Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,018
mmeishia wapi tuendelee???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]usinikumbushe machungu [emoji24]jamani hii story ni ndefu kama kweli ni novel afu mwandishi ameitafsiri tuu aisee kajitahidi sana[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] mpaka sasa tunasubiri kitabu cha 25(1200-1250) yani ni huzuni kwakwelii mimi na ndugu yangu [mention]mireille [/mention] tunateseka sana[emoji29][emoji29]
Ndiyokwan hujampata mwandishi mpaka sasa???
Ipo vizuri endelea kutuleteajamani hii story ni ndefu kama kweli ni novel afu mwandishi ameitafsiri tuu aisee kajitahidi sana[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] mpaka sasa tunasubiri kitabu cha 25(1200-1250) yani ni huzuni kwakwelii mimi na ndugu yangu [mention]mireille [/mention] tunateseka sana[emoji29][emoji29]
Ukurasa 700mmeishia wapi tuendelee???
Nimeweka kambi hapa lete muendelezo madamKwa macho makali ya Matthew, ilikuwa rahisi kwake kusema kwamba ustadi wake ulikuwa wa kupendeza na usio wa kawaida, ni kama mtu mwenye mafunzo maalumu. Kilichomfanya ashangae zaidi ni kwamba kweli mwanamke huyo alivunja mikono ya wale wahuni. Mbinu zake zilikuwa safi na kali.
“Watu kama wewe wataendelea kufanya wizi baada ya kukamatwa na kufungiwa kwa siku moja. Ni bora kuvunja mikono yako na kukuacha upone kwa miezi michache. Hebu tuone jinsi utakavyoendelea kuwaibia wengine. Scram! ”
Sauti ya Lisa ilikuwa nyepesi, lakini wale vibaka waliogopa walipomtazama uso wake mzuri na mara moja wakainuka kabla ya kukimbia.
“Huyu nii njagu wazee, tusepeni…”
"Asante. ” Matthew alimsogelea baada ya wale wahuni kukimbia. Alikuwa na nywele nyeusi, na sura ya busara ikaangaza katika macho yake meusi. “Shujaa, asante kwa kuniokoa. Vinginevyo, bila shaka ningeibiwa."
Shujaa...? wLisa nusura asonge na mate yake mwenyewe. "Dogo, kuwa makini unapokuwa kwenye miji ya wenyewe!"
Matthew alipigwa na butwaa. Ilikuwa ni mara ya kwanza mtu kumuita hivyo. Ikiwa wangekuwa Lubumbashi, watu wangegeuka kumtazama Lisa kwa hofu. Baada ya yote, lazima awe mtu wa kwanza kuthubutu kumwita ‘dogo’ mwana mfalme wa familia ya Tshombe.
“Uliniita nani?” Matthew aliongea kwa kutokuamini kidogo. Lafudhi yake ilifanya sauti yake isikike zaidi tulivu na ya kupendeza.
"Unaonekana kama una miaka 20 tu, we ni dogo kwangu." Lisa alimpa saizi.
"Ndio, nina umri wa miaka 21 mwaka huu." Matthew aliutazama uso wake wa ujana na alishangaa. "Wewe ni mkubwa kuliko mimi?"
"Mimi ni mkubwa kwako kwa miaka michache, kwa hivyo wewe ni dogo tu kwangu."
Lisa aliutazama ule mfuko wa plastiki uliokuwa mkononi mwake ambao ulikuwa umebeba mashada kadhaa ya maua. Mtu aliyenunua mashada yote lazima awe yeye. Ilikuwa wazi katika mtazamo kwa kuangalia saa juu ya mkono wake na kishaufu kilichoning'inia shingoni mwake vyote vilikuwa na thamani kubwa, kwa hiyo haikuwa ajabu kwamba alilengwa na wahuni. Alionekana kama tajiri mpumbavu aliyerudi kutoka nje ya nchi.
“Huu ni mtaa wa zamani ambapo kila aina ya wahuni huzunguka. Hupaswi kukawia kuzunguka maeneo haya huku ukiwa umevalia hivyo. Fanya haraka uondoke.” Alisema na kuondoka.
Kwa kuwa asingeweza kununua mashada ya maua zaidi, angetoa tu maua aliyopata.
"Shujaa, omba uambie jina lako?" Matthew alichukua hatua kubwa kumfikia akiongea kiswahili chake kibovu.
Lisa alijikwaa na karibu kuanguka. Alikuwa kati ya kicheko na machozi. “Omba uambie jina lako? Unajifunza kiswahili?"
“Ahem. Ninajifunza kwa kusoma vitabu vilivyoandikwa kiswahili. Hivyo ndivyo watu walivyokuwa wakizungumza,” Matthew alieleza kwa aibu, “Nilifikiri... nilikuja nchini jana, kwa hivyo sijui mengi kuhusu utamaduni wa hapa.”
“Umekwisha sema kwamba wewe ni mgeni. Hii ni bongo. Fanya tu kulingana na jinsi ungefanya katika nchi yako," Lisa alielezea kwa burudani.
“Oh.” Matthew akaitikia kwa kichwa. "Katika hali hiyo, mwanamke mrembo, naweza kukuuliza jina lako?"
"... Jina langu ni Heroin." Lisa alitabasamu kwa ujanja na kuondoka. Matthew alipigwa na butwaa kwa sekunde kadhaa. Heroin! Shujaa?
Sura ya: 702
Tuleteeni basi mpaka hapo mlipofikia, tunawategemea sanampaka sasa tunasubiri kitabu cha 25(1200-1250) yani ni huzuni kwakwelii mimi na ndugu yangu [mention]mireille [/mention] tunateseka sana![]()
![]()
kipenzi u mzima,twende kule kwetu basi[emoji1787]usinikumbushe machungu [emoji24]
[emoji1787]usinikumbushe machungu [emoji24]