza mambo mawili tu, moja ni kuhusu ujio wa Shaban pale hospital, huku akielezwa kuwa huyo ndie alie mleta mke wake hospital toka usiku, na yeye amepewa taarifa saa mbili asubuhi, na mbaya zaidi ni kwamba, Shaban ndie alie lipa gharama za matibabu za grade A, za Ashura, ambae ni mwanamke wake wa zamani.
Lakini Idd, aonyeshi kulipa uzito swala Shaban, kama anavyo umizwa kichwa na ujauzito wa Radhia, ambae ni mke wake wa zamani, mwanamke alie mpa taraka tatu, mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita.
“Siwema akichelewa chelewa, nita mpigia simu yule mpuuzi ni mwambie kuwa Radhia anamimba yangu, ilinione kama hawato achana” anajisemea Idd, ambae sasa anashuka toka kwenye baskari yake, na kuanza kuikokota kuingia ndani ya uzio wa hospital.
Lakini wakati anavuka kwenye maegesho ya magari pale hospital, ambapo palikuwa na magari kadhaa, mengi yakiwa yale ya kukodi, pamoja na pikipiki za aina mbali mbali, mala Idd akaona kitu ambacho kilimshtua sana. “huyu mpuuzi asinitanie, amefwata nini mapema hii hapa hospital?” aliuliza Idd kwa sauti ya chini, huku anaitazama pikipiki aina ya vesper, yenye rangi nyekundu.
“awezi zi kujifanya kidume namna hii wacha nikamwonyeshe mjinga huyu” alipiga kelele Idd, huku anachepuka pale kwenye maegesho, na kuweka baskeri yake, kisha akaanza kutembea kwa haraka kuekelea kwenye jengo la hospital, uso umejikunja kwa hasira na chuki, huku kichwani mwake akiwa na uhakika kuwa ile vesper ya Shaban.********
Yaaaaap!, huko magomeni hospital, tunaanzia ofisini kwa muuguzi mkuu, au unaweza kusema msimamizi wa wauguzi wote pale magomeni hospital, wenyewe umwita dada Halima.
Tuna mwona akiwa amekaa kwenye kiti chake nyuma ya meza kubwa, anaadika vitu flani kwenye daftari kubwa, maarufu kama counter book, mala simu yake inaingia ujumbe, anaishukuwa na kuufungua mala moja, ujumbe unasomoka unatoka kwa Mwaija.
Anahisi kuwa Mwaija anadharula flani, hivyo ni vyema akasoma ujumbe wake mala moja, ili asikie anaitaji nini, maana simu nyingi au messeji za mapema mapema, uwa za kuomba luksa, japo alisema kuwa watu wasitume ujumbe baada yake waje wenyewe kuomba luksa.
“dada nipo na Siwema, anaonekana wazi kabisa hayupo sawa, naomba ufanye utaratibu wa kumwita ofisini kwako” ndivyo ulivyo sema ujumbe toka kwa Mwaija.
Ujumbe unamshtua Halima, ambae moja kwa moja anahisi kuwa pengine Siwema amelewa pombe za mapema mapema, maana tayari walikuwa wanataarifa zake za zile video za ulevi na usaliti wa ndoa yake, “tunafanyaje sasa, na ndio watoto wa wakubwa” anajiuliza Halima, huku anabofya simu kutafuta namba ya Siwema, ilimwite ofisini, ikiwezekana ampatie luksa akapumzike nyumbani.
Lakini kabla aja ipata namba ya Siwema, akasikia mlango wa ofisi unagongwa, “ingia!” alisema Halima, huku ameacha kutafuta amba ya Siwema, na amcho ameyaelekeza mlangoni.
Mlango unafunguliwa na Siwema anaingia, huku ameachia tabasamu pana usoni mwake, tofauti na alivyo tarajia kumwona mwanamke huyu, “karibu Siwema” anasema Halima, huku anamtazama Siwema kwa macho ya tahadhari.
Siwema anaachia kicheko kidogo, “dada Halima mwenzio naomba luksa niende kwa Radhia” anasema Siwema, kwa sauti flani hivi, ungesema ni mtoto anaomba pipi au fedha ya pipi kwa mtu mzima, huku andaelea kucheka cheka, bila kukoma, na macho akiya kwepesha yasimtazame Halima.
Uongeaji wa nikama Halima anaingiwa na shaka kwa hali ya Siwema, ambayo licha ya kuwa hakuwai kumwona akiwa amelewa, lakini alikuwa na uhakika kuwa Siwema muda ule, hakuwa amelewa, “kwa Radhia kuna nini tena jamani, tuarikane tukale mapocho pocho” anasema Halima huku anacheka kidogo.
Lakini ghafla Halima anamwona Siwema anabadirika, anaacha kucheka cheka na kukunja uso kwa hasira, “nataka nika mkomeshe mshenzi yule, anajifanya anamume mzuri, na ameshika mimba, nataka nikamkomeshe aachike” alisema Siwema, akionyesha chuki ya wazi, pasipo dalili yoyote utani.
Halima anashtuka kidogo, anazidi kuingiwa na wasi wasi, maana hali ya Siwema siyo ya ulevi, ila ni kama anatatizo jingine kabisa, “kwanini sasa jamani, mbona Radhia mdogo wako kabisa, sindio vizuri akipata mimba” alisema Halima, kwa sauti iliyojaa urafiki, japo bado alikuwa anamtazama Siwema kwa umakini mkubwa.
Lakini kabla Siwema ajajibu chochote, ghafla akaonekana kujikunyata kwa kukumbatia matiti yake, na kuanza kuyapekecha, huku anazungusha kiuno chake taratibu, na mdomoni mwake ikimtoka sauti ya kama vile mtu anaefyonza bua la mua.
Inamshangaza sana Halima, ambae anatoa macho kwa mshangao, “Siwema unanini wewe?” anauliza Halima kwa sauti ya mshangao, “mwenzio….. nna…. nna hamu ya kutombw…” anasema Siwema kwa sauti yenye mwingi wa msisimko na ujazo wa mahaba, mfano wa mtu anae nyanduliwa.
“makubwa haya, sijuwi amepatwa na nini huyu binti” anajisemea Halima, ambae anaendelea kumtazama Siwema, ambae sasa anamwona akiwa anapandisha baibui lake na kufikia usawa wa tumbo, akiacha chupi wazi, kicha anaingiza mkono mmoja kwenye chupi yake, na kuanza kupekecha kitumbua chake, huku akiongeza sauti za miguno ya kuugulia utamu, “nasikia hamu ya kutombw…” alisikika Siwema akilalamika kwa sauti yenye ujazo mkubwa wa msisimko.
Kuona hivyo Halima akaona toka nje ya ofisi na kufunga mlango kwa nje, na kuelekea ofisini kwa mganga mkuu, akijuwa fika kuwa, swala la Siwema, siyo la ulevi, ila ni tatizo la hakili, hivyo iliitajika juhudi za haraka kumwaisha mnazi mmoja hospital ya rufaha.********
Akiwa ajuwi lolote, mschana mzuri mwenye mwonekano wa kiarab, kwa umbo sura na rangi ya mwili wake, alie jilaza kwenye kochi, amevalia gauni lake zuri, jepesi, refu na pana, nywele zake ndefu, nyeusi, zimemwagika alipoegemeza kichwa chake.
Yani mwana dada Radhia Abeid Makame, sasa alikuwa ameshika simu yake anaandika ujumbe kwenye simu yake, huku mala kwa mala akifuta na kuandika tena, kuna wakati alifikia hatua ya kujicheka mwenyewe, kwa kile alicho andika.
“sasa hivi sifuti tena, namtumia hivyo hivyo” alisema Radhia, huku uso wake umejawa na tabasamu pana, lililozidi kumpendezesha na kumfanya awe mzuri zaidi.
Lakini kabla ajautuma ujumbe ule, mala akashtuka kuona mlango wa chumba unafunguliwa, Edgar akaingia akiwa mwenye uso wa tabasamu, Radhia anashtuka na kufika cha simu mgongoni kwamaana ya kuilalia, “unaficha nini Radhia?” anauliza Edgar, kwa sauti yenye mashaka, huku anamfwata Radhia pale alipolala, ni wazi Edgar alisha ingiwa na wivu, maana alihisi kuwa, Radhia alikuwa anatuma ujumbe kwenda kwa mwanaume mwingine, maana alimwona alipo shtuka kwanguvu sana.
Radhia anacheka “hakuna kitu bwana” anasema Radhia, huku anaitoa simu kule alikoiweka, na kutaka kuifuta lakini kabla ajafuta ata neno moja, tayari edga r alisha ichukuwa simu na kutazama, “hapana bwana usisome mi naona aibu” nilikuwa na ku…” alisema Radhia, huku anajaribu kumpola Edgar simu, lakini alisha chelewa, maana alimwona Edgar anatabasamu peke yake.
Edgar anamtazama Radhia ambae pia alikuwa anamtazama, ata macho yao yanapokutana, Radhia anaziba macho kwa mikono yake, kwamaana ya kuona aibu, Edgar anatabasamu, huku anatazama tena ujumbe ule, kwenye simu ya Radhia, ambao uliandikwa kwenye namba ambayo ni yake, kwa lengo la kuutuma kwake.
“Eddy mbona unachelewa sana, umenizowesha vibaya, mwenzio nataka uje tufanye” ndivyo ulivyosema ujumbe alio uandika Radhia, “pole mpenzi, lakini unimesha rudi sasa nipo kwaajili yako” alisema Edgar, huku anapiga magoti karibu na Radhia, “nilikuambia usisome wewe umesoma, mwenzio naona aibu” anasema Radhia ambae bado ameziba macho yake kwa viganja vya mikono yake. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
Ila wewe ni chizi hahahaaBwana Abou Shaymaa moneytalk amelia sana leo hujaweka mzigo yaani kalia kweli kweli sijui hata naanzaje kumbembeleza
Solution ni wewe kushow up hapa na kutupia mzigo wewe utaona atakavyofurahi
Wekaaa mkuu
Kwahiyo hutaki watu wajue kwamba umelia sana leo?Ila wewe ni chizi hahahaa
Nani kakuita?Story nzuri lakini uandishi mbovu.Mwandishi anaharibu kiswahili.Inakata stimu