Simulizi: Harakati za maisha

Simulizi: Harakati za maisha

SEHEMU YA SITINI

Kama ambavyo hakuna ndoa iliyonyooka kwenye familia nyingi,basi siku hiyo kwangu mambo yalikuwa magumu japokuwa kuna ahueni ilipatikana.

Kama kawaida kama ada,saa tatu asubuhi ilinikuta katika majukumu ya ujenzi wa taifa,nikiwa na amani.
Niliendelea kupanga na kupangua huku kazi zikiwa zimepungua kwa kipindi kile hivyo nikawa Bize na simu nikisaka michongo mbali mbali.

Muda fulani mchana Dada Vero alinipigia simu,akitaka niinde ofisini kwake .

Dah hapa ofisini kuna dharau sana yaani mtu ana shida lakini anataka mimi ndiyo niende, kweli?
Hata kama ni dada yangu , siwezi kuwa mtumwa kila siku.
Nilijiwazia nikikataa kabisa licha ya kuwa kwenye simu nilimkubalia.

Mida ya saa tisa hivi mlango ulisukumwa huku dada Vero akija akiwa na tabasamu fulani la kirafiki.

Niambie Dani naona umeamua kunipuuza ndugu yangu,lakini haya maisha tu.
alilaumu kiutani Vero huku akikaa akiwa ananiangalia sana.

Aiseeh nisamehe tu dada kiukweli nilipitiwa tu yaani nilisahau kabisa kama uliniita lakini nashukuru umekuja ,nipe habari.
nilijichangamsha ili asijisikie vibaya.

Aaaaaah mimi nilitaka uje nikupe tu hongera zako mdogo wangu,maana maisha ni kama ngazi hatimaye umeonekana.
aliweka kituo da Vero.

Mmmh mbona sikuelewi Dada kuna nini,nashindwa kutambua hizi pongezi ni za nini, kwani kuna kazi gani niliyoifanya.
niliongea huku nikimkazia macho dada Vero.

Daniiii ina maana hakuna jambo umeambiwa tangu urudi mkoani?mbona kuna taarifa ya wewe kusafiri,
mmmmmh na kama hujajua basi nitakuwa mmbea,maana hizi taarifa nimezipata tangu juzi na ndiyo maana hata jana nikakutoa lunch!

Na kuna muda tulikuona ukiwa mnyonge sana tukajua labda ni taarifa ulizopata?
aliweka kituo kwa mtindo wa swali .

Sasa dada kama ningekuwa nimepata taarifa nzuri kwanini niwe mnyonge tena? Niliuliza.

Dani usijifanye hujui ziko safari huwa ni za kuzifurahia moja kwa moja, lakini zingine huwa mtu lazima uwe na mawazo kwasababu unaweza kuchemka na kukuta uaminifu unapungua,hali inayopelekea kushushwa au kuachishwa kazi ,sasa na sisi hali yako ya jana tukajua labda unawaza ulichoambiwa.
aliweka kituo.

Kwanza nashukuru kwa taarifa dada,japo sijui ni safari gani ?inahusu nini? Itakuwa ya muda gani?
Yaani ni kwamba sijui chochote.
ila nashukuru kwa kuniandaa ili nitege sikio maboss wataniambia nini.niliweka kituo.

Umbea huu utaniumbua siku moja mtu mzima mimi, haya Dani usisahau kuniambia kitakachojiri.
aliongea da Vero huku akiinuka na kutoka huku ile taarifa ikionekana kumsuta hata uso wake ulionesha aibu fulani.

Vero ni moja ya watu niliowakuta pale huku akiwa ni moja ya watu muhimu ofisini japo kielimu alikuwa chini tena chini mno.

Lakini alibebwa na bahati,
Na hapa ndipo nilijifunza kuwa kwenye maisha si jitihada tu za kawaida,ila na bahati pia.

Serikali ya nne ikiwa madarakani ndicho kipindi ambacho Vero alishine sana,aliweza kusafiri huku na huko huku ofisini akikaa mara chache sana.

Pia ndiye aliyenipokea kipindi hicho mimi natokea kampuni binafsi naingia taasisi ya kiserikali akiwa ni mmoja ya viongozi waandamizi,japo ni mazingira gani yalifanyika awe pale mimi sikujua.

Lakini ndiye mtu ambaye hujua taarifa mapema kuliko yeyote,mtu akitaka kupanda cheo,
Vero huwa wa kwanza kujua hata wale waliopugwa awamu ya tano, Vero alitudokeza,tukabisha weeee lakini tukamwamini baada mambo yale kutokea.

Hivyo taarifa niliyopata kwakuwa ilitoka kwake sikuwa na wasiwasi nayo nilijua kutakuwa na ukweli hata kwa asilimia sabini.

Moyo wangu ulidunda dunda huku nikiona mchongo fulani mbele,lakini kitendo cha kuwa sijui ni mchongo gani kiliniweka njiapanda sana,lakini akili ikaniambia mpaka da Vero ananipa hongera na kunialika chakula cha mchana jana,huenda ni mchongo wa heri, Mungu saidia iwe ni kweli nimechoka kutumwatumwa nahitaji kuwa na mradi wangu mkubwa kama ilivyo kwa wenzangu.
nilijisemea .

Naam,muda wa kutoka ulifika huku nikipanga kujipongeza maana jana presha ilikuwa juu kwa kutopokelewa simu na mke wangu,lakini mambo yako shwari lakini pia taarifa ya kishakunaku niliyoipata kwa da Vero huenda kukawa na mambo mazuri ,nikaona ni wakati wa kupitia maeneo fulani ili akili ikae sawa.

Nilifika home nikabadili nguo na kuingia mtaa wa tatu far away na home ,sikushtuka kutomuona mke wangu nilijua yupo kwenye mihangaiko yake

Kama kawaida yangu huwa naenda zile sehemu local ambazo ukiwa na laki tu basi unaweza fanya fujo kibao na mambo kibao,ujiko mwingi na sifa kibao unapata.

Ukiwa huna hela usipende kwenda sehemu zenye watu wengi wenye pesa utajikuta unakuwa mnyonge,hali ile huchochea mashindano na kujikuta unatumia hata m1 ili tu usionekane upo nyuma,kumbe unaiga ku***a kwa Tembo,wenzio wana madili wakiamka wanampunga wa kutosha wewe unasubiri mwisho wa mwezi.

kingine hata manzi huwa zinatangaza dau kulingana na mazingira,yaani manzi ambaye kwenye baa za vichochoroni anapigwa kwa buku kumi usiku mzima,wewe atakuambia short time elfu hamsini na kuendelea,bado hamjapatana kulala ili akutajie bei ya mshahara wa mtu.

Bahati nzuri Dani si mtu wa mademu na hata akitokea basi awe na vigezo nivitakavyo, awe na kazi yake hiki ni kigezo namba moja , pili ni mademu wasomi,hapa hata ukiniambia ni malaya kiasi gani mimi hoi kwake.

Mkipiga stori achanganye na kiswanglish fulani siyo cha huku kwetu Mkuranga, kile cha O'bey, Masaki na kwingineko.

Tuachane nayo sasa endelea.......

Nilikaa pale huku nikipata ulabu huku tukipiga stori na wadau waliokuwa wanalalamika vyuma vimekaza sana.
Kama kawaida sikuwa mchoyo nikasambaza upendo huku wana wakiniona wa maana , baada ya kuona nimeanza kuongea broken English nikaona ni muda wa kuondoka nirudi nyumbani huku nikiwa overload vibaya.

Jifunze,
Elimika,
Burudika.

Loading..................
 
SEHEMU YA SITINI NA MOJA

Nilifika getini nikakutana na kijana wangu ambaye yeye anakaa kwake,ila huwa anafanya kazi ndogo ndogo nyumbani kwangu zikitokea ,lakini ndiye dereva wangu nikiwa tungi.

Vipi dogo kwema!
Mbona umekuja bila hata taarifa ungekuta hamna watu? au ndiyo umemfuata huyu dada?
niliongea kwa sauti ya kilevi.

Hapana bro,mimi siwezi kufanya hivyo kwani ulishasema tuishi kwa kuheshimiana ila nimekuja hapa kwasababu mama alisema hapa mazingira ni machafu kwahiyo nahitaji kuyafanyia usafi.
alijibu yule dogo.

Sikumjibu ,niliingia chumbani lakini sikuona mtu yeyote, yaani sikumuona mke wangu, niliangalia saa ya mshale iliyo karibu na kitanda ilisema saa tano kasorobo.yaani mpaka muda huu huyu hajarudi, kweli?
Yuko wapi sasa?
Nikaona labda saa ya ukutani inadanyanya lakini hata baada ya kuangalia saa ya mkononi ilisema vilevile.

Nikaamua kuangalia na simu na iliniambia vilevile,nilirudi fasta nikaja sebuleni nikatulia tukiwa na yule dogo ambaye alikuwa anafuatilia kipindi kwa TV.

Huyo mama yako alikupigia simu saa ngapi.niliuliza

Alinipigia saa kumi na mbili hii jioni hata hivyo nilikuwa mbali ndiyo maana nimechelewa.
alijibu yule dogo huku akiwa na wasiwasi fulani.

Ok sawa,lakini huyo mama yako mimi simuoni ndani na simu inaniambia ni saa tano kamili .niliongea kwa sauti ya chini.

Umejaribu kupiga simu labda,aliuliza yule dogo.

Nipige simu ?ili iweje?
Yaani mtu nyumbani kwake anapajua halafu nimpigie simu tena.
Naona ameanza mashindano yaani hii nyumba imegeuka Allianz Arena stadium
Sasa anachokitafuta atakipata.....

Kabla sijamalizia dada wa kazi naye alitoka chumbani kwake akija taratibu ,akanisalimia....

Shikamoo shemeji...

Huna haja ya kunisalimia hebu kaa hapo,nauliza huyu mama yenu yuko wapi maana harakati zake sizielewi hata kidogo kwani ina maana tangu asubuhi hajarudi? niliuliza.

Mama alirudi Mida ile uliyotoka wewe ,ila saa kumi na mbili jioni alikuja yule rafiki yake anayeitwa Jane wameelekea wapi hata sijui.
alifafanua Dada wa kazi.

Sasa huyu atanijua mimi nani yaani shughuli zote kashindwa kuzifanya mchana kaamua kufanya usiku huyu anajielewa kweli ,atanidanganya nini,
Jambo gani atanieleza nimuelewe nyie nendeni mkapumzike ili muwahi majukumu yenu kesho mimi nitamsubiri hapa hapa.niliongea kwa mikwara bila hata kufikiria mara mbili ama kweli pombe sio chai.

Kwa uoga wale watoto waliingia kila mtu vyumbani mwao huku mimi nikitoka nje na kugundua kumetulia hata kelele za magari na pikipiki sizisikii tena ikiashiria Mida imeenda .

Nikiwa pale nje nilisikia geti likigongwa nikatoka taratibu nikauliza anayegonga ni nani ,alivyonijibu nikafungua huku nikiwa na hasira na lile jina nililolisikia .

Mtu mmoja aitwaye Jane alishuka kwenye Bajaj huku ile Bajaj ikipark vizuri kwani nilimsikia yule Jane akisema dereva mwenye Bajaj amsubiri.

Samahani shem kwa kuja usiku huu kuna tatizo kidogo limetokea....... kabla sijamalizia sentensi yake

Hivi wewe umefanya umalaya weeee mkaona mumuingize mke wangu kwenye mkumbo wenu si ndiyo?
Sasa leo utanitambua ,mke wangu yuko wapi? Niliuliza huku nikimnasa vibao viwili dereva wa Bajaj kuona vile aliwasha Bajaj yake na kukimbia,

Nauliza hivi mke wangu yupo wapi maana nasikia ulikuja kumbeba mzobemzobe hapa ukaona umuache kwa bwana kisha uje kwangu unipange si ndiyo?
Ni uongo gani utaniambia wewe!
Niliendelea kumtukana matusi yasiyoandikika huku nikimburuza kuwa aje chumbani akareplace nafasi ya wife.

Wakati huo vijana wangu wote walishaamka wakinisihi nimuache yule madam Jane kisha nimsikilize kaja na taarifa gani ili mambo yasiwe mengi lakini niliendelea kumnasa vibao mwanamke yule kila nilipopata nafasi ya kufanya vile.

Shemeji! Shemeji, shemeji
Nimekuita mara tatu ,umefanya kitengo cha kikatili na kisichovumilika,mbaya zaidi hujui nimekuja na taarifa gani ,lakini umenipiga kadri ulivyojisikia ,mume wangu mwenyewe hajawahi kunigusa hata mara moja ,lakini wewe umefanya hivyo tena kwa tuhuma zisizokuwa na ushahidi,sasa nikwambie tu kuwa kama wewe kiburi mimi ni kiburi mara mbili yako na yaliyompata mkeo sina haja ya kukwambia , ukitaka kuniua niue tu.aliongea kwa sauti kubwa huku akiinuka pale chini.

Mumeo ni mpumbavu huwa hakupigi ndiyo maana unafanya kazi ya umalaya kisha unawafundisha wake za watu, kwanza ngoja nikuoneshe.
nilimpiga na kumpiga tena yule mwanamke huku vijana wangu wakinisihi nisitishe ninachokifanya.
Pombe siyo chai kama huwahi ujaribu ni vyema uendelee hivyo hivyo.

Baada ya muda fulani yule mwanamke nikiwa nimemshindilia mateke ya kutosha nilisikia sauti ya Bajaj. nikafungua mlango nikakuta ni ile bajaji ambayo ilimleta Jane Sasa hivi anashuka mke wangu.

Umeniponza dada, dada yangu umeniponza, ona Sasa nimeumizwa vibaya. alikuwa ni Jane akiongeza kilio baada ya kumuona mke wangu ambapo mke wangu alishangaa kuona Jane anagalagala chini, wakakumbatiana huku wote wakilia kwa kupokezana .
Mke wangu alilaumu sana kile kitendo.

Aisee sorry kaka naomba tuongee nisikilize kidogo. alikuwa ni dereva bajaji akinivutia pembeni.

Enhee unasemaje na wewe , kazi yenu ni kufanya connection yaani mnaona Raha sana, unampeleka lodge mke wa mtu huku Ukiwa hujui maumivu yetu wewe unajali unachokiingiza tu si ndiyo?
nilianza kummaindi yule jamaa mtu mzima.

Broo muombe Mungu akupe hekima hata dakika mbili kabla hujahukumu, hebu nisikilize, upo tayari tuongee?
aliuliza kwa uoga

Wewe ongea, nidanganye lakini ukweli nitaujua tu, mmezidi umalaya.
niliongea kwa jazba.

Sisi ni mashuhuda pindi gari ya mkeo ikiwaka moto tena ikiwa pembeni ya barabara huku wanawake wawili yaani mkeo na huyu mwenzake wakiwa hawajui lakufanya ndipo tulipowasaidia kuzima na yeye alikupigia sana simu lakini huku pokea.

Pia eneo ajali hiyo ilipotokea ni porini kidogo hivyo kutokana na eneo lilivyo na wahuni wengi na sisi ni wageni mkeo hakuwa tayari kuacha gari, tangu saa moja mpaka saa tano nakuja na yule mwanamke mwingine mnene ili tukupe taarifa mkeo yupo tu pale na baadhi ya vijana ambao huenda walisubiri mtu aondoke waibe vifaa.alifafanua yule dereva wa bajaj .

Kwahiyo gari Iko wapi ?
Niliuliza kwa pupa.

Tumesaidiana na watu tumeipeleka kwenye gereji fulani kwaajili ya ulinzi ndiyo nikaamua kurudi na mkeo. aliweka kituo yule dereva bajaji huku akiniachia shilingi elfu tatu akidai anarudisha chenji.

Wewe nenda nayo tu usijali, kama Kuna la ziada nitakupigia simu nipe namba zako. Akaanza kunitajia kitendo cha kujisachi ili nichukue namba nikagundua Sina simu , nikaenda chumbani sikuiona, Kila mahali sikuiona nikagundua nimeiacha mtaa wa tatu kwenye pub moja nilipokuwa nagonga vitu.

Na kuhusu simu ya kazini huwa simpi namba yeyote zaidi ya watu wa muhimu tu.nilimwashiria aende kisha taratibu nikaja walipo mke wangu na shoga yake huku nikiwa nimenyeshewa na pombe zikiwa low level.

Jifunze
Elimika
Burudika.

Itaendelea soon..........
 
Uyo jane kazubaa sana ningeinua kistuli nikupe ya chembe utapike miguu ya kuku na mataptap ulokunywa yani nimepata hasira sana
 
Samson always mtu wa mabalaa,yeye na matatizo damudamu 😂🤣yasipo mfata anayafata.
 
😂🤣🤣
 
Itoshe kusema mtafute mzee mmoja anaitwa wao ni wao huyo mnaendana tabia na pia mtakuwa na chemistry nzuri mno

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Badoo hajanistua mkuu ngoja nikipata muda nitulie nisome vizuri!!

wabheja sana rafiki!
Hichi kijiwe nafika leo ......nkataka nkushtue kumbe ushapita 👏......vijiwe vyote vizuri VYA dizaini hiii naweka odda tushtuane my bestie
 
"Pombe so sigara,pombe so sigara"

Kama kuna kitu chakuwa nacho makini ni pombe aseee ni hatari .....shusha madude mkuu
 
[emoji38][emoji38][emoji38] nimependa huo mstari wa pombe siyo chai
 
Nilisoma toka juzi,jana na leo katikati watu wanalamika arosto sikujua kama na mm ntakua mmoja wao kwelii dunia duara.
 
Back
Top Bottom