mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Gily si unaona?? haya nanawa mikono... nisikusikie tena😂😂 Damn, mimi ni dada yake anafahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gily si unaona?? haya nanawa mikono... nisikusikie tena😂😂 Damn, mimi ni dada yake anafahamu.
nitake radhi simtaki mwanamke yeyote humu JF 😂tatizo lako unataka watoto wazuri hela huna🤣
Maneno ya mkosaji?nitake radhi simtaki mwanamke yeyote humu JF 😂
umeanza uswahili kama Issa, sikuelewi 😅Maneno ya mkosaji?
🤣🤣🤣 uswahili gani tena?umeanza uswahili kama Issa, sikuelewi 😅
naifunga hii mada😂🤣🤣🤣 uswahili gani tena?
unakata tamaa mapema sana. .
Natoa feedback baadae kwenye uzi wa leadermoe nitakutag
Sawa !Natoa feedback baadae kwenye uzi wa leadermoe nitakutag
Kwanini hio feedback usiitoe mapema ili waliopo karibu na eneo la msiba waone mama wanaeza hudhuria???Natoa feedback baadae kwenye uzi wa leadermoe nitakutag
Kuzika ni tarehe 22, leo hii ni tarehe 20 natoa feedback usijali kabisa. .Kwanini hio feedback usiitoe mapema ili waliopo karibu na eneo la msiba waone mama wanaeza hudhuria???
Ahaaa hapo sawa!Kuzika ni tarehe 22, leo hii ni tarehe 20 natoa feedback usijali kabisa. .
katokwa wap huyu Brian kibonge🤣🤣🤣Hahahaa😂😂😂😂 prataaaaaaapyuuuuuuu hahahaaa! Mwarabu mwenye rasta kachafua hali ya hewa😂😂😂😂😂
Ahaaa! Sawa mamy hapo nimewaelewa vizuri !Ndugu yangu ndo naona na Gily kashajibu ila nasikia familia hawakujua Marehemu ukiacha mkewe hawakujua alitoa ile story huku kaelezea mengi wakaona kama privacy ya watoto ndugu imeguswa flani unaweza ikawa hatari kwao
Nawatafuta In vain. Nikipata taarifa nitawasilisha nimepist kule kuwajulisha watu teyari. .Ahaaa! Sawa mamy hapo nimewaelewa vizuri !
okNawatafuta In vain. Nikipata taarifa nitawasilisha nimepist kule kuwajulisha watu teyari. .
Ilikuwa zamani sio sass now unapata kama insta tumbaki nazo tu hizo tiki zenu,,, mambo ya kufatana adi inbox hayo hapana😊🙌