Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, David Mghanja ‘Djumbe’ ametoka katika Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam baada ya kuhojiwa kwa takribani saa tano kuhusiana na tukio analodai la kutaka kutekwa lililotokea Mei 20, 2026.

Kupitia mahojiano na Ayotv, Djumbe amesema ametoka kituoni hapo mikono yake ikiwa imefunguliwa pingu ambazo awali alidai alifungwa na watu waliojitambulisha kama Askari Polisi, ambao anasema walimteka kabla ya kufanikiwa kutoroka akiwa na pingu hizo.
 
Hivi we ni taahira au umeamua tu kujizima data?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…