Simulizi: Harakati za maisha

Simulizi: Harakati za maisha

SEHEMU YA SITINI NA SITA

Baada ya vurugu za hapa na pale wakiwa wanalumbana wenyewe kwa wenyewe, hatimaye mke wangu alifanikiwa kuwatuliza hasa ukizingatia Mimi nilishapanic kutokana na mawazo kibao kichwani mwangu.

Kwanza niliwaza namna walivyonipa mtihani wa kuhama nyumbani kwangu kwa kuwaogopa wao huku nikiona wazi namna ninavyohatarisha kibarua changu.
Lakini pia hata hadhi na heshima yangu kuanzia mtaani ninapokaa hadi kazini, ikiwa waajiri wangu wangesikia mambo yangu ni wazi Imani yao kwangu ingepungua kama siyo kupotea kabisa .

Hivyo kifupi sikuwa kwenye wakati mzuri sana nilikuwa na hasira , hata mke wangu alitambua hali yangu ikawa Kila tunapokutanisha macho yetu ananikonyeza, ikiwa ni sehemu ya kuweka msisitizo kuwa nitulie ili kutatua linalotukabili.

Bwana Daniel nadhani ni muda muafaka wa wewe kuweka wazi ,
ama una mawazo gani juu ya mke wangu, nisikifiche ameumia yule kwakuwa nasikia ulilewa inawezekana usikumbuke vizuri ni aina gani ya kipigo ulitoa.
Swali , je ni msimamo gani unao hadi muda huu . aliweka kituo mume wa Jane.

Nikiwa nimetuliza hasira, nilitulia kidogo huku akili ikiniambia , ni vyema niwaambie nitagharamia matibabu yote yanayomuhusu Jane lakini pia nitakuwa tayari kupigwa faini kwa niliyomfanyia Jane ikiwa gharama au kiasi kingekuwa ndani ya uwezo wangu.nilijiwazia

Ile nataka kuinua midomo nizungumze jambo geti liligongwa huku sauti ikionesha kuamrisha.

Tunakufahamu unaitwa (akitaja jina langu kamili)
Fungua geti kwa hiyari kabla hatujafungua kwa kutumia nguvu.
sauti iliongea kwa kuamrisha.

Niliinuka huku nikiwatazama wale wageni nikagundua Kila mmoja anatabasamu huku mumewe Jane akibadilika ghafla yaani aliweka sura ngumu huku akinikata jicho baya.
Wakati huo mke wangu alikuwa ananivuta ili tukafungue geti.

Kupitia uwazi mdogo wa pale getini niliona maaskari sita kutoka jeshi letu la ulinzi wa raia na Mali zake, vijana wakiwa kwenye uniform safi na ni wakakamavu, hapo ile hali ya kujiamini iliondoka huku nikikaribia kutafuta huruma kwa mke wangu kipenzi ambaye uso wake haukuwa na raha kabisa.

Nilifungua geti huku nikiwekwa chini ya ulinzi,

Hebu Kaa chini inua mkono juu, ingia kwenye kwenye gari. Sauti ya kamanda mwenye cheo Cha juu iliamrisha.

Sikuwa na haja ya kuwauliza maaskari juu ya ujio wao kwani nilijua
Tatizo langu Mimi na Jane ndiyo mzizi wenyewe, huku nikivutwavutwa nilipanda juu ya gari la wazi la polisi huku tukielekea nisipopajua, licha ya kujaribu kuinua shingo angalau nimuone mke wangu lakini nikaambiwa nitazame mbele tu, na ikiwa nitakaidi basi nitapata ninachostahili.

Daniel, Daniel, Daniel kwanza Mimi nakufahamu vyema sana na ni mmoja wa vijana wenye dharau sana, ila kwa hili ulilofanya hakika utajutia, hivi hii serikali ya awamu hii ipo kwaajili ya kutetea wanyonge, ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakinyanyasika na kufanyiwa ukatili na nyie ambao mnajifanya mna hela kumbe ni wababaishaji wa hapa mjini.aliongea yule afande mwenye cheo kikubwa kuliko wenzake ndani ya gari lile.

Hivi huyu si ndiye ambaye alinunua gari kwenye mnada fulani pickup ambalo lilikuwa lako afande.
aliuliza afande fulani mwanamke mtu mzima, wakiulizana wao kwa wao.

Afande hayo yaache tu, huyu mwenyewe ana mambo mengi sana ambayo kayafanya, siyo pickup yangu tu, huyu alinunua majenereta fulani pale bandarini , eti kisa tu yametangazwa kuuzwa tena ana tabia ya kutangaza dau la juu ili tu achukue vitu kwa dhulma ,anajifanya
ana hela kumbe mpuuzi tu hapa mjini Sasa utakutana na wanaume wenzio baba. aliweka kituo yule afande huku tukiwa tumeshafika kituo cha Kati.

Ile nashuka tu nilishangaa kuona magari niliyoyaacha nyumbani nayo yakiingia kwenye uzio wa pale kituoni.

Niliingia ndani ya ile central huku nikipokelewa na maneno yote ya hapa Duniani, kashfa ,matusi , kejeli na hata harufu ya visasi viliongelewa huku nikiwa mtulivu sana, sikutaka kuongea wala kujibu chochote, nilijua yale maneno ni mtego lengo nijibu ili nitafutiwe kesi nyingine, tuhuma nyingi zilizungumzwa huku zikiwa hazina ukweli, huku nikituhumiwa hadi kutembea na wake za watu jambo ambalo, mwenyezi MUNGU ni shahidi hiyo Spirit ya mademu sinaga kabisa.

Ni rahisi kuspend pesa na mademu lakini ni vigumu kwenda kulala nao, japo kuwa nikivutiwa sana huwa silazi damu.

Hatimaye mume wa Jane aliingia akiwa na dada fulani mweusi ambaye niliambiwa ni mdogo wake Jane akiwa anafanya kazi kwenye kitengo fulani nyeti na hata baadhi ya maaskari walimchangamkia kwa heshima fulani, nikagundua huenda ni mtu mkubwa, na moyo uliumia sana nikijua huenda mambo yakawa mazito zaidi watu wale hawakuwa wepesi kama nilivyodhani.

Sasa afande nadhani mtuhumiwa wetu ndiyo huyu na sisi tutakuja kesho kwa leo ngoja tukapumzike , hapa tunapita hospital tukaone maendeleo ya mgonjwa kwanza.
aliongea yule mume wa Jane Kisha akaondoka fasta huku baadhi ya maafande wakishangaa.

Oyaa wewe brazamen njoo huku kwanza , njoo basi , halafu hujui tu hii ni sehemu ya usalama kwako zaidi hivi unadhani kwa kosa ulilofanya mngeamua kuanza kuwindana kimyakimya nini kingetokea?
Sisi tupo hapa na tunalipwa kupitia nyinyi , yaani wewe ni mteja wetu na utapata huduma vizuri tu kama unazopewa ukienda super market.
aliongea kwa kejeli afande fulani mrefu na mbavu nene.

Nilikutana na mahabusu wengi waliochoka, waliochangamka na waliokata tamaa pia.

Wapo waliokuwa wakiongea kimya kimya wapo ambao walikuwa wamejilaza, na wapo waliokuwa wanafanya mazoezi , push-up, pull-up n.k.nilisalimia huku wengine wakicheka, wengine wakiitikia, lakini Cha ajabu wahuni walinikaribisha

Oy , mkuu karibu sana ndani ya hili kasri, hapa Kila kitu ni bure, ila huchagui kinachokuja ndicho utakula, na ni marufuku kujiamulia mambo humu hapa Kuna Sheria zake na utazifuata.
Kwanza hebu njoo kwanza tukukague vizuri huna viwembe?
waliongea kibabe vijana wadogo wahuni uchwara.

Aisee wadogo zangu eeh,
Muwe na heshima Mimi humu siyo mara ya kwanza kuingia humu ni nyumbani kwangu , nishaingia majengo mengi ya serikali,
Hospital, benki na sehemu nyingi kibao na humu Mimi siyo mgeni humu naomba mniache nifikirie kwanza mambo yangu na kama Kuna mtu anataka kuleta noma na aanzishe . niliongea kwa kujiamini.

Nilitulia huku nikijilaumu kwanini nilirudi wakati nilishaamua kukimbia kwa muda? Lakini nikakumbuka kijana wa watu kapotea na hatujui alipo, na hata walioniweka selo ndiyo tunaowashuku lakini hatuna ushahidi nao bado hakika niliumia sana huku giza likiingia kuashiria siku inaisha.

Jifunze,
Elimika,
Burudika.

Loading.....................
 
SEHEMU YA SITINI NA SABA

Nikiwa nimeshaikubali hali halisi juu ya maisha mapya ndani ya selo kwa muda ule , mlango ulifunguliwa ,
Huku nikiitwa hey weee mbabe njoo huku , unajifanya mbabe kwa kupiga wanawake?
Kwanini usipigane na wanaume wenzio? fala kweli wewe hebu nifuate.
Nilimfuata yule afande huku nikishangaa kumkuta boss wangu wa kazini ,moyo ulipiga paah, hakika nilikuwa na shida na dhamana lakini yule hakuwa mtu sahihi wa kuniwekea dhamana, kwanza sikupenda ajue mambo yangu ila sikuwa na jinsi, dah .

Pole sana Daniel mdogo wangu lakini usiwe na wasiwasi Kila kitu tumeshakamilisha bado taratibu kadhaa tunasepa.
aliongea kwa sauti ya chini boss wangu.

Baada ya muda askari aliyekuwa akijibizana na rediocall muda mwingi akaja Kisha dhamana ikapitishwa huku askari akijaza maelezo sehemu fulani kwenye vitabu vyao.

Kisha tukatoka na boss wangu nikiwa mnyonge sana tukielekea lililokuwa nje kabisa ya uzio wa ile central,
Ndani ya gari kulikuwa na dereva wa boss pamoja na mke wa boss.

Tukakaa siti za nyuma Mimi na boss huku mke wa boss na yule dereva wakinipa pole na kusikitika.

Jamani Daniel mbona sura yako haifanani na ninayoyasikia, tena ni mpole jamani, Sasa ilikuwaje?
aliuliza mke wa boss.

Nilimsimulia kisa chote huku nikiamua kuweka wazi na kuficha baadhi ya mambo.

Dah ila siku nyingine jitahidi kubalance hasira zako ili tu kulinda heshima na kujitengenezea maisha mazuri sawa shemeji yangu!!
aliweka kituo mke wa boss.

Unajua mke wangu huyu ndiye Daniel niliyekusimulia kipindi kile, ni mmoja wa watu makini na timamu sana kazini kwetu, yaani tunajivunia ila ana tatizo moja tu, ni mlevi na pombe haziwezi , mbona watu wengi wanakunywa na mambo yao yanaenda vizuri kabisa pasi na shaka ! jitahidi kujizuia na kupunguza hiyo pombe kama kuacha kabisa huwezi.alishauri boss.

Samahani boss kwa taarifa zangu umepata kwa nani? Niliuliza.

Yule bwana (jina kapuni)ambaye ndiye aliyekushitaki ni mmoja wa watu wangu wa karibu , na alinipigia simu kuniomba msaada ili tukutie matatani zaidi , ila baada ya kunitajia jina lako ndipo nikashtuka na kuamua kuja nikuwekee dhamana.
Na tumeshakubaliana kuwa aachane na mambo ya polisi kwasababu kwanza mkewe hakuumia kama wanavyokuza na pia nimeamua kuwakutanisha wote majira ya saa kumi kesho kwenye hoteli ya (akitaja jina)
Hivyo nakuomba kesho uje kazini na kumbe ulikuwa na kesi badala ya kuniambia ukweli wewe ukaona usingizie mambo mengine hivi kwa mfano ungekaa selo wiki nzima na Mimi nilikupa ruhusa ya siku tatu tu, unadhani ingekuwaje?
acha hizo Daniel. alilaumu boss huku nikikosa cha kumjibu.

Baada ya hapo nilishukia maeneo fulani mbele kidogo huku wao wakielekea maeneo ya kwake uzunguni na Mimi nikitafuta usafiri binafsi unifikishe hadi nyumbani nje kidogo ya jiji.
Nikiwa kwenye usafiri ule taxi.
Nilimpigia wife simu ili nimtoe wasiwasi lakini akaniambia ana baadhi ya watu wetu wa karibu walikuwa wanapanga namna ya kunipa dhamana ifikapo asubuhi, huku akishukuru kama nipo huru.

Baada ya kufika nyumbani nilimkuta mke wangu na baadhi ya jamaa zangu wakiningoja huku wakinipa pole kwa yaliyotokea, na kikubwa wote walifurahi kuona nipo huru huku nikiwa sijawaambia aliyenipa dhamana.

Baada ya stori mbili tatu, wageni waliondoka na huku Kila mmoja akiniasa kunywa kwa kipimo baada ya kuonesha matatizo yangu yalisababishwa na pombe , hakika lilikuwa jambo la aibu kwangu.

Nashukuru Yesu ametenda, kila aaminiye ataokolewa kwa jina la Yesu jina lililoshinda majina yote basi shetani hatapata nafasi, hakika nakushukuru Mungu wa mbinguni , kwa yote . Najua Kila lililofanyika si kwa uwezo wetu bali ni kwa uwezo wako baba. Amina.

Yalikuwa ni maneno ya mke wangu akiyatamka tukiwa pale nje, nilikaa kimya nikimsikiliza . Baada ya kumaliza tuliingia ndani huku nikishangaa kumuona kijana wetu nikajikuta naropoka,

Wewe ulikuwa wapi?
Niliuliza huku nikimtazama usoni.

Nilikuwa nyumbani.
alijibu kwa kifupi.

Kisha nikamuangalia mke wangu nikiwa sielewi nini kinaendelea.

Hebu simulia kama ulivyoniambia Mimi Sasa ukisema ulikuwa nyumbani wakati watu hapa vichwa vilipata moto kaka yako hatokuelewa. Fafanua .
Mke wangu alimtaka kijana anyooshe maelezo .

Wakati nikiwa naenda kufunga geti Kuna mama aliniita nimsaidie kumtwisha mzigo wake.
Ambao nadhani ilikuwa ni nafaka mahindi au mchele, lakini cha ajabu Kuna watu walikuja na kunichukua kinguvu na kuondoka na Mimi ila baada ya kufika kwenye lami waliniuliza mwenye nyumba yuko wapi (mimi).nikawaambia sijui.

Wakaniuliza nakuitaje kiuhusiano wa kindugu, nikawaambia Mimi wewe ni boss wangu na Mimi huwa nafanya kazi kwa makubaliano maalumu.
Ndipo waliponiachia na kusema nirudi nyumbani huku wakisema watakutafuta na wasipokupata nyumba wataipiga moto ili wakukomeshe.

Sasa Mimi kwa uoga niliamua kurudi nyumbani huku nikiwa na wasiwasi mkubwa juu ya kuonekana nyumba itachomwa moto nikawa nakupigia simu kutoka kwa watu mbalimbali nikiazima simu lakini hukupokea na baada ya muda hukuwa ukipatikana na kuhusu simu ya mama sikuwa na namba yake kwani sijaikariri kichwani
Na simu Mimi niliiicha hapa.
Kijana alieleza huku mpango wa kuonesha wale washamba walitaka kuchoma nyumba yangu ukinishtua na kuamsha hasira upya ila nilijikaza kiume.

Dah pole sana mwanangu , na karibu tena usiwe na wasiwasi Kila kitu kitakaa poa.
Niliongea huku nikiingia ndani chumbani na kwenda bafuni kuondoa jasho baya la lock up.
Nilichelewa kupata usingizi huku suala la boss kuniwekea dhamana likinitesa yaani sikupenda kabisa.
Lakini nikaona ni vema nikakubali hali na kama yule mume wa Jane ni rafiki wa boss wangu basi nitaeleza Kila kitu kuhusu mpango wao haramu wa kutaka kuchoma nyumba yangu huku nikipanga kwenda polisi ili nikaripoti sikutaka kufumbia macho suala lile.

Nilichelewa kupata usingizi niliwaza mambo mengi , najua si pombe zilisababisha nimpigie Jane Bali ni dhamira yangu kwani yule shangingi sijawahi kumkubali hata kidogo nilimuona kama ni mwenye kupoteza wake za watu tu. Usingizi ulinipitia saa ngapi sikujua ila niliamshwa na simu huku nikishangaa saa kumi na moja hii alfajiri nani Tena huyu?

alikuwa ni Scorpion ni jamaa fulani tulionana mkoani ambako niliwahi kwenda kurekebisha vifaa.

Kaka habari za muda huu vipi kwenda? alisalimia

Ni nzuri vipi bro, mbona simu alfajiri kwema?
Niliuliza

Ni kwema usiwe na shaka nakutaarifu kuwa naomba tuonane airport majira ya saa moja asubuhi hii, kubali kuchelewa kazini lakini tuonane , hii ni Kwa faida yako siyo Mimi! alijibu kwa msisitizo

Dah sawa kaka kwahiyo hiyo ishu hatuwezi kuongea hata kwenye simu? Niliuliza.

{Huku akicheka}
Nimetoka Mkoa usiku kwa usiku najua saa moja nitakuwa airport Sasa wewe unaona usingizi ni Mali unataka tuongee kwenye simu , hivi unajitambua kweli?
acha hizo kaka wewe njoo.
aliongea huku akikata simu na Mimi sikuwa na pingamizi nikaamka na kuanza kujiandaa.

Jifunze,
Elimika,
Burudika.

Itaendelea....................
 
Nasubr mwendelezo mzee wangu
 
Samson usikae sana hii Sasa Arosto scorpion 🦂 namkumbuka hapa na arosto nijue atakuambia nini.
 
Boss njooo
 
Back
Top Bottom