Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,196
- 3,026
Kwa kweli hatuna makasiriko waelewa tuna subra hata kama tuna arosto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hatuna makasiriko waelewa tuna subra hata kama tuna arosto.
Samson always mtu wa mabalaa,yeye na matatizo damudamu 😂🤣yasipo mfata anayafata.SEHEMU YA SITINI NA MOJA
Nilifika getini nikakutana na kijana wangu ambaye yeye anakaa kwake,ila huwa anafanya kazi ndogo ndogo nyumbani kwangu zikitokea ,lakini ndiye dereva wangu nikiwa tungi.
Vipi dogo kwema!
Mbona umekuja bila hata taarifa ungekuta hamna watu? au ndiyo umemfuata huyu dada?
niliongea kwa sauti ya kilevi.
Hapana bro,mimi siwezi kufanya hivyo kwani ulishasema tuishi kwa kuheshimiana ila nimekuja hapa kwasababu mama alisema hapa mazingira ni machafu kwahiyo nahitaji kuyafanyia usafi.
alijibu yule dogo.
Sikumjibu ,niliingia chumbani lakini sikuona mtu yeyote, yaani sikumuona mke wangu, niliangalia saa ya mshale iliyo karibu na kitanda ilisema saa tano kasorobo.yaani mpaka muda huu huyu hajarudi, kweli?
Yuko wapi sasa?
Nikaona labda saa ya ukutani inadanyanya lakini hata baada ya kuangalia saa ya mkononi ilisema vilevile.
Nikaamua kuangalia na simu na iliniambia vilevile,nilirudi fasta nikaja sebuleni nikatulia tukiwa na yule dogo ambaye alikuwa anafuatilia kipindi kwa TV.
Huyo mama yako alikupigia simu saa ngapi.niliuliza
Alinipigia saa kumi na mbili hii jioni hata hivyo nilikuwa mbali ndiyo maana nimechelewa.
alijibu yule dogo huku akiwa na wasiwasi fulani.
Ok sawa,lakini huyo mama yako mimi simuoni ndani na simu inaniambia ni saa tano kamili .niliongea kwa sauti ya chini.
Umejaribu kupiga simu labda,aliuliza yule dogo.
Nipige simu ?ili iweje?
Yaani mtu nyumbani kwake anapajua halafu nimpigie simu tena.
Naona ameanza mashindano yaani hii nyumba imegeuka Allianz Arena stadium
Sasa anachokitafuta atakipata.....
Kabla sijamalizia dada wa kazi naye alitoka chumbani kwake akija taratibu ,akanisalimia....
Shikamoo shemeji...
Huna haja ya kunisalimia hebu kaa hapo,nauliza huyu mama yenu yuko wapi maana harakati zake sizielewi hata kidogo kwani ina maana tangu asubuhi hajarudi? niliuliza.
Mama alirudi Mida ile uliyotoka wewe ,ila saa kumi na mbili jioni alikuja yule rafiki yake anayeitwa Jane wameelekea wapi hata sijui.
alifafanua Dada wa kazi.
Sasa huyu atanijua mimi nani yaani shughuli zote kashindwa kuzifanya mchana kaamua kufanya usiku huyu anajielewa kweli ,atanidanganya nini,
Jambo gani atanieleza nimuelewe nyie nendeni mkapumzike ili muwahi majukumu yenu kesho mimi nitamsubiri hapa hapa.niliongea kwa mikwara bila hata kufikiria mara mbili ama kweli pombe sio chai.
Kwa uoga wale watoto waliingia kila mtu vyumbani mwao huku mimi nikitoka nje na kugundua kumetulia hata kelele za magari na pikipiki sizisikii tena ikiashiria Mida imeenda .
Nikiwa pale nje nilisikia geti likigongwa nikatoka taratibu nikauliza anayegonga ni nani ,alivyonijibu nikafungua huku nikiwa na hasira na lile jina nililolisikia .
Mtu mmoja aitwaye Jane alishuka kwenye Bajaj huku ile Bajaj ikipark vizuri kwani nilimsikia yule Jane akisema dereva mwenye Bajaj amsubiri.
Samahani shem kwa kuja usiku huu kuna tatizo kidogo limetokea....... kabla sijamalizia sentensi yake
Hivi wewe umefanya umalaya weeee mkaona mumuingize mke wangu kwenye mkumbo wenu si ndiyo?
Sasa leo utanitambua ,mke wangu yuko wapi? Niliuliza huku nikimnasa vibao viwili dereva wa Bajaj kuona vile aliwasha Bajaj yake na kukimbia,
Nauliza hivi mke wangu yupo wapi maana nasikia ulikuja kumbeba mzobemzobe hapa ukaona umuache kwa bwana kisha uje kwangu unipange si ndiyo?
Ni uongo gani utaniambia wewe!
Niliendelea kumtukana matusi yasiyoandikika huku nikimburuza kuwa aje chumbani akareplace nafasi ya wife.
Wakati huo vijana wangu wote walishaamka wakinisihi nimuache yule madam Jane kisha nimsikilize kaja na taarifa gani ili mambo yasiwe mengi lakini niliendelea kumnasa vibao mwanamke yule kila nilipopata nafasi ya kufanya vile.
Shemeji! Shemeji, shemeji
Nimekuita mara tatu ,umefanya kitengo cha kikatili na kisichovumilika,mbaya zaidi hujui nimekuja na taarifa gani ,lakini umenipiga kadri ulivyojisikia ,mume wangu mwenyewe hajawahi kunigusa hata mara moja ,lakini wewe umefanya hivyo tena kwa tuhuma zisizokuwa na ushahidi,sasa nikwambie tu kuwa kama wewe kiburi mimi ni kiburi mara mbili yako na yaliyompata mkeo sina haja ya kukwambia , ukitaka kuniua niue tu.aliongea kwa sauti kubwa huku akiinuka pale chini.
Mumeo ni mpumbavu huwa hakupigi ndiyo maana unafanya kazi ya umalaya kisha unawafundisha wake za watu, kwanza ngoja nikuoneshe.
nilimpiga na kumpiga tena yule mwanamke huku vijana wangu wakinisihi nisitishe ninachokifanya.
Pombe siyo chai kama huwahi ujaribu ni vyema uendelee hivyo hivyo.
Baada ya muda fulani yule mwanamke nikiwa nimemshindilia mateke ya kutosha nilisikia sauti ya Bajaj. nikafungua mlango nikakuta ni ile bajaji ambayo ilimleta Jane Sasa hivi anashuka mke wangu.
Umeniponza dada, dada yangu umeniponza, ona Sasa nimeumizwa vibaya. alikuwa ni Jane akiongeza kilio baada ya kumuona mke wangu ambapo mke wangu alishangaa kuona Jane anagalagala chini, wakakumbatiana huku wote wakilia kwa kupokezana .
Mke wangu alilaumu sana kile kitendo.
Aisee sorry kaka naomba tuongee nisikilize kidogo. alikuwa ni dereva bajaji akinivutia pembeni.
Enhee unasemaje na wewe , kazi yenu ni kufanya connection yaani mnaona Raha sana, unampeleka lodge mke wa mtu huku Ukiwa hujui maumivu yetu wewe unajali unachokiingiza tu si ndiyo?
nilianza kummaindi yule jamaa mtu mzima.
Broo muombe Mungu akupe hekima hata dakika mbili kabla hujahukumu, hebu nisikilize, upo tayari tuongee?
aliuliza kwa uoga
Wewe ongea, nidanganye lakini ukweli nitaujua tu, mmezidi umalaya.
niliongea kwa jazba.
Sisi ni mashuhuda pindi gari ya mkeo ikiwaka moto tena ikiwa pembeni ya barabara huku wanawake wawili yaani mkeo na huyu mwenzake wakiwa hawajui lakufanya ndipo tulipowasaidia kuzima na yeye alikupigia sana simu lakini huku pokea.
Pia eneo ajali hiyo ilipotokea ni porini kidogo hivyo kutokana na eneo lilivyo na wahuni wengi na sisi ni wageni mkeo hakuwa tayari kuacha gari, tangu saa moja mpaka saa tano nakuja na yule mwanamke mwingine mnene ili tukupe taarifa mkeo yupo tu pale na baadhi ya vijana ambao huenda walisubiri mtu aondoke waibe vifaa.alifafanua yule dereva wa bajaj .
Kwahiyo gari Iko wapi ?
Niliuliza kwa pupa.
Tumesaidiana na watu tumeipeleka kwenye gereji fulani kwaajili ya ulinzi ndiyo nikaamua kurudi na mkeo. aliweka kituo yule dereva bajaji huku akiniachia shilingi elfu tatu akidai anarudisha chenji.
Wewe nenda nayo tu usijali, kama Kuna la ziada nitakupigia simu nipe namba zako. Akaanza kunitajia kitendo cha kujisachi ili nichukue namba nikagundua Sina simu , nikaenda chumbani sikuiona, Kila mahali sikuiona nikagundua nimeiacha mtaa wa tatu kwenye pub moja nilipokuwa nagonga vitu.
Na kuhusu simu ya kazini huwa simpi namba yeyote zaidi ya watu wa muhimu tu.nilimwashiria aende kisha taratibu nikaja walipo mke wangu na shoga yake huku nikiwa nimenyeshewa na pombe zikiwa low level.
Jifunze
Elimika
Burudika.
Itaendelea soon..........
SEHEMU YA SITINI NA MOJA

😂🤣🤣Bahati nzuri Dani si mtu wa mademu na hata akitokea basi awe na vigezo nivitakavyo, awe na kazi yake hiki ni kigezo namba moja , pili ni mademu wasomi,hapa hata ukiniambia ni malaya kiasi gani mimi hoi kwake.
Mkipiga stori achanganye na kiswanglish fulani siyo cha huku kwetu Mkuranga, kile cha O'bey, Masaki na kwingineko.
Itoshe kusema mtafute mzee mmoja anaitwa wao ni wao huyo mnaendana tabia na pia mtakuwa na chemistry nzuri mnoSEHEMU YA SITINI NA MOJA

Hichi kijiwe nafika leo ......nkataka nkushtue kumbe ushapita 👏......vijiwe vyote vizuri VYA dizaini hiii naweka odda tushtuane my bestieBadoo hajanistua mkuu ngoja nikipata muda nitulie nisome vizuri!!
wabheja sana rafiki!
"Pombe so sigara,pombe so sigara"SEHEMU YA SITINI NA MOJA

Usijaree Kabesaaa bestie!Hichi kijiwe nafika leo ......nkataka nkushtue kumbe ushapita 👏......vijiwe vyote vizuri VYA dizaini hiii naweka odda tushtuane my bestie
ZA SUKUNilisoma toka juzi,jana na leo katikati watu wanalamika arosto sikujua kama na mm ntakua mmoja wao kwelii dunia duara.
SULUMU.ZA SUKU
Malizia simulizi ili ujue nini kilijiriMkuu rekebisha tabia zako ulevi sio jambo zuriii