mireille
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 529
- 589
JASMINE .
MTUNZI BEBAS CUTELY
SEHEMU YA 1 .
BOOKING 0756748557 .
Majira ya usiku kwenye nyumba moja kubwa sana mjini ambayo iliyopo karibia na bichi . Nyumba hiyo walikuwa akiishi wadada wengi sana ambao walikuwa wakifanya kazi ya kujiuza kwa wanaume . Walikuwa wakijiuza mili yao kuna wengine walikuwa wakipenda hiyo kazi sababu ni laisi kupata pesa na kuna wengine walikuwa awapendi kufanya kazi hiyo sema wanatafanyaje ndo shida na mitihani ya maisha .
Mliki mkuu wa danguro ilo alikuwa mwanamama akiitwa Frida ( Madam Frida) ndio walikuwa wakigawana faida na mabinti ao. Frida alikuwa akiletewa ama akitafuta banti kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya nchi ilikuwauza kwa wanaume mbalimbali ambapo wanao kuja kutaka huduma hiyo .
Frida akiwa amekaa katulia zake akisubiri mabinti watoke nje kwenda kwenye kasino ambayo iliyokuwa umo umo ndani ambayo michezo ya haramu mingi ikichezwa huko . Alikuja mkaka moja ambaye alikuwa shoga ambaye ni rafiki ake Madam Frida mletaji tàarifa wake akiitwa Anti Hasu .
"Da Frida wadada wote wamejitaarisha kasoro moja tu " aliongea Hasu. Frida " nani huyo ? aliuliza kwa hasira . Hasu alijibu" siyule binti ambaye ameletwa na mama ake mdogo yule.
Frida " nani " alivuta kumbukumbu na kumkumbuka kumbe Jasmine "? aliuliza . Hasu " ndio ni Jasmine " alisema. Frida " hivi huyu binti anamatatizo gani kwani maana juzi wamekuja wateja amewakata leo tena ataki kwenda alikuja kula tu hapa " aliongea .
Kidogo wadada walianza kutoka wakiwa wamevalia mavazi ya wazi kuonyesha maungo ayao. " Bye madam Frida " walimuaga. Frida alimuita mdada moja Anita anaitwa .
Anita alienda adi pale" abee Anti Frida". Frida " hivi yule chizi kavaa ? alimuuliza Jasmine. Anita alijibu "sijui chumbaní kwao tumemuacha na Zawadi ndo shoga ake mkubwa " . Anti Frida" ok nyie nendeni na huyu ananitania mimi ".
Wadada wote waliondoka zao na kwenda kibaruani wakiwemo na mpambe Hasu ndo bodigadi wao na kumuacha Jasmine na shoga ake Zawadi . "Jasmine acha kulia mamy kaoge twende madam atakuja kukuchamba" aliongea Zawadi.
Jasmine" hapana Zawadi wewe nenda tu mimi nipoteali nife lakiní sipoteali kuuza mwili wangu" aliongea uku akilia . Zawadi " sasa utafanyaje Jasmine kama utaki híi kazi utaishije hapa twende tu mamy mimi nitakufundisha utazoea tu ".
Jasmine " hapana Zawadi wewe nenda rafiki angu niache na amini Mungu atanisimamia ". Zawadi alimuonea huruma rafiki ake alivyokonda kwa kulia . Kidogo mlango unafunguliwa kwa fujo .
" Eeeeh Madam ngoja mimi niondoke mimi " alisema Zawadi na kujiweza sawa kutoka zake akimuacha Jasmine. Zawadi alipotoka mlango alipishana na Anti Frida akiwa kavimba sura kwa asira .
*******************
"Huyo mjinga mwenzako kakubari kuja au ? aliuliza Frida. Zawadi alibakia kutikisa kichwa akiashiria hapana . Frida " huyu mpumbavu analinga nini kwani " aliingia ndani kwa kina Jasmine kumkuta amekaa akilia .
" Umekuja kulia hapa eeeh ? aliuliza uku akimvuta nywele na kumpiga. Frida alimpiga sana Jasmine" unanitia hasara kwanza mpumbavu mkubwa wewe " alimkaba sana.
Frida alitosheka kumpiga na kumchamba vya kutosha alimpa adhabu ya kufua nguo na mashuka na kusafisha nyumba nzima nakumwambia " akuna kula adi kesho jioni".
Zawadi alikuwa alisikiliza dishani rafiki ake anavyoteseka aliamua kuondoka uku akilia . Frida alitoka chumbani na kukaa sebureni kusubiri mapato yake yaje.
Jasmine alibakia chumbani akilia nakujisemea" nakuchukia mamdogo laiti kama mama angu angekuwa hai nisingekuwepo huku leo " aliongea kwa uchungu . Alichofanya yeye aliokota nguo moja moja chumba adi chumba na kuanza kufua usiku ule ili apunguze maana nguo ni nyingi sana .
Alifua alipochoka alilala alipokuja kushtuka wezake wakiwa wanarudi wengine wamelewa , wengine walinunuliwa basi fujo mtindo moja . Zawadi sababu alikuwa akimpenda sana Jasmine alimbebea chakula kisiri siri maana alinyimwa kula.
" Jasmine amka ule chips hizi " alisema Zawadi . Jasmine alimuangalia sana rafiki ake" asantee my duffer " . Zawadi " úsijali kula fasta fasta siunajua watu wambea sana watamfikia madam".
Jasmine alichukua chips na kula harakaharaka nakumshukuru kwani alikuwa na njaa nakula zake. Ilivyofika asubuhi watu wote waliamka na mapema kabisa na kutoka kukaa " .
Madam wao aliwaita kwenye kikao .
Je kikao cha nini fatilia sehemu ya pili ya riwaya ya Jasmine.