Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wamchafue vipi wakati ndio anayewatumaWanazidi kumchafua bi mkubwa tu
Ova
Wamchafue vipi wakati ndio anayewatumaWanazidi kumchafua bi mkubwa tu
Ova
Hivi we ni taahira au umeamua tu kujizima data?yaani jamaa pingu haijamuumiza kabisa mikono na purukushani zote dhidi ya watekaji mpaka akawatoroka watekaji?
mikono softiiii kama vile alikua anafua au wanaosingiziwa utekaji walimkamata na kisha wakamwambia haya sasa kimbia na upotee kabisa tuskuone hapa
drama ya waz kabisa hiyo 🐒