SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA NNE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TATU: “chanzo ni chuki ambayo tumeirithi toka kwa mama, zidi ya mama mdogo” alisema Siwema, ambae mpaka sasa anaonekana kujutia kile alicho kifanya mpaka kumletea madhara makubwa, na doa kubwa katika maisha yake. ........ ENDELEA….

Mzee Makame anamtazama mke wake mkubwa, ambae sasa anaonekana kabisa kutaka kuanza kujitetea, “nazani umesikia mke wangu, na kabla sija mchumbia mama Radhia nilikuomba luksa na wewe ukakubari, sasa sitaki kuona chuki ya aina yoyote zidi yake, isitoshe tumesha ishi miaka mingi sana, aina aja ya kuendelea kugombana” alisisitiza mzee Makame, kabla ya kufunga kikao na kuwa luhusu wanafamilia wasogee mezani kwaajili ya chakula.*********

Naaaaam! Idd Kiparago anajikongoja kwa kuchechemea, huku anaikokota baskeri yake kwa tabu, kutokana na maumivu ya mguu na kiuno, akikatiza dukani kwa sharifu, ambako leo alikuta pamefungwa mapema sana, akujuwa wala hakuwa na sababu, ya kujuwa ni kwanini pamefungwa mapema namna ile.

Idd anavuka nyumba mbili tatu, huku akiombea watu wasimwone na kumwuliza kwanini anachechemea, maana jibu lake lingekuwa gumu sana, au pengine angeshindwa kulitoa, maana alikupendeza masikioni mwa watu.

Idd ambae alisha sahau ujio wababa yake usiku huu, anaibukia kwenye nyumba yake, nyumba ambayo aliachiwa na baba yake baada ya kuamia mchamba wimba, anakuta papo kimya, Idd anaegesha baskeri yake kiambazani, na kuufwata mlango ambao anaufungua na kuingia ndani na kuwasha taa za sebuleni na zile za nje.

“jamani twendeni ndani nazani amesha rudi” Idd alisikia sauti ya baba yake mzazi ikisikika toka upande wa uwani, yani nyuma ya nyumba yake, ikifwatiwa na vishindo vingi vya watu ikadhaa, waliokuwa wanakuja upande wa mlango wambele wa nyumba ile, huku wakiongea ili na lile.

Idd licha ya kukumbuka ujio wa baba yake, ambae alimjulisha toka mapema, lakini Idd anashangaa kidogo kama siyo kushtuka, maana akuzania kama baba yake angeongozana na watu wengine, kuja nyumbani kwake.

Sekunde chache baadae tayari watu walikuwa mmlangoni, “hodi humu ndani maana tumesha kuwa wageni tena” ilisikika sauti ya mz4ee kiparago mwenyewe, ambae alikuwa mbele, Idd ambae akufunga mlango wa mbele, maana alikuwa ajaingiza baisker yake ndani, akiwa ameshangaa anatazamamlangoni, akaanza kuwaona watu wanaingia ndani wakinfwata baba yake.

Nyuma ya baba yake, kijana Idd anamwona mshenga wake, alie fwatiwa na Ashura na mama yake Ashura, pamoja na mama yake Idd, yani mke wa mzee kiparago, wakiwa na Aziza, na mume wake.

Pamoja na hao, pia alikuwepo baba yake Ashura, na wazee wengine wanne wawili wa hapa michenzani na wawili wa kutoka mchamba wima, pia na watoto wawili wadogo, walio pishana kwa miaka mmoja wa kuzaliwa.

Hao ni Khamis na Rehema, ni watoto ambao mpaka sasa watu wengi wanafahamu kuwa ni watoto wa Idd na Ashura, ujio ambao ulimshtua sana Idd, hakika alitegemea kumwona baba yake pekee, na siyo watu hao wote.

Idd anapata wazo la kuwa, pengine Ashura baada ya kuona amegundulika ujinga alio ufanya, wakulala na mwanaume mwingine siku ya kwanza kutoka hospital, ndio amewabeba watu wote hawa, kuja kuomba msamaha.

Idd anaonakuwa kama ni hivyo, basi Ashura anataka kumkosesha fedha nyingi, “ata semeje hapa, siwezi kukubari kumsamehe kirahisi” anawaza Idd huku anamtazama Ashura kwa jicho kali, wakati huo mtoto Ashraf alikuwa ameshikwa na bibi yake, yani mama yake Ashura.

Kitu ambacho uwezi amini, Idd alisahau kama kuna kusalimiana, maana mpaka wageni wanakaa kwenye kwenye mkeka, sababu hapakuwa na makochi ya kuwa tosha, Idd akukumbuka kusalimia ata mala moja.

“asalm aleykum Idd” alisalimia baba yao wakina Ashura, na kumzindua Idd toka kwenye mshangao, “alekum salaam” lakini licha kuitikia salam ule, wala akujisumbua tena kusalimia, zaidi alimtazama Ashura kwa macho makali sana.

“bwana Idd, nimedokezwa kuwa ujio wetu jioni hii, umekuwa wakushtukiza, ndio maana tukabakia wenywe kukusubiri” alisema mzee mmoja ambae ni mshenga wa Ashura na Idd.

Idd anaendelea kutulia akisubiri sehemu ifikie, ili awaonyeshe kama yeye siyo mwepesi wa kutoa msamaha, maanaa ata anapo mwona Aziza ndio kwanza anapandwa na hasira, kwa kile alicho mfanyia asubuhi pale nyumbani kwake.

“ni kawaida yetu kama kuna jambo limetokea, basi uwa tunaitana na kuliweka sawa, kama tulivyokuja leo” alisema mshenga, huku wote wakiwa kimya wanamsikiliza.

Mshenga nae akaendelea, “leo nimepigiwa simu mapema na baba mkwe wako, akinitaka tuje hapa kwako kwamba kuna jambo mkeo anataka akueleze…….,” alisema mshenga, ambae kiukweli akupewa nafasi ya kumaliza kusema.

“mzee naomba uishie hapo hapo, ili swala aliwezi kuisha hivi hivi, namtaka kwanza huyo mshenzi mwenzie aje hapa, ndio tuanze kuongea, vingenevyo siwezi kumsamehe mtu” alisema Idd kwa sauti isiyo na kificho cha hasira.

Kila mmoja anamtazama mwenzie wa jilani yake, kwa macho ya mshangao, kabla awaja mtazama Idd, ambae anaonekana amfula kwa hasira, shavu lake la upande mmoja likiwa limevimba kiasi, mfano wa mtu alie ng’olewa jino.

“Idd sidhani kama unafahamu tunacho kiongelea ni vyema kama ungesubiri kwanza ili ujuwe mkeo anataka aseme nini?” alisema yule mzee, ambae ni mshenga wao, Idd anajisonya kidogo, “najuwa anataka kudanganya tu, hana lolote nataka amlete huyo mshenzi mwenzie” anasema tena Idd, kwa sauti ile ile ya ukali.

Wageni wengine walikuwa wametulia kimya wakimwachia mshenga amtulize Idd, “sikia Idd jaribu kuheshimu watu waliopo hapa, wao wamekuja kwa jambo lao, kama ungekuwa unamtaka huyo unae msema si ungemwita mapema” alisema mshenga kwa sauti ya ukali kidogo, na safari hii Idd akatulia kweli, japo alionekana akihema juu juu kwa hasira.

Baada ya kuhakikisha Idd amekubari kusikiliza, ndipo mshenga alipo endelea, “aya mama umesema unajambo lako la kutueleza, na kumweleza mumeo mbele yetu, tunakusikiliza sasa” alisema mshenga, na hapo Ashura akapewa nafasi.

Kwanza Ashura alimtazama mama yake, kama vile anaomba msaada, kisha akamtazama Idd, ambae ni mume wake anae amini kuwa wamezaa watoto watatu, yani wakina Rehema na huyu mdogo Ashraf, anamwona Idd amekata jicho la hasira.

Ashura anapiga moyo konde na kuanza kueleza, “kwanza samahani wazee wangu kwa haya nitakayo yaeleza hapa, hakika nitakuwa na makosa mengi sana, lakini sikuwa na namna zaiya……,” hapo Idd alie juwa kuwa, Ashura yupo hapa kuomba msamaha, kwakile kilichotokea usiku wa kuamkia leo, akumpa Ashura nafasi ya kumaliza kuongea.

“nasema hivi kama ni swala la kuomba msamaha, aliwezekanai mpaka huyo msherati mwenzio awepo” alisema Idd kwa sauti yenye hasira kali, nakuzidi kuwa shangaza watu.

Neno lile la msherati lina muumiza sana Ashura, na watu wengine, asa wale ndugu wa Ashura, Ashura anawaza kuwa yeye na baba watoto wake, yani Shaban, wanaitwa washerati mbele ya watoto.

Hapo na yeye anainua uso wake, na kumtazama Idd kwa macho makali, “sijaja kuchukuwa taraka yangu” sauti ya Siwema inasikika masikioni mwa Idd, na kumfanya Idd ashtuke, na kuganda kama mtu alie pigwa na short ya umeme. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TANO
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA NNE: Hapo na yeye anainua uso wake, na kumtazama Idd kwa macho makali, “sijaja kuchukuwa taraka yangu” sauti ya Ashura inasikika masikioni mwa Idd, na kumfanya Idd ashtuke, na kuganda kama mtu alie pigwa na short ya umeme. ........ ENDELEA….

“eti! Unasema nini wenyewe, unataka taraka, unaniona mimi bwege, kwahiyo unataka nikuache ukaishi na huyo msherati mwenzio” anasema Idd kwa sauti yenye hasira.

Hapo watu wanatazamana kwa mshangao, huku wanaulizana maswali mafupi mafupi kwa sauti za minong’ono, “ebu subirini kwanza, mbona kama mmetuchanganya kidogo” alisema mshenga, huku anamtazama Ashura, ambae tayari pia alisha jawa na hasira.

“aya mama ebu tueleze nini kimetokea mpaka udai taraka, na kwamba iki ndicho kilicho tukusanya jioni ya leo hii?” aliuliza mshenga, na hapo mama Ashura akadakia, “shida ni moja mzee wangu, bado atujamsikiliza alichotaka kusema” alisema mama Ashura, na hapo kila mmoja mle ndani akakubariana na mama Ashura.

Na hapo Ashura akapewa nafasi ya kueleza alicho kusudia kueleza, akianza mwanzo kabisa, siku ambayo yeye na Shaban walienda pale darajani madukani, na Shaban kuwaeleza wenzake kuwa anania ya kumchumbia.

“ghafla siku chache baadae, Idd akawaleta washenga nyumbani, na nilipojaribu kuwaeleza wazazi wangu, tayari walikuwa wamekubariana kupitia urafiki wao” Ashura aliendelea kueleza jinsi Idd alipoenda kwa Shaban na kumweleza kuwa, ni yeye Ashura ndie alie waomba wazazi wake, wamuozeshe kwake, kitu ambacho kilimuuzunisha Shaban na kumfanya aondoke nchini.

Mpaka hapo Idd aliona wazi anaelekea kuumbuliwa, maana alicho kitegemea akikuwa kile kinacho tokea, “lakini wazee wangi kiukweli licha ya fitina yote aliyo ifanya Idd, na kuniachanisha na Shaban, nilipofika nyumbani kwake bada ya kufunga ndoa, nilikuta vitu tofauti, kwanza unyumba ulikuwa ni mala moja kwa mwenzi, na pia inaweza kupita miezi ata mitatu atujakutana, na tukikutana kwakweli nashindwa kuelezea kwaaajili ya heshima yake” alisema Ashura, japo kila mmoja alielewa nini anaongelea Ashura.

Hakika Idd alitaka kuondoka pale alipokaa, maana kumzuwia Ashura asingeweza, kutokana na watu waliopo na yale maumivu ya kiuno aliyokuwa nayo, “afadhari ata Shani alinielewa na kudai taraka kimya kimya” alisema Idd, akijuwa fika kuwa kinachofwata mbele, ni hatari zaidi ya aya yamwanzo.

“nilimaliza mwaka mzima bila ujauzito, huku nikiwa nimekutana mala nne tu na mume wangu, mwanzo nilizania ninatatizo la kuto kushika ujauzito, maana ata yeye alianza kunisimanga kama alivyofanya kwa wake zake wengine alio waacha mfano Radhia” alisema Ashura, huku watu wote wakimsikiliza kwa umakini na mshangao wakila hatua, Idd akitamani kumzuwia kwa kumziba mdomo.

“lakini nilipokutana na Shaban na bahati mbaya tuka ingiwa na ibirisi na kushiriki tendo, nikashika mimba ya kwanza” alisema Ashura, safari hii kwa sauti ya kupoa kidogo, huku akitazamisha uso chini.

Hapo ikasikikamiguno toka kwa watu wengine, yani siyo upande wa Ashura, kwa Idd sasa ilikuwa ni hatari, maana aliona wazi siri yake inaenda kufichuka, muda mfupi ujao, “ebu subiri kwanza Ashura, inamaana mtoto wakwanza siyo wa mumeo?” aliuliza mshenga, kwa sauti ya mshangao, mapigo ya moyo ya Idd yanaenda mbio, maana anajuwa jibu la Ashura nizito kuliko swali lililo ulizwa.

“hapana, siyo mtoto wa kwanza tu, ila watoto wote watatu ni wa Shaban” alisema Ashura, hapo ukafwatia mshangao wa wazi na sauti za mguno zilizo sikika kwa sauti ya juu kabisa, toka kwa watu wengine, nasiyo ndugu wa Ashura mbao walikuwa wamesha simuliwa mkasa mzima.

“unamaanisha nini Ashura, una uhakika kuwa watoto siyo wa Idd?” aliuliza mshenga, kwa sauti ya mshangao, huku anatazama Ashura, kwamacho ya mshangao, “ndiyo” anajibu Ashura, huku ametazama chini.

Hapo watu wote wanamtazama Idd, kuona kama ata pinga maneno yale, lakini wanaona hakuwa na dalili yoyote ya kujibu hoja ile, yani kukubari au kukataa.

Jambo ili lilionekana kuwa shtua sana baba na mama Idd, mama Idd mke wa mzee Kiparago, anamtazama mwanae Idd, kwa macho yaliyo jaa unyonge na huruma, “Idd baba, ebu sema hapana, mbona umekaa kimya mwanangu” anasema mama Idd, kwa sauti inayokaribia kuangua kilio.

Lakini Idd ajibu chochote, na sasa ni zamu yake kutazama sakafu, hapo mzee kiparago anaingilia kati, “kwanini sasa unamng’anga’ania mwanangu muda wote huo, siungeomba taraka yako mapema?” anauliza mzee kiparago, kwa sauti yenye mshangao na hasira, huku anamtazama Ashura.

“baba toka mwanzo sikupenda kuolewa na Idd, lakini nazani mnakumbuka shutuma alizo zijaza kwa wazazi wangu, kuwa nafanya ufuska na Shaban, na kuongezea kuwa bora niolewe na yeye, ili nisiendelee kufanya ufuska, vipi kama ningeomba kuondoka, si angetangaza kuwa nimeondoka ili nikafanye ufuska” anaeleza Ashura, kwa sauti ya upole.

Hapo mama Idd nae akauliza la kwake, “sasa kwanini uliacha mwanangu anawalea na kuwa hudumia, watoto ambao siyo wakwake, na wewe umekaa unazini ili hali ukiwa mke wa mtu?” aliuliza mama Idd, na kila mmoja akamtazama Ashura.

Sasa Ashura nikama hali yake ilianza kubadirika, na kuanza kutokwa na machozi, kwa kujiona mkosefu, “hapana mama, watoto wamelelewa na mama yangu, na huduma zote alikuwa anatoa mume wangu, mwulize Idd kama aliwai kununua kitu chochote kwa watoto, zaidi alinihudumia mimi kama mke wake, na siyo wa toto, ata huyu mchanga, kuanzia gharama za hospital mpaka chakula, ametoa baba wa mtoto” alisema Ashura, na watu wote wakamtazama Idd, kuona kama anaweza kukataa au kukanusha maneno ya Ashura.

Idd anakaa kimya, hali ambayo inawatia uzuni wazazi wake na pamoja na ndugu waliokuja na wazazi wake, “mjomba inamaana ulikuwa inafahamu haya yote” aliuliza mmoja kati ya wale wanaume wawili waliotokea mchamba wima, “hapana mjomba sikuwa najuwa chochote” alijibu Idd kwa sauti ya chini, ya kinyonge kweli kweli.

Hapo mshenga akadakia, “sasa kama ulikuwa ujuwi kwanini ukuwai kuhudumia watoto wala kuwalea watoto wako?” aliuliza mshenga, na hapo mama mtu akadakia, “alafu inawezekana vipi, mbona ainiingii akilini, unakaa na mwanamke miaka yote hiyo ukutani nae kimwili, unatatizo gani, kwanini usimwambie baba yako kama unashida” anauliza mama yake Idd, kwa sauti yenye dalili ya kilio.

Dada yake Ashura pia akuwa nyuma, akaongeza la kwake, “achana na kuhudumia watoto, pia alikuwa anamwacha mke wake anakaa kwangu miezi ata mitatu, bila ata kuja kumwuliza hali yake, ata kupiga simu aliona kazi, alikuwa busy anatafuta Radhia” alisema Aziza, na kuwafanya watu wamtazame Idd kwa mshangao, huku Idd mwenyewe akishtuka na kumtazama Aziza, kwa macho ya kumkatazama kuongea.

“Aziza yupi, jamani au huyu binti wa mzee Makame, alie chumbiwa na barozi wa #Mbogo_Land” aliuliza mmoja kati ya wale wazee waliotokea hapa michenzani, “huyo huyo” alijibu Ashura.

Hapo ungeweza kuona wazi masikitiko toka kwa wanaume wona wanawake waliokuwepo mle ndani, “sasa unamtafuta wa nini, wakati mke wako wa ndania anakushinda” aliuliza yule alie jiita mjomba, huku akionekana kusikitishwa na tabia za Idd.

“jamani heee, mjadala usiwe mrefu, iliswala liishe hapa hapa” alisema mshenga, na watu wakatulia kumsikiliza, “hakuna namna, Idd anatakiwa kutoa taraka, na asi owe tena mpaka atakapo pata tiba ya tatizo lake” alisema tena mshenga.

Mshenga akuishia hapo, “japo Radhia nae alimkosea Idd, lakini Idd ndie mkosefu zaidi, amewakosea wazazi wake, amemkosea wakwe zake, pia amemkosea mke wake, amenikosea na kama mshenga” kila mmoja alikuwa kimya anatafakari maneno ya mshenga. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA SITA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TANO: Mshenga akuishia hapo, “japo Radhia nae alimkosea Idd, lakini Idd ndie mkosefu zaidi, amewakosea wazazi wake, amemkosea wakwe zake, pia amemkosea mke wake, amenikosea na kama mshenga” kila mmoja alikuwa kimya anatafakari maneno ya mshenga. ........ ENDELEA….

“kama kunapingamizi juu ya ilo, naomba mstuite hapa, twendeni msikitini maana hapo ndio sehemu sahihi ya kuliweka sawa, chamsingi naomba busara zitumike binti wawatu asiendelee kuwa katika kifungo hiki cha ndoa, na kuendelea kuzini nje ya ndoa” alisema mshenga, akimaliza kuongea la kwake.

Ilimuuma sana Idd, ambae kiukweli ni kama alikuwa amezinduka toka usingizini, maana kila kilichoongelewa pale ni ukweli mtupu, japo mwanzo alijiona yupo sahihi, sababu akuwai kumsikia mke wake Ashura au Radhia, wakilalamika kuhusu tendo la ndoa, baada yake, alimwona Shani kuwa ni mwanamke asie na aibu, kwa kudai haki yake ya kitandani.

Idd sasa ndio aligundua kuwa hakumtendea haki Radhia, kwa kumfukuza nyumbani kwake akipatia taraka kwa masimango ya hali ya juu, na kwamba ilibidi ajuwe udhaifu wake mapema ili aweze kupata tiba, na pengine kupata watoto wake mwenyewe, maana ata Radhia tayari sasa alikuwa anaujauzito.

Idd ambae sasa alikuwa na kitu cha kumweleza Radhia, ilikumwomba msamaha, huku akijuwa fika isingine wezekana, kutokana na kile alicho kiona usiku huu waleo, ukiachilia kumwona Radhia akiwa amekasirika, ila pia ndie alie mbomoa teke la mdomo.

Idd akawa tazama watu waliopo mle ndani kwa hawamu, kabla ya kuanza kuongea, “kwanza niwaombe radhi wote mliopo hapa, pili naomba mfahamu kuwa, sikuwai kujuwa kama nina tatizo lolote kiafya, nilijiona nipo sawa, ata hali ya kuto kuweza kushiriki tendo, niliona ni kawaida tu” alisema Idd, kwa sauti ya upole yenye majuto ya wazi kabisa.

Watu wote walitega masikio yao wakimsikiliza kijana huyu, aliewai kuowa wanawake watatu, “hakika mke wangu angenieleza kama ninautofauti na wanaume wengine, nazani nisingefikia hapa, japo ingekuwa vigumu kuelewa” alieleza Idd, ambae alionekana tofauti kidogo.

“nakubari kumpa taraka mke wangu, na sito owa tena mpaka nipate tiba ya tatizo nililonalo” alisema Idd kabla ya kuanza kuandika taraka na kumpatia mke wake mbele ya mshenga na wazazi wao.*********

Miezi mitatu baadae, ikiwa tayari Radhia amesha rudi toka nchini #Mbogo_Land, ambako alitambulishwa kwa wazazi wa Edgar, pamoja na ndugu na jamaa na marafiki.

Radhia alikutana na wifi yake, yani Dorin, dada wa Edgar, pia alikutana na Deus, pamoja na mke wake Doctor Monica, wote walimpokea Radhia wakimkaribisha majumbani mwao, mialiko iliyo ambatana na afla kubwa zenye waalikwa wengi, wakiwepo viongozi na watu maarufu.

Katika matukio makubwa yaliyo mpendeza Radhia, nikupakwa unga wa dhahabu, wakati anaingia nyumbani kwa wakwe zake, hakika ni matukio mengi yaliyo chukuliwa na kutunzwa katika video na picha nyingi sana, zilizowekwa mtandaoni, na kutazama mwa na watu wengi sana.

Baada ya kurudi kisiwani unguja, akiwa mwenye furaha isiyo na kifani chake, barua ya posa ililetwa nyumbani kwa kina Radhia, na ndoa ya kwanza ikapita, ikifanyika kwenye viwanja vya ikulu kama ilivyo aidiwa, na kuuzuriwa na viongozi pamoja na watu maarufu sana.

Sasa ikiwa ni miezi mitatu mbele, palikuwa natukio kubwa la harusi iliyo sherehekewa baada ya ndoa ya kimila, iliyofungwa nchini Mbogo land, harusi ambayo baadhi ya matukio yake yalirushwa moja moja, katika vituo sabini na mbili, ndani ya nchi kumi za afrika.

Tanzania ni ni mmoja ya nchi ambazo tukio la sherehe za harusi ya kimila ya Edgar na Radhia, ilirushwa moja kwa moja na vituo viwili vya television, na kutazamwa na watu wengi sana.

Kisiwani unguja, watu walisimamisha shuguri zao, kama walivyo onekana majumbani, au madukani huko mitaani na katikati ya mji, wakishuhudia sherehe kubwa ya harusi, iliyokutanisha viongozi wengi sana.

Mmoja kati ya watu walio ishuhudia sherehe hiyo ni kijana Idd, ambae kiukweli alikuwa amekaa kiunyonge sana sebuleni kwake, anatazama TV, huku macho yake yanalengwa na machozi, anapo mtazama Radhia ambae sasa usingezania kuwa ndie yule aliekuwa anatembea kwa mguu toka jang’ombe mpaka forodhani, maana alikuwa mwarabu kabisaaaa.************

Kwa upande wa Ashura na Shaban, hapakuwa na kusubiri, siku moja tu baada ya Ashura kupewa taraka, wazazi wake walipokea barua ya uchumba toka kwa Shaban, siku chache baadae ndoa ikafungwa, nao wakaishi pamoja na watoto wao watatu, safari hii waliamua kwenda kuishi kigamboni dar es salaam.

Walisha sahau kuhusu fitina na ujuma walizofanyiwa na Idd, sasa walishi kama wanafamilia, huku wakipanga kuficha kwa watoto wao kile kilicho tokea, walifurahia maisha yao kwa pamoja.*********

Kijana Idd kwa sasa anaudhuria tiba, kwa Doctor mmoja wa dawa za hasiri, ambae anapambana, uona Idd anarudisha uwanaume wake, Idd anajilahumu kwa kuto kukubari mapema kuwa yeye ndie mwenye shida na siyo wake zake.

Idd ambae sasa anagundua kitu ambacho alikuwa anakikosa, kitu ambacho kilimkimbiza Ashura na Shani, kitu ambacho Radhia alienda kukipata kwa mwanaume mwingine, sasa Idd alipanga kuwa, akipona aowe tena wake watatu, ili aweze kufaidi kitumbua.***********

Miezi mitatu baada ya harusi ya Edgar na Radhia, ilimkuta Siwema akiwa anachumbiwa na mwanaume mwingine, baada ya kuachana na Said, ikiwa ni maamuzi mapya ya Siwema, aliemua kubadirika na kuishi kwa kufwata maadili.

Sasa Siwema alikuwa ameacha chuki zidi ya mdogo wake yani Radhia, na kuishi nae vizuri, akizingatia kuwa, Radhia akuwa na ubaya wowote zidi yake, maana ata mtoto wake Khadija alikuwa anaishi na nyumbani kwa Radhia, ni kutkana na Khadija kuwa analilia kuondoka na Edgar mala kwa mala anapokuja kuwatembelea.

Mume wa zamani wa Siwema, bado yupo nje ya nchi, lakini kaka yake Siwema amesha rudi, na anasimamia miladi ya familia, akisaidiana na wakina Mariam, iliyoanzishwa na baba yao, yani mzee Makame.

Wakati huo tayari Mariam na Zuhura walikuwa wamesha pata wachumba, ambao ni walinzi wa Edgar, na tayari walikuwa katika mipango ya ndoa, nao pia hawakuwa na kinyogo wala chuki zidi ya Radhia.

Edgar na Radhia ambao wanatarajia kupata mtoto hivi karibu, bado wapo zanzibar, ambako Edgar anawakilisha nchi yake kama barozi, wanaishi kwa furaha, huku anashubiri mke wake aende akajifungue #Mbogo_Land, kisha aende akasomee usimamizi na uongozi wa kampuni, kwaajili ya kujiandaa kuwa msimamizi wa miladi yao.

Wakati huo pia alikuwa anakaa nyumba moja na Zahara, huku Mukhusin akiwa anaishi kwa Dorin nchini #Mbogo_Land, alikuwa ametafutiwa shule, lengo lilikiwa ni kusoma, huku anaendelea kujifunza mpira wakikapu.

Kwakifupi wanaishi maisha mazuri yenye furaha, katika vitu ambavyo Radhia anapenda kulambwa asali, na ukizingatia alisha ambiwa kuwa #ASALI_AITIWI_KIDOLE.

MPAKA HAPO TUNAFIKIA MWISHO WA HADITHI HII, AMBAYO IMECHUKUWA MUDA KIDOGO KUMALIZIKA, ASANTE KWA KUWA PAMOJA NA MWANZO MPAKA MWISHO WA HADITHI, TUONANE KWENYE HADITHI NYINGINE, ZITAKAZO KUJIA HAPA HAPA KWA Mbogo Edgar, KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA MIMI.

HAYA SASA MKASA UNAOFUATA UNA MUHUSU DOKTA MONICA NA DEUS KAKA YAKE EDGAR HUU MOTO SIO WA KUKOSA
NAANZA KUUPANDISHA HEWANI KUANZIA KESHO PANAPO MAJAALIWA NA UHAI.
 
Hakika ilikuaaaa safari njemaaa na hadithi ilikuaaaa mzuri sanaaaa....tunasubiri kigongo kipyaaa usisahau kututag nasi hatutokuangushaaaaaa
 
Mkuu
Hakika umetuburudisha sana sana
Tulipokuwa na stress tulikuja hapa, tulipotaka ku refresh akilk tulikuja hapa

Ila wewe hukuchoka

Hebu tuletee hiyo nyingine mpya ASAP Abou Shaymaa ila hakikisha inakuwa na mizagamuano kama hii
 
ubarikiwe sana eddy,hakina tumeenjoy nq tunashukuru hukuwa mchoyo wakutupa burudani pindi tunapokuhitaji
 
Back
Top Bottom