Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Inaendelea sehemu ya 3

Baada ya Aisha kunipa taarifa Ile moyo wangu ulijawa na uwoga na Hamu yote ya kuishi pale ikatoweka Nakumbuka Baada ya kurudi sikuongea na mtu nikapitiliza chumbani kwenda kupumzika kichwa kinaniuma nikawa nawaza nimemkosea Nini shemeji mpaka aniwekee sumu kwenye chakula mbona sijawahi kufanya kitu kibaya chochote kwake,nilipata mawazo yote sababu mke wa Kaka kwa pale home ndo alikuwa mpishi na chakula alikuwa ananitengea yeye
Baada ya kuwaza Sana nilipitiwa usingizi nakuja kushituka saa mbili usiku mama mkubwa ananiita muda wa chakula sikuwa na hamu na chakula Cha pale kabisa nilimdanganya bimkubwa sijisikii kula nimeshiba
Bimkubwa maswali mengi umekula wapi Hadi umeshiba au unaumwa nikamdanganya mpaka akanielewa sikukaa barazani wakati ilikuwa sio kawaida nikapitiliza chumbani kuoga kulala.....
Asubuhi na mapema nimeamka baada ya pilikapilika asubuhi kabla ya chai nikamuaga mama mkubwa naenda town Kuna kitu nakifuatili nilimdanganya ili nisinywe chai pale baada ya maongezi kidogo akanielewa nikaondoka zangu ili nipoteze mida nirudi jioni baada mizunguko yangu town mida ya saa kumi na moja jioni ilibid nirudi home Kama bahati nikakutana na sister mtoto wa pili wa mama mkubwa karudi kutoka chuo baada story nyingi utani na vicheko ikabidi nimsimulie mkasa nzima wa Aisha na mama ake sister alishtuka Kwanza
Wifi huyu mama Aisha anataka akuwekee sumu kwenye chakula ngoja nimwambie mama.
Baada ya kumpa mkasa huo nilienda zangu chumbani kumbe sister alishamuelekeza kila kitu mama mkubwa jioni naitwa kwenye kikao subuleni naikuta familia nzima ipo pale isipokuwa binti wa kazi tu

Itaendelea.........
 
Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji na wazazi tujitahidi kwa malezi Bora. Asanteni

Mwaka 2018 wakati nipo chuo hapa jijini baada kumaliza semester ya Kwanza tulifunga chuo kwa ajili ya likizo baada ya kufikiria Sana sikutaka kurudi home nikapanga nikabadilishe mazingira niende kwa mama mkubwa ambaye anaishi hapahapa jijini maeneo ya kinyerezi ilibid nipige simu home kuwataarifu likizo hii sitarudi
naenda kuishi kwa mama mkubwa mama akanipa usia kidogo nikaishi vizuri ugenini na niache tabia yangu ya kuchagua chakula siunajua wa mama kiafrika maneno mengi

Baada kumaliza process zangu vizuri siku ya jumamosi nilimpigia simu mama mkubwa nakuja kumtembelea kwake alifurahi Sana alisema taarifa zangu za kuja kwake anazo mama alishampigia simu kumpa taarifa
Saa 10 jioni nilimpigia simu mama mkubwa kumpa taarifa nimefika mitaa anayoishi Mana nyumba aliokuwa anaishi nilikuwa sipajui sijawahi kufika kabla alitumwa kijana wa babaj aje kunichukua maeneo hayo

Dereva bajaji: Halo nimetumwa na mama M nije nikuchukue uko sehemu gani
Mimi: Niko hapa kwenye kwenye fremu hizi karibu na kijiwe Cha bodaboda nimevaa form six ya blue na jinsi jeusi
Dereva bajaji: nimeshakuona
Mimi: sawa

Baada ya bajaji kuja Safari ikaanza mwendo dakika 10 tukawa tumefika nje ya nyumba moja kubwa mpya haina fensi na ujenzi ulikuwa unaendelea nikapokelewa na mama mkubwa akiwa kwenye sura ya ucheshi na tabasamu nikasema kimoyoni kumbe mama mkubwa Yuko piece hivi nitaenjoy baada ya kunipokea begi langu nikapelekwadi sebuleni kwa maongezi zaidi.

Mimi: shikamoo mama mkubwa
M mkubwa: marahaba mwanangu za chuo uko
Mimi: Safi tu tunapambana
M mkubwa : mjitahidi kusoma simnaona wazazi wenu tunazeeka Sasa
Mimi: sawa mama ,
M mkubwa: kipindi kile nakuona ulikuwa kadogodogo saiz umekuwa mbaba mkubwa
Mimi: hahaha siku zinaenda mama tunakua na miaka hii inavyoenda haraka
M mkubwa: kweri baba ngoja nikuandalie chakula
Mimi: sawa mama

Baada maongezi marefu na chakula ukaja muda kuwajua niliowakuta pale.

Ngoja niwatambulishe kidogo familia na watu niliowakuta pale mama mkubwa ni mama wa watoto wa 3 wa Kwanza kiume ni mwanajeshi na wa pili kike anasoma chuo hapa jijini na 3 ni wa kiume Yuko nje ya nchi anasomea udaktari pale nyumbani anaisha na kijana mkubwa ni ndugu yetu binti wa kazi na shemeji mke wa Kaka mwanajeshi mke wa Kaka ni mtanga binti flani hivi wa miaka 28 au 30 ni mama watoto 3 wa kike mmoja na kiume wa 2 huyu wa kike ni mtoto nje sio wa kaka.

Baada kuijua familia kidogo ya bi mkubwa, tuendelee wakati tumekaa sebuleni tukiangalia tv yule mtoto kike wa shemeji alikuwa akiniangalia Sana nikapotezea siunajua ugeni nikaoneshwa chumba cha kulala nikaenda kujipumzisha.

Visanga na matukio ndo vinaanzia hapa mtoto wa Kaka wa nje wa miaka 8 ndo tatizo lenyewe

Itaendelea...

NB: Sijataja maeneo usika na nimebadirsha sehemu na kuficha baadhi ya vitu
Hapo kwenye miaka 8 ya huyo mtoto siyo code kweli umetumia labda ungesema miaka 10 hivi
 
Inaendelea sehemu ya 4

Kikao kilianza na chairman wa kikao hiki ni mama mkubwa
Aya Mo mp5 hebu niambie Jana Aisha alikwambiaje ikabidi nianza mwanzo mpaka mwisho kusimulia watu wote kimya wananisikiliza baada ya kumaliza ikafika zamu ya mama Aisha kuelezea na yeye huku analia mpaka Mimi nilijisikia huruma sipendagi kumuona mwanamke akitoa machozi mbele yangu...kwa maelezo ya mama Aisha kuwa sio kweri alitaka kuniwekea sumu kwenye ni uongo awezi kufanya hivyo labda Aisha sababu ni muongeaji ameropoka......
Mama mkubwa alisema ya kwake Kama Kuna tatizo sisi wawili tumalize huku akimshutumu mama Aisha alitaka au ana mpango wa kuniua mimi aache Mara moja baada ya maelezo marefu kikao kiliisha na maisha mengine yakaendele mazoea na Aisha yalikuwa Kama zamani Japo sio Sana...
Siku moja wakati nimetoka kuoga naingia ndani nimevaa bukta tu Niko kifua wazi naingia chumbani namkuta Aisha yupo chumbani kwangu kajilaza kitandani nikashituka Kwanza uku nimeganda mlangani nikamuuliza umefuata Nini akanijibu nimekufuata wewe na ukinifukuza namuita Bibi na mama waone ulichotaka kunifanya hakuna siku niliokuwa mpole Kama siku hiyo kila nikimbembeleza Aisha aondoke chumbani amekaza nikimpa hela anakataa anasema ananitaka Mimi

Aisha ni mtoto wa miaka 8 Ila saiz amekuwa tofauti na kipindi kile 2018 mweupe afu ni kababy face lakini uwezi kuweka feeling zako sababu ni mtoto mdogo Sana vituko vyote alivyokuwa ananifanyia nilimchukulia Kama mtoto
Tuendelee siku hiyo ikabidi nibadirishe nguo na Aisha yupo humohumo chumbani ikabidi nimsikilize anahitaji Nini kwangu alichoniambia nilichoka Aisha alikuwa ananitaka Mimi niwe mpenzi wake nilishangaa nikafikiria Aisha au ni mtu mzima mwenyew umbo la mtoto kwanini anaongea Mambo ya kikubwa hivi hizi si kesi za miaka 30 jera sura yangu nitaiweka wapi Mimi...........?

Itaendelea..................

Nb: hii ni story ya kweri....Aisha wakati yupo tanga akulelewa kwenye malezi Bora kwa umri wake ashaona vingi na kingine Aisha alikuwa na mashetani ambaye yalikuwa yanampelekea kufanya haya yote
 
Inaendelea sehemu ya 4

Ikabidi nimkubalie Aisha ili nimtoe chumbani kwangu nilifanikiwa Ila kila akinikuta chumbani npo peke angu lazima aje ata nishikashika Mara anilalie Mara anibusu ni kero tupu maisha ugenini yalikuwa ni magumu taabu tupu kweli leo mimi Mo mp5 mtoto wa miaka 8 ananifanyia hivi inabidi nifanye kitu nisije nikaleta misala ugenini
Nakumbuka siku moja wakati nipo sebuleni nyumba nzima tupo Mimi,Aisha na binti wa kazi wakati binti wa kazi yupo jikoni Mimi na aisha tupo sebuleni Mara anishike mwilini anibusu Mara aongee maneno ya ajabu Kuna muda akawa amenilalia kwa juu tupo kwenye sofa sebuleni kumbe binti wa kazi alikuwa anatuona kila nikijaribu kumtoa ataki nikimfokea macho yanabadirika rangi kiini cheusi Cha jicho Kama kinapotoea hivi sijui ndo mashetani yenyewe....
Nakumbuka Ile siku tulikutwa na binti wa kazi alituangalia tu akamuita Aisha na kutoka nae nje nikabaki najiuliza mtoto ataniletea Majanga kesho namuaga mama mkubwa niondoke nirudi kwetu likizo ilibaki Kama wiki moja na kidogo nikamalizie home
Alikuwa anafanya Aisha sikuwa napenda nikicheki ni mtoto mdogo sijui kavamiwa na pepo gani nilijua ni mtoto mdogo tu labda anadeka au tumezoeana Sana kumbe nilikuwa najidanganya
Maisha yaliendelea Kama kawaida na mpango wangu wa kuondoka nilighairisha ikabidi niendelee kukaa palepale kwa mama mkubwa kishingo upande

Itaendelea.............
 
Mlete aisha mlete aisha
 
Inaendelea sehemu ya 4

Kikao kilianza na chairman wa kikao hiki ni mama mkubwa
Aya Mo mp5 hebu niambie Jana Aisha alikwambiaje ikabidi nianza mwanzo mpaka mwisho kusimulia watu wote kimya wananisikiliza baada ya kumaliza ikafika zamu ya mama Aisha kuelezea na yeye huku analia mpaka Mimi nilijisikia huruma sipendagi kumuona mwanamke akitoa machozi mbele yangu...kwa maelezo ya mama Aisha kuwa sio kweri alitaka kuniwekea sumu kwenye ni uongo awezi kufanya hivyo labda Aisha sababu ni muongeaji ameropoka......
Mama mkubwa alisema ya kwake Kama Kuna tatizo sisi wawili tumalize huku akimshutumu mama Aisha alitaka au ana mpango wa kuniua mimi aache Mara moja baada ya maelezo marefu kikao kiliisha na maisha mengine yakaendele mazoea na Aisha yalikuwa Kama zamani Japo sio Sana...
Siku moja wakati nimetoka kuoga naingia ndani nimevaa bukta tu Niko kifua wazi naingia chumbani namkuta Aisha yupo chumbani kwangu kajilaza kitandani nikashituka Kwanza uku nimeganda mlangani nikamuuliza umefuata Nini akanijibu nimekufuata wewe na ukinifukuza namuita Bibi na mama waone ulichotaka kunifanya hakuna siku niliokuwa mpole Kama siku hiyo kila nikimbembeleza Aisha aondoke chumbani amekaza nikimpa hela anakataa anasema ananitaka Mimi

Aisha ni mtoto wa miaka 8 Ila saiz amekuwa tofauti na kipindi kile 2018 mweupe afu ni kababy face lakini uwezi kuweka feeling zako sababu ni mtoto mdogo Sana vituko vyote alivyokuwa ananifanyia nilimchukulia Kama mtoto
Tuendelee siku hiyo ikabidi nibadirishe nguo na Aisha yupo humohumo chumbani ikabidi nimsikilize anahitaji Nini kwangu alichoniambia nilichoka Aisha alikuwa ananitaka Mimi niwe mpenzi wake nilishangaa nikafikiria Aisha au ni mtu mzima mwenyew umbo la mtoto kwanini anaongea Mambo ya kikubwa hivi hizi si kesi za miaka 30 jera sura yangu nitaiweka wapi Mimi...........?

Itaendelea..................

Nb: hii ni story ya kweri....Aisha wakati yupo tanga akulelewa kwenye malezi Bora kwa umri wake ashaona vingi na kingine Aisha alikuwa na mashetani ambaye yalikuwa yanampelekea kufanya haya yote
Wewe nae kama fala kutukatisha katisha utamu boya wewe. Hebu fanya story iishe haraka tujadili hii mada.

Ila vitoto vya namna hiyo unakategea kamera kwa kificho halafu unakaongelesha kila kitu kawe kanaropoka upuuzi wake. Unaweka mtego hata mara tatu ili uweke ushahidi kabisa maana vinakuwaga vishenzi sana hivi vitoto kikikaa mbele za watu kinajifanya kitoto kisichoweza jielezea kumbe kanajitambua vizuri tu.

Hakuna cha mashetani wala nini hako kamepevuka mapema kabla ya umri wake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom