hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Hiyo shida ya kila mtu sasa hata mm pia naona nyuzi nilizo subscribe mwezi wa 8 za hivi kalibuni sioniHuu uzi nimesubscribe kabisa ila notifications sipati, shida nini!?
Anapenda pombe bwana Samson madem ziada tu 😂
Nasubr mwendelezo mzee wanguSEHEMU YA SITINI NA SABA
Nikiwa nimeshaikubali hali halisi juu ya maisha mapya ndani ya selo kwa muda ule , mlango ulifunguliwa ,
Huku nikiitwa hey weee mbabe njoo huku , unajifanya mbabe kwa kupiga wanawake?
Kwanini usipigane na wanaume wenzio? fala kweli wewe hebu nifuate.
Nilimfuata yule afande huku nikishangaa kumkuta boss wangu wa kazini ,moyo ulipiga paah, hakika nilikuwa na shida na dhamana lakini yule hakuwa mtu sahihi wa kuniwekea dhamana, kwanza sikupenda ajue mambo yangu ila sikuwa na jinsi, dah .
Pole sana Daniel mdogo wangu lakini usiwe na wasiwasi Kila kitu tumeshakamilisha bado taratibu kadhaa tunasepa.
aliongea kwa sauti ya chini boss wangu.
Baada ya muda askari aliyekuwa akijibizana na rediocall muda mwingi akaja Kisha dhamana ikapitishwa huku askari akijaza maelezo sehemu fulani kwenye vitabu vyao.
Kisha tukatoka na boss wangu nikiwa mnyonge sana tukielekea lililokuwa nje kabisa ya uzio wa ile central,
Ndani ya gari kulikuwa na dereva wa boss pamoja na mke wa boss.
Tukakaa siti za nyuma Mimi na boss huku mke wa boss na yule dereva wakinipa pole na kusikitika.
Jamani Daniel mbona sura yako haifanani na ninayoyasikia, tena ni mpole jamani, Sasa ilikuwaje?
aliuliza mke wa boss.
Nilimsimulia kisa chote huku nikiamua kuweka wazi na kuficha baadhi ya mambo.
Dah ila siku nyingine jitahidi kubalance hasira zako ili tu kulinda heshima na kujitengenezea maisha mazuri sawa shemeji yangu!!
aliweka kituo mke wa boss.
Unajua mke wangu huyu ndiye Daniel niliyekusimulia kipindi kile, ni mmoja wa watu makini na timamu sana kazini kwetu, yaani tunajivunia ila ana tatizo moja tu, ni mlevi na pombe haziwezi , mbona watu wengi wanakunywa na mambo yao yanaenda vizuri kabisa pasi na shaka ! jitahidi kujizuia na kupunguza hiyo pombe kama kuacha kabisa huwezi.alishauri boss.
Samahani boss kwa taarifa zangu umepata kwa nani? Niliuliza.
Yule bwana (jina kapuni)ambaye ndiye aliyekushitaki ni mmoja wa watu wangu wa karibu , na alinipigia simu kuniomba msaada ili tukutie matatani zaidi , ila baada ya kunitajia jina lako ndipo nikashtuka na kuamua kuja nikuwekee dhamana.
Na tumeshakubaliana kuwa aachane na mambo ya polisi kwasababu kwanza mkewe hakuumia kama wanavyokuza na pia nimeamua kuwakutanisha wote majira ya saa kumi kesho kwenye hoteli ya (akitaja jina)
Hivyo nakuomba kesho uje kazini na kumbe ulikuwa na kesi badala ya kuniambia ukweli wewe ukaona usingizie mambo mengine hivi kwa mfano ungekaa selo wiki nzima na Mimi nilikupa ruhusa ya siku tatu tu, unadhani ingekuwaje?
acha hizo Daniel. alilaumu boss huku nikikosa cha kumjibu.
Baada ya hapo nilishukia maeneo fulani mbele kidogo huku wao wakielekea maeneo ya kwake uzunguni na Mimi nikitafuta usafiri binafsi unifikishe hadi nyumbani nje kidogo ya jiji.
Nikiwa kwenye usafiri ule taxi.
Nilimpigia wife simu ili nimtoe wasiwasi lakini akaniambia ana baadhi ya watu wetu wa karibu walikuwa wanapanga namna ya kunipa dhamana ifikapo asubuhi, huku akishukuru kama nipo huru.
Baada ya kufika nyumbani nilimkuta mke wangu na baadhi ya jamaa zangu wakiningoja huku wakinipa pole kwa yaliyotokea, na kikubwa wote walifurahi kuona nipo huru huku nikiwa sijawaambia aliyenipa dhamana.
Baada ya stori mbili tatu, wageni waliondoka na huku Kila mmoja akiniasa kunywa kwa kipimo baada ya kuonesha matatizo yangu yalisababishwa na pombe , hakika lilikuwa jambo la aibu kwangu.
Nashukuru Yesu ametenda, kila aaminiye ataokolewa kwa jina la Yesu jina lililoshinda majina yote basi shetani hatapata nafasi, hakika nakushukuru Mungu wa mbinguni , kwa yote . Najua Kila lililofanyika si kwa uwezo wetu bali ni kwa uwezo wako baba. Amina.
Yalikuwa ni maneno ya mke wangu akiyatamka tukiwa pale nje, nilikaa kimya nikimsikiliza . Baada ya kumaliza tuliingia ndani huku nikishangaa kumuona kijana wetu nikajikuta naropoka,
Wewe ulikuwa wapi?
Niliuliza huku nikimtazama usoni.
Nilikuwa nyumbani.
alijibu kwa kifupi.
Kisha nikamuangalia mke wangu nikiwa sielewi nini kinaendelea.
Hebu simulia kama ulivyoniambia Mimi Sasa ukisema ulikuwa nyumbani wakati watu hapa vichwa vilipata moto kaka yako hatokuelewa. Fafanua .
Mke wangu alimtaka kijana anyooshe maelezo .
Wakati nikiwa naenda kufunga geti Kuna mama aliniita nimsaidie kumtwisha mzigo wake.
Ambao nadhani ilikuwa ni nafaka mahindi au mchele, lakini cha ajabu Kuna watu walikuja na kunichukua kinguvu na kuondoka na Mimi ila baada ya kufika kwenye lami waliniuliza mwenye nyumba yuko wapi (mimi).nikawaambia sijui.
Wakaniuliza nakuitaje kiuhusiano wa kindugu, nikawaambia Mimi wewe ni boss wangu na Mimi huwa nafanya kazi kwa makubaliano maalumu.
Ndipo waliponiachia na kusema nirudi nyumbani huku wakisema watakutafuta na wasipokupata nyumba wataipiga moto ili wakukomeshe.
Sasa Mimi kwa uoga niliamua kurudi nyumbani huku nikiwa na wasiwasi mkubwa juu ya kuonekana nyumba itachomwa moto nikawa nakupigia simu kutoka kwa watu mbalimbali nikiazima simu lakini hukupokea na baada ya muda hukuwa ukipatikana na kuhusu simu ya mama sikuwa na namba yake kwani sijaikariri kichwani
Na simu Mimi niliiicha hapa.
Kijana alieleza huku mpango wa kuonesha wale washamba walitaka kuchoma nyumba yangu ukinishtua na kuamsha hasira upya ila nilijikaza kiume.
Dah pole sana mwanangu , na karibu tena usiwe na wasiwasi Kila kitu kitakaa poa.
Niliongea huku nikiingia ndani chumbani na kwenda bafuni kuondoa jasho baya la lock up.
Nilichelewa kupata usingizi huku suala la boss kuniwekea dhamana likinitesa yaani sikupenda kabisa.
Lakini nikaona ni vema nikakubali hali na kama yule mume wa Jane ni rafiki wa boss wangu basi nitaeleza Kila kitu kuhusu mpango wao haramu wa kutaka kuchoma nyumba yangu huku nikipanga kwenda polisi ili nikaripoti sikutaka kufumbia macho suala lile.
Nilichelewa kupata usingizi niliwaza mambo mengi , najua si pombe zilisababisha nimpigie Jane Bali ni dhamira yangu kwani yule shangingi sijawahi kumkubali hata kidogo nilimuona kama ni mwenye kupoteza wake za watu tu. Usingizi ulinipitia saa ngapi sikujua ila niliamshwa na simu huku nikishangaa saa kumi na moja hii alfajiri nani Tena huyu?
alikuwa ni Scorpion ni jamaa fulani tulionana mkoani ambako niliwahi kwenda kurekebisha vifaa.
Kaka habari za muda huu vipi kwenda? alisalimia
Ni nzuri vipi bro, mbona simu alfajiri kwema?
Niliuliza
Ni kwema usiwe na shaka nakutaarifu kuwa naomba tuonane airport majira ya saa moja asubuhi hii, kubali kuchelewa kazini lakini tuonane , hii ni Kwa faida yako siyo Mimi! alijibu kwa msisitizo
Dah sawa kaka kwahiyo hiyo ishu hatuwezi kuongea hata kwenye simu? Niliuliza.
{Huku akicheka}
Nimetoka Mkoa usiku kwa usiku najua saa moja nitakuwa airport Sasa wewe unaona usingizi ni Mali unataka tuongee kwenye simu , hivi unajitambua kweli?
acha hizo kaka wewe njoo.
aliongea huku akikata simu na Mimi sikuwa na pingamizi nikaamka na kuanza kujiandaa.
Jifunze,
Elimika,
Burudika.
Itaendelea....................
Samson usikae sana hii Sasa Arosto scorpion 🦂 namkumbuka hapa na arosto nijue atakuambia nini.SEHEMU YA SITINI NA SABA

Akirudi niite pleaseJe ulifanikiwa kukutana na jamaa Airport tujuze ndugu basi na ww
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Boss njoooSEHEMU YA SITINI NA SABA

Nadhani kesho sitakuwa busy sana ,kila kitu kitakaa sawa,kaa mkao wa kula