Simulizi: Lisa

Simulizi: Lisa

Pongezi nyingi kwa mtunzi wa hii story, actually you are so amazing. Story kama hizi ndio zilinifanya niwe addicted na drama za kichina, hasa kwenye hii genre ya; business, romance, family. Mara ya kwanza nilikuwa napenda sana chinese historical drama, lakini nilikuja kugundua chinese modern drama ni bab kubwa, hasa ukimkuta xu kai kama male lead na apate Li yitong, zhao liying au Bai lu kama female lead, lazima drama ihit sana. kwa story kama hii ikitolewa drama, trust me! itavunja record ya africa kama drama kali kuwahi kutokea. na ikipata actor na actress wazuri inaweza kutikisa soko la dunia. lakini sidhani kama tutaweza bajeti yake. ila unaweza kuhiuza china. keep it up!
 
[emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
 
Kimsingi hizi novel za kichina watu wana translate tu na kubadilisha baadhi ya vitu
Hii ni Novel ya Australia mkuu na Kuna series inafanana na hivi kila kitu. Nikikumbuka jina nitaliweka hapa.
 
Pongezi nyingi kwa mtunzi wa hii story, actually you are so amazing. Story kama hizi ndio zilinifanya niwe addicted na drama za kichina, hasa kwenye hii genre ya; business, romance, family. Mara ya kwanza nilikuwa napenda sana chinese historical drama, lakini nilikuja kugundua chinese modern drama ni bab kubwa, hasa ukimkuta xu kai kama male lead na apate Li yitong, zhao liying au Bai lu kama female lead, lazima drama ihit sana. kwa story kama hii ikitolewa drama, trust me! itavunja record ya africa kama drama kali kuwahi kutokea. na ikipata actor na actress wazuri inaweza kutikisa soko la dunia. lakini sidhani kama tutaweza bajeti yake. ila unaweza kuhiuza china. keep it up!
Mkuu mpaka sasa kwa ulivyoisoma hujagundua kuwa hii ni TRANSLATED?
 
Back
Top Bottom